yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Kwa haya Malengo yetu Yanga 2022-2023. Simba mtavurugana sana. Kuanzia tarehe 13/08/22 ni kilio mpaka tarehe x/08/23.Natoa tamko Rasmi

    Simba mtalia sana mwaka huu.. Mtalia kinyama .. Mtalia ndani mtalia nje. Mtalia ofisini mtalia nyumbani. Kifupi mwaka huu hadi ujao mtakuwa wakiwa sana. Mtakuwa wanyonge shambani mtakuwa wanyonge sokoni.. Mtakuwa wanyonge nyumbani mtakuwa wanyonge kazini.. Mtakuwa wanyonge barabarani mtakuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Naweka Utani wangu pembeni tafadhali wana Yanga SC wawapige Stop kwa muda Viongozi wao Kulizungumzia Sakata la Juzi la Haji Manara

    "Haji Manara juzi alikuja katika Tamasha la Yanga SC na hakuja katika Shughuli za Kimpira za Klabu ya Yanga " Arafat Haji Makamu Rais wa Yanga SC. Taarifa: EFM Sports Headquarters leo. Makamu Rais wa Yanga SC Arafat Haji kumbe Siku zile ( Juzi ) Haji Manara ( Mfungwa Mkaidi ) alikuja...
  3. JamiiForums Tanzania Waraka wa Yanga ukiwasihi mashabiki wake kuiheshimu TFF na Serikali

    Jamani wananchi, uongozi umeshasema tuiheshimu TFF na Serikali, ikiwa ni pamoja na kuwa watulivu kwa maamuzi yoyote yanayotolewa na mamlaka hizo za juu
  4. JamiiForums Tanzania Je, mnapendelea Jezi mpya za Simba au za Yanga?

    Timu kubwa za nchi, Simba na Yanga, zote mbili zimezindua jezi mpya zao kwa msimu 22/23. Styles zao zinatofautiana sana. Paintbrush elements za Simba kwenye kila jezi zinapigana na alama za vidole za Yanga. Siku hizi si Simba vs. Yanga tu kwenye mada za jezi. Tangu msimu 20/21, GSM na VunjaBei...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga wanachangisha pesa ya mganga kutoka visiwani

    Aisee nilikuwa Yanga makao makuu pale ,huwa naenda kusikiliza stori za klabu yangu pendwa Yanga, pale nakutanaga na wazee kina mzee was Moro, mzee mpili, n.k Sasa kuna daftari lipo pale UKIFIKA jioni linatembea la kuchangia pesa ya mganga kutoka VISIWANI Zanzibar, Lina karibu wiki 2, uchangiaji...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu Mzungu wenu Mserbia akiwa Muhuni kama Fraga Ligi ataiweza ila akiwa Lonyo Lonyo kama Carlinhos ( Muangola ) wa Yanga SC hatoiweza

    Fraga mpaka Bange alishaanza Kuvuta na alikuwa anafika ( anagongana ) na Kukichafua huku Ukijipendekeza unakula ama Ndole au Kipepsi na Kutulia hadi akawa anaogopwa na Wachezaji wa Timu Pinzani. Kwa huyu Mzungu Mserbia wenu ( ambaye GENTAMYCINE simkubali ) kwa nilivyomuona tu Pichami alivyo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimeyakumbuka madera ya yanga nikabaki kucheka

    Kuna msimu yanga kila mechi walikuwa na jezi yake yaani mpaka msimu unaisha haijulikani jezi rasmi ni ipi,na sio mbali ni kama miaka mitatu au minne tu hivi,simba tukawafundisha ustaarabu. Ghafla designer wao akaja na madera ,wanazi wakayatetea ila rohoni ilikuwa inachoma. Nakumbuka yule...
  8. JamiiForums Tanzania Tff mkitaka soka la wanawake bongo liwe juu tengenezeni wachezaji kariba ya jezi namba kumi wa Yanga Princess

    Nianze kwa ku declare interest, sijawahi kuwa shabiki wa soka la wanawake hata kidogo. Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nikiona wanawake wanacheza mpira nilikuwa nawaonea huruma kwa sababu nilidhani walikuwa wanaumia wakicheza. Nimekuwa mtu mzima still bado sijawahi kuupenda mchezo huu kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mshabiki wa yanga: Yanga ilicheza utapu utapu

    Tukianza kuwaita utapu utapu msishangae maana ndio ninyi mnajibatiza
  10. JamiiForums Tanzania Unapo-deal na Yanga au Simba kuwa makini Sana

    Unapo deal na simba na yanga kuwa makini uwe Afsa wa serikali au uwe sijui rais wa TFF mwisho wako hautakuwa mzuri. Angalia historia ya yanga ilipotoka fatilia vizuri upatikanaji wa uhuru wa Tanganyika ulipatikana fatilia mchango wa Yanga na historia yake katika taifa hili. Yanga is next after...
  11. JamiiForums Tanzania Siku ya Mwananchi: Kumbe jana walifungulia geti wazi

    Nimesikia hii habari ikitolewa na Mtangazaji wa E-FM, Abdulrazack Maji akisema jana aliona mageti hakifunguliwa ili mashabiki waingie bure Hii ni AIBUUUUU
  12. JamiiForums Tanzania Kati ya Simba na Yanga nani ameua kwenye jezi?

    Haya njooni tuchambue, nani ameua zaidi?
  13. JamiiForums Tanzania ccm na mirangi rangi Yao (njano, white Red) imefanya niichukue Yanga na Simba

    Nashindwa kuwachukia watu Kwa sabab ya humanity...Ni hayo tu na Uzi tayari
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi Yanga kwa usajili wa viwango vya juu

    Nafikiri mechi ya Yanga dhidi ya Vipers ilikuwa ni moja ya mechi bab kubwa, Vipers walionyesha ni namna gani wako vizuri kiufundi, walikuwa wanacheza objective football, walikuwa very sold kwenye ngome yao baada ya kutangulia kupata bao la mapema, ni moja ya timu ambayo iko vizuri sana kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania kabla hujaicheka Yanga pitia hapa kwanza

    mnasahau mapema mnoo
  16. JamiiForums Tanzania VIPERS WALITARAJIA WANAKUJA KUCHEZA NA SIMBA TANZANIA NA SIO YANGA!

    Wajumbe mnajua kabisa Yanga ni timu isiyofahamika Africa ila Tanzania ndo inajulikana sana na wanajiita Mabingwa wa khistoria.... kiukweli Vipers wangefurahi sana kucheza na Simba SC Tanzania na sio timu kama Yanga ambayo hata robo fainili Caf hawaijui! Kinachoibeba Simba ni uzoefu wa kimataifa...
  17. JamiiForums Tanzania Wana Yanga wenzangu mnamzungumziaje huyu kitasa wetu?

    Joyce Lomalisa full back ya kushoto ana balaaa. Nyutiiii nyutiiiii
  18. JamiiForums Tanzania Sensa yapoza machungu ya Yanga Taifa

    Licha ya Klabu ya Soka ya Yanga kufungwa katika kilele cha Siku ya Mwananchi na klabu ya Vipers SC lakini ujumbe wao kuhusu Zoezi la Sensa na Makazi umekuwa ni ubunifu mzuri na wa kuigwa.
  19. N

    JamiiForums Tanzania NYAMBAFU:;UONGO WA YANGA KWAMBA NABI KESHASHINDA KOMBE LA AFRICA

    Kama majitu yanaweza kuhesabia ngao ya hisani kwamba ni kombe na wanasema wameshinda treble watshindwa nini kuongea uongo mkubwa zaidi? NYIE WAJINGA, JOSEPH OMOG KOCHA WA ZAMANI WA SIMBA, AZAM NA MTIBWA NDIYE ALIIPA AC LEOPARDS UBINGWA WA AFRIKA 2012 WALIPOIFUNGA DJOLIBA HUYO MWARABU WENU...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga wataacha lini kuliaibisha Taifa?

    Mechi nne zilizopita za Kimataifa ambazo Yanga kacheza, kaishia kupoteza zote. Alianza kupoteza alipocheza na Zanaco, wote tunajua Kapumbu alivyowafanya. Kisha wakapoteza mechi mbili za home & away dhidi ya Rivers Utd ya Nigeria. Na hatimaye leo tena wamekufa nyumbani dhidi ya Vipers ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…