FT: Yanga 3-0 Mtibwa | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,910
5,996
Yanga wanaongoza kwa goli la freekick ya Djuma Shaban

37' Mayele anafunga goli murua baada ya kupiga chenga mabekibwa Mtibwa

Kipindi cha kwanza kimekamilika Yanga wanaongoza magoli 2-0.

MAPUMZIKO

81' Yanga wanamiliki mpiramuda mwingi

83' Kasi ya mchezo siyo kubwa, ni kama Mtibwa wameshakata tamaa.

90' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

Azizi Ki anaipatia Yanga bao la tatu

Live updates


-----------------

Timu ya Yanga imefanikiwa kushika usukani wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kupata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Mkapa, leo Jumanne Septemba 13, 2022.

Wafungaji katika mchezo huo ni Djuma Shaban aliyefunga dakika ya 33, Fiston Mayele dakika ya 38 na Azizi Ki dakika ya 90.

Kwa matokeo hayo, #Yanga imefikisha pointi 10 katika michezo minne ikiwa imeshinda mechi tatu na sare moja.
 
Back
Top Bottom