yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Mabeki wa Yanga kuiokoa timu leo dhidi ya Al Hilal

    Wengi tunatarajia magoli toka kwa akina Mayele n.k, leo mabeki wa Yanga wanaenda kuokoa timu yao. Yanga itashinda magoli 2, tutarajie penalty kwenye mchezo. Ft 2-0/2-1/3-1 Kila la kheri Yanga.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini ya Tsh. Milioni 345 kutoka FIFA, yatakiwa kumlipa Kocha Luc Eymael

    Naam, Njaakalihatari nakuletea habari mpasuko kwamba Young Africa ya Jangwani na Salamander imepigwa faini ya USD 148,000 kwa kumuachisha kazi Kocha Luc Eymael bila kufata taratibu. Faini hiyo inatakiwa ilipwe siku 45 kuanzia leo la sivyo watafungiwa kusajili kwa misimu 3! Yanga instructed...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Chungu na tamu za watabiri mchezo wa Yanga na Al Hilal (first leg & second leg)

    Kila mtu katabiri anavyoweza, nilichoamua kufanya mimi ni kutumia hesabu za darasa la saba tuu kutafuta matokeo ya jumla. Kupitia humu humu Jamii Forums watu 12 walijaribu kutoa nyuzi au maoni kwenye nyuzi za wengine jinsi matokea yatavyokuwa. Nikaamua kuchukua idadi ya magoli yote ya Yanga...
  4. JamiiForums Tanzania Maono: Yanga atafungwa 1-0 na Al Hilal

    Haya ni maono, kwa watu wa michezo ya kubahatisha betting mnaweza kutumia huu mkeka. Siku ya Jumamosi Yanga atacheza na Al Hilal ya Sudan. Matokeo yatakuwa Yanga 0 - 1 Al Hilal. Kwa upande wa Simba Sc matokeo hayatakuwa mbali sana na atakayopata Al Hilal, naye Simba atashinda 1 bila ugenini...
  5. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe bila kuicharura Simba ondoka Yanga nenda Azam

    Tanzania ushabiki wa mpira uko juu sana kuliko nchi nyingine zinazotuzunguuka kutokana na aina yetu ya kutaniana kwa kucharurana bila kupigana kati ya Simba na Yanga. Timu hizi ziko hivyo tangu kuanzishwa kwake na kuingia katika sura mpya wakati wa Jerry Muro na Manara. Leo hii Tanzania...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hii picha ni ya leo? Basi Yanga na Al Hilal wanachezeana michezo ya kitapeli

    Leo mchana niliona tweet kwenye page ya Al Hilal kwamba maofisa wake WATATU wanakuja Dar es Salaam kuweka mazingira sawa, nilisahau ku i capture na usiku huu siioni, nafikiri ipo deleted. Kilichonistua ni tweet yao mpya kwamba afisa wao (mmoja) kafika DSM na kapokelewa na Injinia Hersi. Katika...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa nia njema tu na kama Mwanamichezo, sishauri Yanga SC leo impange Mayele, Aucho na Fei Toto

    Kwanini? Mechi ijayo ya CAFCL ni muhimu na ngumu kwa Yanga SC na kwa Asili ya mpira wa 'Kazi Kazi na Gwaride' wa Ruvu Shooting FC huenda wote au mmoja wao akaumia na kuigharimu Yanga SC ikicheza na Al Hilal FC wikiendi ijayo.
  8. JamiiForums Tanzania USHAURI: Yanga ijiandae upigaji wa penati

    Yanga ijiandae na upigaji wa penati ikiwa moja ya mbinu ya kuhakikisha inaitoa EL Hilal katika mtoano. Sidhani kama Yanga ina uhakika wa wapigaji wake wazuri mipira ya penati. Hivyo mazoezi ya kupiga penati kwa uhakika ni mazuri sana ili kuhakikisha tunaingia makundi ya michuano ya Klabu...
  9. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga wajitafakari sana kwa hili la Privadinho kukataliwa na mashabiki

    Hekima inatuelekeza kwamba "Justice should not only be done but it must also seems to be done", kwamba haki haitakiwi kutendeka tu bali inatakiwa ionekane ikitendeka. Hata kama Privadinho kweli ni shabiki wa Yanga kweli lakini mashabiki na wapenzi wa Yanga bado hawajaridhishwa na suala la Priva...
  10. JamiiForums Tanzania Record za Yanga SC mechi tano za kimataifa nyumbani zinatisha

    Wananchi wana jambo lao mapema mwezi huu dhidi ya Al Hilal ya Sudan, wenyewe wanasema iwe mvua iwe jua hatoki mtu kwa Mkapa. Licha ya hamasa kubwa waliyonayo kuelekea mchezo huo Yanga SC kwa miaka ya hivi karibuni wamekuwa na rekodi mbaya wanapocheza uwanja wa nyumbani. Kwa ujumla viongozi na...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga yatangaza viingilio dhidi ya Al Hilal tar 8 October

    Kuelekea mchezo dhidi ya Al Hilal, timu ya Yanga wametangaza bei ya viingilio. Viingilio hivyo vimeainishwa kama ifuatavyo Kiingilio cha juu zaidi ni shilingi elfu 15 kwa VIP A 10000/= kwa VIP B& C 3000/= Kwa mzunguko ukikata tickets mapema.
  12. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Yanga SC haikuwa na Wasemaji bora, ila Mimi ndiyo Msemaji niliyekuwa nikitakiwa muda mrefu

    "Wasemaji wote wa Yanga SC waliopita hawakuimudu hii Kazi ila mwenye hiyo Kazi Ally Kamwe nimekuja" Ally Kamwe Msemaji wa Yanga SC ( EFM Sports Headquarters ) Mdogo wangu Ally Kamwe taratibu kuna Wasemaji Wawili wa Yanga SC ni Wachawi ( Walozi ) wa Kutukuka tafadhali kuwa makini na haya maneno...
  13. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Msemaji wa Yanga SC Ally Kamwe naona unaanza vibaya na utapotea mapema

    "Kesho nataka kwenda TFF Kumuombea Msamaha Haji Manara na naamini watanisikiliza na kumsamehe" Ally Kamwe Msemaji wa Yanga SC (Clouds FM Sports Extra). *Waliyopanga watu wa kwenda kuigiza Filamu ya Royal Tour na Rais Samia walitakiwa wamjumuishe na Mchezaji bora Tanzania nzima tena akitokea...
  14. JamiiForums Tanzania TFF naombeni sababu ya Kimantiki kwanini Mechi za Vilabu vya Simba na Yanga mmezibadilisha

    Ratiba iliyokuwepo ilikuwa Weekend hii Simba SC icheze na Mbeya City FC na Yanga SC wacheze na Ihefu FC. Mmeibadilisha juu kwa juu hii Ratiba na sasa Simba SC itacheza na Dodoma Jiji FC na Yanga SC nao watacheza nadhani na Ruvu Shooting FC. Hivi TFF ni kwanini mnapenda mno Kuvibeba, Kuvilinda...
  15. JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-1 Mbuni FC, Friendly Match

    Mechi ya kirafiki imemalizika kwa matokeo hayo. Timu ya Mbuni FC inatoka Arusha ambapo mchezo huu umetumika kama mchezo wa kujiimarisha na kujiandaa na mchezo wa CAF dhidi ya Al Hilal. Yanga iliingia na kikosi cha kwanza huku magoli yakifungwa na Mayele na Feitoto. Ni hayo tu.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Namna Yanga wanafanya vitu vingi watatuacha sisi Simba

    Kwa namna Yanga wanafanya mambo yao naiona kesho ya Yanga ni kubwa kuliko SIMBA Wameandika katiba ambayo wanaishi nayo sasa. Eng. Hersi ataipeleka Yanga mbali Wanasajili wanachama online which is a good thing....upande wa SImba mambo mengi yako kimya kimya hakuna uwazi. Camp ya Yanga iko...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Video hii ya Ally Kamwe yawaudhi wana Yanga

    Kila siku mkiambiwa kwamba Hersi ana maamuzi ya ki pwagu mnakasirika, hivi unadhani wana yanga ni wajingawajinga? Jenerali Bugatti alikuwa sahihi sana kukataa kumpa mkono huyu kijana mnafiki kule zanzibar aliona mbali sana Bugatti anaposema kwamba huyu ni mnafiki anaichukia yanga apingwe wewe...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kitu pekee nilichokiona kwa Wasemaji wa sasa Ahmed Ally Simba SC na Ally Kamwe Yanga SC ni hiki Kifuatacho...

    Wote wana Corporate Personalities za Asili hasa na siyo ile ya Kulazimisha, Wasomi wazuri wa Mass Communication na wana Mvuto wa Kiushawishi hasa kwa Biashara na Mashabiki wa Vilabu vyao husika. Siyo unakuwa na Msemaji muda wote ukiwa nae Jirani unasikia tu harufu ya Sigara, Bangi, Pombe na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi wa EFM Wilson Prima: Msemaji Ally Kamwe kaanza vibaya Haji Manara siyo na hatokuwa Mshabiki wa Yanga SC

    "Ally Kamwe Msemaji mpya wa Yanga SC anapata wapi Uhalali wa kusema Mhamasishaji Mkuu wa Yanga SC Haji Manara ni mwana Yanga SC Kindakindaki wakati Baba yake Mzazi Mzee Sunday Ramadhan Manara akiwa hapa hapa EFM alisema na kutuhakikishia kuwa Mwanae ni Simba SC lia lia pamoja na Dada yake'...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Mzalendo Pombe Magufuli asingempa VISA Mzambia kuwa CEO Yanga

    Tanzania tunahitaji expatriate wa ki Zambia kuwa Mkurugenzi Mtendaji Yanga ? Kama ambavyo alinyimwa Visa yule Mama wa Kikenya mwenye degree ya cookery kuja kuongoza VODACOM ndivyo hivyo ilibidi huyu Mzambia apigwe chini. Haya, kaja kwenye mkutano wa utambulisho hajui Kiswahili, Maulidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…