yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Berkane kapindua meza leo, bado Yanga

    Unajua Berknane ni nani? Leo kapindua meza, alikiwa aende. Bado Yanga!
  2. luangalila

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Klabu ya Yanga acheni kuwajaza upepo mashabiki wenu

    Katika mchezo wa awali walisikika na kuwaaminisha mashabiki wao ya kuwa kuna timu itapigwa 4 bila, yaani kana kwamba walijua Al Hilal ni sawa na Zalan FC, lakini matokeo yake ilikuwa chupu chupu walale nyumbani. Sasa nimeona hata katika mchezo huu wa leo zipo tambwe toka kwa uongozi na...
  3. Execute

    JamiiForums Tanzania FT: Al-Hilal 1-0 Yanga (Agg 2-1), Yanga yaondolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

    FULL TIME 90+1' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 90' Wenyeji wanaweka mpira wavuni lakini mwamuzi anasema mfungaji aliotea 81' Farid Mussa anaingia, anatoka Fei Toto kwa Yanga 76' Yanga wanamtoa Morrison anaingia Makambo 70' Mchezo umesimama kwa muda, mchezaji wa Al Hilal ameumia 60' Fei Toto...
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ubashiri: Yanga VS Al Hilal draw (2-2/3-3)

    Nahisi kuyaamsha baadhi ya mapepo yaliyolala, tukutane kesho saa tano usiku hapa. Ninachojua Yanga anaingia makundi, kivipi, subiri dakika 90. Mungu ibariki Tanzania na watu wake. Ibariki timu yetu ya Yanga.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya mwisho kwa Yanga kabla ya mechi yao na Al Hilal hapo kesho

    Yamebakia kama masaa 24 kabla ya mtanange muhimu kwa Yanga na Al Hilal hapo kesho. Niwatahadharishe kitu kuwa, kesho inaweza ikatokea bahati mbaya Yanga wakafungwa goli la mapema sana. Sasa niwaambie ndugu zangu hawa kuwa, hawatakiwi kukata tamaa mpira ni dakika 90. Goli la mapema linaweza...
  6. Execute

    JamiiForums Tanzania Japo Yanga siwapendi kuliko timu zote duniani lakini ninapenda Tanzania na sisi tuingize timu mbili makundi CAFCL

    Thamani ya ligi yetu itaongezeka sana. Watanzania wataanza kuangaliwa ili wasajiliwe timu nyingine za Afrika. Na pengine makocha wetu wanaweza kutazamwa. Yanga siwapendi na mpira wao uko sana mdomoni lakini ningefurahi mwaka huu na sisi tuwe na timu mbili kwenye makundi CAFCL. Azam nao...
  7. Ahyan

    JamiiForums Tanzania CAFCL Al hilal Vs Yanga

    Huu mchezo hapo kesho huko Sudan matokeo yake ni aidha Al Hilal 1 : 0 Yanga, ama sare ya namna yoyote ile (0:0, 1:1, 2:2, 3:3).
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Abubakar Salum haumwi, ila amegoma hadi amaliziwe chake chote

    Na kuna mgomo wa chini kwa chini juu ya kuchelewesha mishahara ya wachezaji wazawa ila wa kigeni wote mnawatimizia kwa wakati. Nibishieni hili ili nije na siri nyingine.
  9. Smt016

    JamiiForums Tanzania Yafuatayo ni mambo ya msingi kwa Yanga ili waweze kufuzu kesho

    Hapo awali nilileta uzi humu kuwa Yanga wanashindwa kufanya vizuri kwasababu wanakosa vinasaba vya michuano ya kimataifa. Nilipondwa sana na wana Yanga wenzangu lakini mpaka sasa akili zinawakaa sawa baada ya kuona Simba kwake kufuzu klabu bingwa imekuwa kama jambo la kawaida hata akiwa na...
  10. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Uongozi wa Yanga

    Habari wakuuu. Uzi wangu utakuwa mfupi sana lakini wenye fikra na mawazo mapya kwa watu. Msimu wa 2021-2022 Yanga imechukua; Ubingwa wa Ngao ya Jamii Kombe la Azam Sport Ligi Kuu ya NBC Imekuwa bingwa bila kupoteza mchezo wowote, hongera sana kwao. Japo Simba ndiyo ilikuwa ya kwanza kufanya...
  11. N

    JamiiForums Tanzania NAISAIDIA YANGA: Majina/ramani ya vituo vya yatima Khartoum haya hapa katembeleeni kuiwezesha ile ndagu yenu

    Ni ujinga kufanya hiyo ndagu kwa mechi 30 za TFF ambapo mwisho wa msimu unapata millions 500 wakati leo ukiifanya hapo Khartoum unaingia makundi na kujipatia billion 1.2. Ule mtindo wa kutembelea vituo yatima msiogope wandugu, ipigeni leo mkitua hapo mchana. Wahi supermarket kanunueni...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Yanga wakipundua meza, watakuja na kauli "Bila sisi kuwasema, msingevuka"!

    Wakati hivi sasa wako makini kuishambulia Yanga, moja ya lengo lao likuwa ni kuwakatisha tamaa mashabiki na wachezaji wa Yanga hususani wachezaji na viongozi ili wawe na molari ndogo kisha watolewe. Lakini matokeo yakija tofauti, bila aibu na kwa unafiki, watasema bila sisi kuwashambulia...
  13. kasanga70

    JamiiForums Tanzania Shida ya Yanga imeanzia hapa

    Naomba nieleweke, naongea kikubwa hapa, wale wenye uzito watanielewa. Na kwa hili sirejei mechi yenu ya kesho, ombeni Mungu anaweza kuwasaidia. "Mnapojitafutia mafanikio msizibe pumzi ya jirani yako, yaani afe, asifanikiwe, akwame", uchawi huu huwa unafeli sana na matokeo huwa yanamrudia...
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kuna ulazima gani wa sisi Yanga kuiga kila wanachofanya mkia?

    1. Simba Day Tuwaze mambo mapya.
  15. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Al Hilal wakijiandaa kuwakabili Yanga

    Hii video inayosambaa kwa kasi inaonyesha Al Hilal, Waarabu weusi, wakiwa kambini wakijiandaa kuwakabili Yanga. Ndugu zetu hawa wana kazi kubwa sana.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natabiri Kocha wa Yanga SC Nabi Kufukuzwa kwa Mwarabu Jumapili au kwa Mkapa Jumapili ijayo

    Viongozi wa Yanga SC waliokanusha kuwa Kocha Nabi hana Mpango wa Kufukuzwa ni Waongo na Wanafiki. Ukweli ambao GENTAMYCINE ninao kutoka katika Vyanzo vyangu Ndani ya Klabu ya Yanga SC ni kwamba Kocha Nabi kapewa Mechi Mbili tu ya Al Hilal FC ( Sudan ) Jumapili na ile dhidi ya Simba SC (...
  17. Mcanada

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Al Hilal dhidi ya Yanga tarehe 16.10.2022, Al Hilal atashinda goli mbili au zaidi

    Baada ya kufanya uchambuzi wangu yakinifu na kiuhalisi hesabu zangu hazidanganyi. Nimepata matokeo ya Mechi ya Al Hilal dhidi Yanga itakayopigwa tarehe 16 Oktoba 2022 nimejiridhisha kuwa matokeo ya mechi hiyo yatakuwa ni ushindi kwa Al Hilal na watashinda goli mbili au zaidi (Over 2.00 Goals)...
  18. youngsharo

    JamiiForums Tanzania Kitakachoibeba Yanga tarehe 16 OKtoba ni uzoefu na kujiamini

    𝘽𝘼𝙍𝙐𝘼 𝙔𝘼 𝙒𝘼𝙕𝙄 𝙆𝙒𝘼 𝙐𝙊𝙉𝙂𝙊𝙕𝙄 𝙒𝘼 𝙏𝙄𝙈𝙐 𝙔𝘼 𝙔𝙊𝙐𝙉𝙂 𝘼𝙁𝙍𝙄𝘾𝘼𝙉𝙎 (𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀) 13/10/2022 Habari ndugu viongozi wa timu yangu pendwa 𝙙𝙖𝙧 𝙚𝙨 𝙨𝙖𝙡𝙖𝙖𝙢 𝙔𝙤𝙪𝙣𝙜 𝘼𝙛𝙧𝙞𝙘𝙖𝗻𝙨, au kama mnavojiita kiswahili 𝗬𝗮𝗻𝗴𝗮, au mnavotambulika 𝗧𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗻𝗰𝗵𝗶. Kwanza kabisa nitoe kongole kwenu viongozi na wote mlioiwezesha Yanga kufikia...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Yanga watafute video za Fc Port ya Ureno ilipokuwa ikinolewa na Kocha Jose Mourinho

    Nimeona niwape kidogo mbinu Yanga ili kuisaidia timu kuvuka hiyo hatua muhimu. Kwanza nawasalimu. Mimi ni mpenzi wa mpira wa Ulaya hasa Ligi ya Uingereza katika kipindi cha miaka ya 2000 hadi 2013. Katika hiki kipindi soka la Ulaya lilikuwa sio la kisport sport. Ilikuwa ni balaa sio kama sasa...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga kucheza na Green Worriors kujiandaa na Al Hilal

    Wakati Al Hilal ikichakaza 4-0 kwenye ligi ya Sudane, Yanga wao watacheza na Green Worriors kujiandaa na mechi ya Champions dhidi ya timu ngumu ya Al Hilal. Green worriors ni ya 3 kutoka mwisho kati ya timu 16 za Ligi Daraja la Kwanza
Back
Top Bottom