yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Yanga akifanikiwa kuitoa Al Hilal, hizi ndiyo zitakuwa hoja za mashabiki wa Simba

    Katika soka, lolote linaweza kutokea na haitokuwa mara ya kwanza kwa timu isiyopewa nafasi au iliyoko ugenini kufanya maajabu na kuacha gumzo pamoja na kuandika historia. Kwa msingi huo, Yanga wanaobezwa na mashabiki wa Makolo FC wakifanikiwa kuitoa Al Hilal, wenzetu hawa watakuja na hoja hizi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi Oscar Oscar atabiri Yanga kupindua matokeo Sudan kwa kufanya hivi

    Mchambuzi Oscar Oscar ametoa mtazamo wake kuhusu marudiano ya Yanga na Al Hilal.
  3. N

    JamiiForums Tanzania AIBU: Digital Manager wa Yanga adanganya Mayele kuitwa Mfalme wa Dhahabu na Canal Sports

    Naam, ni mwendo wa ma uongo na ma propaganda kwa kwenda mbele toka utopoloni, lakini kwa kudra za Mungu tumejipanga kuwaumbua wasambaza propaganda za uongo, may God help us! Ona huyu afisa wa UTO SC anadanganya mchana kweupe hadhar.ani, shame on you Mangi Shayo
  4. N

    JamiiForums Tanzania Yanga yamkatia Rufaa CAF mchezaji wa Al Hilal, wadai alikuwa na Kadi 3

    Hii sasa ndiyo inaweza kuwapeleka makundi vinginevyo Jumapili hadi kufikia saa nne kamili usiku itakuwa ni kilio kikubwa kwa wana Jangwani. Watu watapigwa kama ngoma na Waarabu weusi.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yanga SC mkiambiwa kila kitu 'Mnawaiga' Simba SC na Simba SC ndiyo 'Baba lao' msiwe 'Mnabisha'!

    "Taarifa za ndani zinaeleza Yanga wataondoka Jumamosi alfajiri na watafika Sudan asubuhi kisha jioni watafanya mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Jumapili. Mbinu hiyo waliitumia Simba walipokwenda kuichapa Agosto huko Angola" Chanzo: Sports Arena Wasafi FM. Na msivyojua kufikiri wenzenu wenye...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo Mchengerwa unavyosema Simba na Yanga sasa 'zitaitii' Serikali unajielewa Wewe?

    Hivi hapo Wizarani Kwako hakuna Watendaji waliokuzidi Akili ambazo huna ili wawe Wanakusaidia Kiushauri na usiwe Unakurupuka Kimaongezi? Waziri Mchengerwa nani alikudanganya kuwa Vilabu vya Simba na Yanga vinamilikiwa na vinasimamiwa na Serikali yako mpaka leo katika Hafla ya Kuwopongeza Tembo...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo Mchengerwa, Yanga SC ingeifunga Al Hilal FC juzi haya 'Mapovu' yako ya leo ungeyatoa?

    Wewe ni Waziri mwenye chuki sana na uongozi wa TFF na una wivu wa kishamba na Simba SC kutokana na mafanikio yake, hasa kimataifa dhidi ya timu yako unayoishabikia mno ya Yanga SC. Leo katika hafla ya kuwopongeza Tembo Warriors umetoa kauli kuwa TFF isiwe inabagua kutoa ushauri kwa vilabu vya...
  8. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Naomba niwaumize Yanga kwa kusema ukweli, Sudan hamuwezi kutoboa!

    Habari Wakuu. kweli huwa unaweka huru, japo inaumiza sana. Ndugu zangu Yanga, mtatamba sana kwenye ligi yetu, mtatamba mno. Bila Simba kuongeza "Quality 4" mtaisumbua sana. Linapokuja suala la mechi za kimataifa Yanga wataendelea kuteseka, kuumia, kukosa furaha, kujeruhiwa nk. kwa sababu...
  9. Nyenyere

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mechi ya Al Hilal vs Yanga kuonyeshwa live

    Baada ya vuta nikuvute hatimaye Al Hilal wamekubali Azam TV warushe matangazo ya moja kwa moja ya mechi ya mkondo wa pili huko Sudan dhidi ya Yanga SC. Kongole kwa Azam Media
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Yanga mkiwa mnaiga mambo ya jezi mtumie na akili kidogo

    Yanga wametoa uzi maalum katika kuadhimisha Nyerere Day. Sasa wameweka beji ya mwalimu Nyerere katikati ya jezi yao (kifuani). Yanga wameingia klabu za Ulaya ambao beji hiyo huwekwa mahala hapo ili kujulisha mashabiki kuwa hao ndio mabingwa wa dunia mfano wa vilabu. Sasa huku kwetu Utopolo...
  11. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Naomba mawasiliano na kiongozi wa Yanga, nina pendekezo

    Wakuu naomba kama kuna mtu anaweza nikutanisha ni viongozi kati ya hawa Ally Kamwe, Manara, Rais, hata kama si kukutana nao basi mawasliano tu maana mimi sipo Dar. Nina pendekezo liitwalo "Timu Yangu, Jezi Yangu, Kadi Yangu", humu kuna namna ambayo timu inaweza ikaingza pesa nyingi sana kupitia...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kwa hili vibe la Al Hilal; Yanga wajitahidi wasizubae uwanjani

  13. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Kuna watu walihamia Yanga sasa wanarudi kimya kimya

    Mashabiki wavumilivu ndio wanaokula mbivu, Simba inapoyumba yumba wanayumba nayo inapoinuka wanainuka nayo. Lakini kwa wengine baada ya Simba kuyumba kidogo msimu uliyopita mashabiki wasio wavumilivu walijitangaza waziwazi na wengine kimyakimya kuhamia Yanga. Leo walewale wanakuja kimya...
  14. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania MAAJABU YA SOKA: Wiki hii imejirudia, iliwahi kutokea August 11 -24 mwaka 2019

    August 10, 2019 Simba alitoka sare ya bila bila ugenini na UD Songo ya Msumbiji na Yanga walitoka sare ya 1-1 na Township Rollers ya Botswana. Kama kawaida yao wachambuzi maandazi waliishambulia sana Yanga kwa kuruhusu bao nyumbani na kuisifu sana Simba kutoka sare tasa ugenini. Tulinyanyasika...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Yanga kurudiana na Alhilal: Mashabiki wa Simba wana hofu kuliko hata mashabiki wa Alhilal

    Huu ndio ukweli japo mashabiki wa Simba hawawezi kukiri. Yaani Simba wana hofu mara mbili kama siyo mara tatu ya hofu walionayo Alhilal na mashabiki wake. Mashabiki wa Alhilal wana hofu ya kawaida ya kimchezo kama ambavyo hata mashabiki wa Yanga wanayo. Hata hivyo, kwa Simba hofu iiliyojificha...
  16. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Yanga ndiyo inaikomaza Simba kimataifa bila kujua!

    Ni sawa na mzazi kwenye shule ambayo mwanae anasoma na mtoto wa jirani yake. Huyu Mzazi hapendi kuona mtoto wa mwenzake anafaulu, kwahiyo anamhonga mwalimu mtoto wake apewe mtihani rahisi au kupewa majibu halafu mtoto wa Jirani yake apewe mtihani mgumu! Ni kweli mtoto anafaulu mitihani ya ndani...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Manara: Heshima ya Yanga itatokana na matokeo!

    Matokeo yameshatoka heshima ya yanga kwishney!!
  18. T

    JamiiForums Tanzania UONGOZI WA EFM: Huyu mtangazaji wenu mnazi wa Yanga, Twalib Omar aka Muwa, sio proffessional na anapiga kelele tu kuutetea Uyanga wake

    Amani iwe nanyi Moja kwa moja nauendea uongozi wa EFM radio juu ya mtangazaji wao wa kipindi cha Esports anayefahamika kwa jina la Twalib Omar aka Muwa, kwa muda mrefu nimekuwa nikisikiliza kipindi chenu cha mchezo cha asubuhi, huyu mtangazaji wenu anashindwa kusimama katika professionalism ya...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kama ni 6, hata Yanga iliwahi kufungwa 6, 5 na Simba

    Nimeona watu wanaleta ushahidi wa mechi dhidi ya Namungo ambayo wachezaji 8 bora wa Premeiro D'Agosto walizuiwa kucheza kwa "Mizengwe" ya UVIKO 19. Hata baada ya kufungwa 6-2 pale Chamazi ambako zilichezwa mechi zote 2, lakini Namungo kwenye Group stage HAWAKUWEZA kufunga hata bao 1, kitu...
  20. luangalila

    JamiiForums Tanzania Yanga wakitaka wawanyamazishe mashabiki wa Simba S.C basi wakashinde Sudan hata goli 2 kwa 0 tu

    Nafikiri wakifanikiwa hapo basi watakuwa wamelamba dume na watatamba nchi nzima mpaka kule kwa General. Muhonzi sijui Muhumzi. Halafu watakuwa pia wamemnyamazisha hata na Jemedari.
Back
Top Bottom