FT: Yanga 2-1 Mbuni FC, Friendly Match

FT: Yanga 2-1 Mbuni FC, Friendly Match

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,138
Reaction score
138,235
Mechi ya kirafiki imemalizika kwa matokeo hayo.

Timu ya Mbuni FC inatoka Arusha ambapo mchezo huu umetumika kama mchezo wa kujiimarisha na kujiandaa na mchezo wa CAF dhidi ya Al Hilal. Yanga iliingia na kikosi cha kwanza huku magoli yakifungwa na Mayele na Feitoto.

Ni hayo tu.
 
Sawa. Tunashukuru kwa taarifa. Na vipi kuhusu matokeo ya simba na Kipanga fc, yalikuwaje?
 
Mechi ya kirafiki imemalizika kwa matokeo hayo.
Timu ya Mbuni FC inatoka Arusha ambapo mchezo huu umetumika kama mchezo wa kujiimarisha na kujiandaa na mchezo wa CAF dhidi ya Al Hilal. Yanga iliingia na kikosi cha kwanza huku magoli yakifungwa na Mayele na Feitoto

Ni hayo tu
Mbuni fc ipo daraja la ngapi?????
 
Mbuni fc ipo daraja la ngapi?????
.
IMG_20220929_235147.jpg
 
Ila wakuu, tukiacha ushabiki maandazi, kutegemea timu nyingine ije imfunge Yanga ndo tufurahi wakati sisi hao Yanga tumewashindwa naona sio sawa
Kwani hapa tunazungumzia nini
 
Hawa jamaa hawaachi hii tabia yao ya kucheza na watoto wakijiandaa na mechi za mashindano za kimataifa.
 
Back
Top Bottom