yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Yanga wanayo nafasi nzuri ya kutinga nusu fainali. Wasishangilie kabla wajipange

    Baada ya draw ya Kombe la Shirikisho Afrika na Yanga kupangwa na Rivers United ya Nigeria, mashabiki wa Yanga wameonekana wenye matumaini makubwa ya kufuzu Nusu Fainali kwa kuona Rivers pengine ni timu ya kawaida na wanauwezo wa kuitoa. Yanga ilivyopangwa na Rivers United, viongozi na baadhi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Droo Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika: Yanga SC vs Rivers United - Simba SC vs Wydad Casablanca

    Stay tuned hapa kwa updates mbalimbali kwa yatakayojiri katika droo hii hapo baadaye saa 3:30 usiku. Simba SC 🇹🇿 anaweza akakutana na timu moja wapo kati ya hizi • ES Tunis 🇹🇳 • Mamelodi Sundowns 🇿🇦 • Wydad Club Athletic 🇲🇦 Yanga SC 🇹🇿 inaweza kukutana na tumu moja wapo kati ya • A = USM Alger...
  3. JamiiForums Tanzania Futari na Futuru na Balozi Ramadhani Dau na Wenzake wa Yanga Kids 1970s

    FUTARI NA FUTURU NA BALOZI DR. RAMADHANI DAU NA YANGA KIDS WATOTO WADOGO WALIONG’ARISHA SOKA LA TANZANIA MIAKA YA 1970 Kuna mshairi alikuwa anatunga shairi na mwanzo wa ubeti akajiuliza, ‘’Wapi ninaanza kueleza historia hii?’’ Akaendelea kuandika, ‘’Wapi ninaanza kueleza historia hii, historia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kisasi ni haki, Yanga dhidi ya Rivers moto utawaka

    Nakumbuka yanga waliondoshwa kwenye mashindano ya klabu bingwa na Rivers baada ya kuchapwa goli moja bila kwa mkapa na kisha kufungwa tena moja bila kule Nigeria, Yanga walipoteza mechi zote mbili ktk mazingira tofauti. Rivers walikutana na yanga iliyokuwa bado inajitafuta, ilikuwa ndio...
  5. JamiiForums Tanzania Mapambano ya matajiri wawili yakwamisha safari ya Yanga kurejea nyumbani

    Klabu ya Yanga ilikuwa jijini Lubumbashi kwa mechi yao ya mwisho na TP Mazembe na walitarajiwa kurejea nchini Tanzania juzi usiku. Hata hivyo, kulikuwa na vita ya kifamilia kati ya matajiri wawili jijini hapo. Tajiri namba moja wa Yanga, Ghalib Said Mohamed, alikuwa na faili zito la usajili...
  6. JamiiForums Tanzania Andre Mtine Atua Cairo

    Habari za kufurahisha moyo kwa mashabiki wa Yanga! Klabu hiyo imemtuma tena Ofisa Mtendaji wao Mkuu, Andre Mtine, kwenda kufuatilia droo ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi ya Mabingwa Afrika. Hafla hiyo itafanyika kesho jijini Cairo na Yanga ni moja kati ya timu 8...
  7. JamiiForums Tanzania Utabiri wangu kuelekea robo fainal champions leage na shirikisho Simba dhidi ya mamelodi Yanga dhidi ya pyramid

    Wanamichezo wenzangu kuelekea robo fainal caf champions league na shirikisho na huu ndio utabiri wangu. Simba sc vs mamelodi Pyramid vs young Africans.
  8. JamiiForums Tanzania Wakati manara anatutukana mashabiki wa Yanga akujua vice president wakati huo ni shabiki wa yanga

    Haji manara wakati yupo Simba aliwahi kusema pale Yanga mashabiki wenye akiri ni baba yake na mzee kikwete. Wakati anasema hayo nadhani hakufikiria ya mbele au ndo mropokaji,raisi wa Tanzania mama yetu ni shabiki wa yanga je na yeye Ile kauli inamuhusu. Haji manara inabidi utuombee samahani...
  9. JamiiForums Tanzania Kulinganisha Simba na Yanga ni sawa na kulinganisha mwanafunzi wa chuo kikuu na alifeli form two

    Yanga ni mwanafunzi aliefeli form two baada ya kushindwa kufikisha "D" mbili katika masomo yake,na ikabidi arudie darasa Tena kwa Mara ya pili, hii inajidhihirisha baada ya kufeli vibaya kweny lig ya mabingwa Africa. Simba yeye ni mwanafunzi aliepass vizuri masomo yake na Yuko chuo kikuu...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga mnapata wapi kiburi cha kujisifu Shirikisho? Kuna timu inashuka daraja kwao lakini imeongoza kundi Shirikisho

    Kelele za Yanga jamani. Mwaka huu shirikisho ni vituko tu. Marumo Gallants South Afrika wanashika mkia lakini wameongoza kundi lao shirikisho. Tukisema shirikisho hakuna Timu Bora mwaka huu mtuelewe jamani. Kati ya mechi 23 alizocheza kwenye ligi kashinda mechi 3tu. Na bado mechi 7. Wakati...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mnaupiga mwingi, mafanikio ya msimu mmoja tu ndani ya michuano ya CAF ni kielelezo cha ubora wa timu yenu

    Hakuna asiejua msoto aliopitia yanga miaka ya nyuma kwenye michuano ya kimataifa, mafanikio pekee aliyokuwa nayo ilikuwa ni kuingia hatua ya makundi kombe la shirikisho na akavuta mkia kwenye kundi lake, kipindi icho ilikuwa ni yanga ya kuungaunga sana. Lakini baada ya uwekezaji mkubwa kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tatizo tunaishi kwa mazoea! "Yanga ana mafanikio zaidi kimataifa kuliko simba mwaka huu

    Tatizo tunaishi kwa mazoea na usimba na uyanga Yanga wakati inaanza mwaka huu wa mashindano ilikuwa ya 75 Leo hii yanga ipo ndani ya top 20 best club in Africa. Wakishika nafasi ya 20 wakati simba kapanda nafasi 5 tu mwezie kapanda nafasi 55 tuendelee kuwepo lakini ukweli Yanga ya Sasa ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mngependa kukutana na timu gani kati ya hizi tatu kwenye robo fainali ya kombe la losers? Rivers United, USM Alger au Pyramids

    Chei chei! Timu ya Yanga inakwenda kuumaliza mwendo katika kombe la waliofeli kwani wanakwenda kukutana na miamba mitatu ambayo isingependa kukutana nayo. Yanga amemaliza kama kinara wa kundi Dada....ila anakwenda kukumbana na hatari kubwa mbele yake kwani alitegemea labda atapata vibonde ambao...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga 4-5 Villa Squad: Rekodi ya 2008/2009 isiyoimbwa na inayoweza kupotea

    Leo nimeamua niweke katika kumbukumbu matokeo ya hii mechi ambayo hayanukuliwi mara nyingi kwa kuwa labda ilikuwa ni mechi ya mwisho katika msimu wa 2008/2009 tarehe 27/04/2009 kati ya timu ndogo ya Villa Squad iliyokuwa imeshashuka daraja dhidi ya Yanga iliyokuwa imeshanyakua ubingwa, na...
  15. JamiiForums Tanzania Kwenye chaki leo (Bitter Truth)

    Habarini Wananchi wote wa JF..! Bila kupoteza muda naomba nisiwachoshe tusichoshane..Ukweli huwa ni mchungu sana..hii imewafanya watanzania wengi wanapenda uongo wenye kufariji kuliko ukweli unaoumiza.. Awali nilikuwa nikitizama hizi timu za Bongo niliona zinachechemea sana hakuna Lolote Jipya...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Yanga watafika fainali CAFCC

    Kwa hali ilivyo sasa Yanga wanaweza kuivuka Historia ya SIMBA. I am a SImba Fan lakini SIMBA mwaka Jana kulikuwa na timu kama BERKANE ORLANDO. This Time CAFCC kuna timu nyingi lakini za kawaida sana mfano future pyramid FAR RABAT na Rivers zote za kawaida sana.
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga huwa wanakabidhi akili zao kwa nani?!

    Nawaambieni kweli, hawa wanaoropoka humu Juwaani sio watu wadogo. Baadhi ni viongozi kule Utopolo
  18. JamiiForums Tanzania Naomba tofauti ya mashindano wanayocheza Yanga na Simba (nini maana ya looser na kwanini)

    Hivi hii michuano ya kimataifa inayochezwa na yanga na Simba ni Ile Ile au ni mashindano tofauti? Naomba ufafanuzi na hii dhana ya looser inakaaje? Nini tofauti ya shirikisho na club bingwa? Na je huko mbele Kuna mahali watakutana?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Yanga ni bora kwa sasa CECAFA

    Take it🔥 Ipo hivi, Yanga sc imevuna alama zote 6 kwa Tp Mazembe. Imekomba alama 4 kati ya 6 kwa Real Bamako. Imechukua alama 3 kati ya 6 kwa Us monastir Kifupi Yanga sc kwa sasa ndio timu bora katika ukanda wetu huu wa Cecafa. Tujivunie
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yanga itaendelea kuzifanya timu nyingi zionekane mbovu

    Kuna katabia fulani hivi kameanzishwa na mashabiki wale wafuasi wa Mangungu na Mhindi wa bombay kuwa kila yanga inaposhinda mechi wao wanasema timu ni mbovu iliyokutana na yanga, Ni lugha fulani hivi ya kujihami lakini vichwani mwao wanalo fundo kubwa la wivu, Unaposema yanga kakutana na mbovu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…