yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Goli 2 za Shirikisho ni sawa na offtarget 1 ya Championship

    Hutaki unaacha 🤣🤣🤣
  2. JamiiForums Tanzania Kuidharau Yanga SC ikielekea CAFCC Semi ni Ushamba na Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC

    Kwanza tuelewane chini ya CAF hakuna Shindano la Loosers ( Walioshindwa ) bali Mashindano yote yana Umuhimu na yametenganishwa ili Kukuza zaidi Kiwango cha Soka hasa Kimashindano kwa Bara la Afrika. Pili kama kuna mwana Simba SC Mwenzangu hapa JamiiForums anabeza Mafanikio haya ya Yanga SC na...
  3. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu JF Kocha Nabi na Rais Injinia Hersi hawatufai tuwatimueni upesi

    Timu juzi kule Nigeria imecheza Mchezo mbaya mno na inaonyesha Nabi siyo Kocha mzuri hivyo tumtimueni tu. Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hatufai kabisa kwani Katusajilia Michezaji isiyojua Kama Mayele na Beki mbovu Mwamnyeto. Naombeni wana Yanga SC Wenzangu wote hapa JamiiForums Kesho...
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri muhimu kwa uongozi wa Yanga na mashabiki wa Yanga, hatutaki hadithi ya Simba na Jwaneng Galaxy

    Ni wazi mashabiki wengi wa Yanga wanaamini kazi imeisha, kilichobaki ni kumaliza kazi Dar. Mimi niko kinyume, kazi ndio imeanza, mpaka sasa hatuna deni na wachezaji wetu na benchi la ufundi kwa sababu wameshavuka malengo yaliyowekwa kuingia kwenye makundi, wanachotupa kwa sasa ni bonus tu...
  5. JamiiForums Tanzania Sababu za kwanini Simba ni bora kuliko Yanga

    Kuna sababu nyingi zinazoweza kufanya watu wengi kuamini kwamba Simba ni timu bora kuliko Yanga. Hata hivyo, ni muhimu kuzingatia kwamba michezo ni mchezo na matokeo yake yanaweza kutofautiana kutokana na mambo mengi, kama vile hali ya wachezaji. Hapa ni baadhi ya sababu ambazo zinaweza kufanya...
  6. JamiiForums Tanzania UTABIRI: Msimu huu wa 2022/23 Yanga na Man City, wote watabeba makombe matatu

    Kuna kila dalili za ubashiri kuwa, msimu huu wa 2022/23 timu ya Yanga ya Tanzania itafanikiwa kunyanyua makombe matatu (ligi kuu, Kombe la FA (Azam confederation) na Shirikisho CAF), na hali hiyo hiyo itatokea kwa timu ya Man City ya Uingereza ambayo nayo itabeba makombe matatu (Ligi kuu, Kombe...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Yanga Watoa Sababu za Winga Mtukutu Morrison kutocheza Nigeria 🇳🇬

    Y YANGA imeeleza sababu ya winga wake Bernard Morrison 'BM33' kutotumika kwenye mchezo wa kwanza robo fainali Kombe la Shirikisho dhidi ya Rivers United uliopigwa kwenye Uwanja wa Godswill Akpabi nchini Nigeria. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Yanga kupitia kwa Kocha msaidizi Cedric Kaze...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Simba kujifunza kwa Yanga sio Dhambi

    Kulibeza kombe la shirikisho haisaidii kitu, jifunzeni kutoka kwa Yanga wamewezaje kuikaribia nusu fainali kwa mara ya kwanza kwenye historia ya nchi yetu,Simba lwamecheza kombe hili mara moja lakini walishindwa kusogea hii hatua,walau hata kuinusa tu achilia mbali kushinda !!.
  9. JamiiForums Tanzania Simba Sc tuna mengi ya kujifunza kutoka Yanga

    Kwanza nikiri kwamba nitazungumza bila unafiki na kwa nia ya dhati kabisa naomba nitoe mtazamo wangu kwamba tukiwa kama moja ya klabu inayokuja kwa kasi nadhani wanasimba tuna mengi ya kujifuñza kutoka kwa watani zetu Young Africans wanaofanya vizuri nyumbani na kimataifa. 1.Mpira ni uwekezaji...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Yanga anatembea na team kila kona?

    Najiuliza sipati jibu nikiwa kama mdau wa mpira ni kwanini rais wa Yanga kila timu inakoenda na yeye yupo?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kundi maalumu la Mashabiki: Ni wale wanaozipenda Simba na Yanga kwa pamoja!

    Huu utamaduni wa kushabikia timu moja na kuiombea dua mbaya timu nyingine hauna tija!! Kwani ukiipenda Simba lazima uichukie Yanga? Na ukiipenda Yanga lazima uichukie Simba? Kwani ukiifurahia Yanga lazima inavyocheza lazima uichukie Simba? Au ukiifurahia Simba inavyocheza lazima uichukie Yanga...
  12. JamiiForums Tanzania Kufungwa na Simba mechi iliyopita ilikuwa ni blessing in diguise kwa Yanga

    Kufungwa na simba mechi ilopita ilikuwa ni blessing in diguise. Yanga baada ya kufungwa mechi hiyo na watani wake wa jadi kocha alichambua udhaifu wa timu kiufundi kuanzia idara ya ulinzi, midifida mpaka washambuliaji. Kwa Utaalamu huo wa kusoma ufundi wa timu, kocha kainoa timu kimbinu bora...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Yanga aliyevaa jezi namba 12 kwenye mechi ya leo ningekuwa na hela ningemzawadia kitita

    Kwa hakika huyu mchezaji (sijapata jina lake) amefanya kazi ya ziada katika upatikanaji wa goli la pili. Amekimbia kwa speed kali na mpaka anatoa pasi, ni wazi alikuwa ametumia maximum energy aliyokuwa amebaki nayo kwa wakati ule na kidogo aanguke baada ya kutoa pasi ila akamudu vyema. Pia...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga yaweka record nyingine CAFCC

    1) Yanga imekuwa timu ya Kwanza (CAF) kuwafunga Rivers United nyumbani kwao. 2) Imekuwa timu ya kwanza kuwazuia Rivers Utd kufunga bao (CAF) wakiwa kwao Haya ni matokeo ya Rivers United wakiwa nyumbani kwao kwa msimu huu kwenye mashindano ya interclub. Rivers 2 - 1 Wydad Casablanca Rivers...
  15. JamiiForums Tanzania River ni mbovu KULIKO Ruvu shooting, Yanga asipopita nusu fainal nitawadharau sana

    Hawa River sijui wamefikaje robo fainal. Hii timu hata Ruvu shooting Wana afadhali INAONEKANA ligi ya wapopo ni dhaifu kama ligi ya visiwani Zanzibar. No hard feeling, Yanga anatakiwa kuvuka japo wataongea sana ila tukubali huu mwaka jamaa wamepata kismart sana Timu wanazokutana nazo ni Zalan...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Leo baada ya mechi na Rivers United haya ndiyo yatakayokuwa maongezi ya Wana Yanga

    Wanayanga baada ya mechi na Rivers United na kupoteza watasema: 1) Wachezaji hawakuwa na morali baada ya kufungwa na Simba kwenye derby. 2) Wachezaji walikuwa na uchovu wa safari na nguvu nyingi waliitumia kujiandaa na mechi ya watani. 3) Wachezaji waliwadharau wapinzani (by Nabi) hivyo kupoteza...
  17. JamiiForums Tanzania Utabiri Yanga kuchukua kombe la shirikisho mwaka huu

    Yanga itachukua kombe la shirikisho mwaka huu natabiri na itakutana fainal na Rabat. Yanga ndiye bingwa wa confederation cup. Simba atatoka morocco na fainal. Nusu ni Waydad vs mamelodi na kule ni Esperance de tunis vs Al Ahly. Watakutana wababe wa africa mamelodi na Al Ahly Mamelodi ndiye...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Yanga wafanyiwa figisu, wapewa gari bovu Nigeria

    Hili ndo basi wamepewa Yanga SC na wenyeji wao huko nchini Nigeria kwa ajili ya matumizi wakiwa nchini humo kwa ajili ya mchezo wa CAF confederation dhidi ya Rivers hapo kesho.
  19. JamiiForums Tanzania Malisa GJ: Mchanganuo wa Fedha za Simba na Yanga una utata

    Mechi imeingiza 410M then mwenyeji anapewa 100M na ushee? Karibu 240M zimepotelea kwenye makato. Yani makato ni makubwa kuliko mtaji. Biashara kichaa.! Hata mchanganuo haueleweki. Uwanja 47M, gharama za mechi 22M, ticket 22M. What the difference? Kama uwanja na ticket vimelipwa hizo gharama...
  20. H

    JamiiForums Tanzania TFF imetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023

    Shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini limetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023, wadau mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia timu mwenyeji (Simba)kuambulia sh 188,987,181.10 tu katika mapato yote yaliyopatikana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…