Nawaomba Yanga SC kuelekea Mechi yao ya Dar es Salaam na ile ya Afrika Kusini dhidi ya Marumo Gallants FC katika Hatua ya Nusu Fainali kusitokee Taarifa ypyote ile ya Msiba wa Mtoto wa Mchezaji au Baba na Mama wa Mchezaji au Mke wa Kiongozi au Ndugu wa Kiongozi au wa mwana Yanga Maarufu...
Yanga inayoongoza ligi kuu ya Tanzania inakwenda kuchuana na timu inayoshika mkia katika ligi kuu ya Afrika ya kusini kuwania kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,tarehe 10 May 2023,Fiston Mayele mfungaji bora wa ligi kuu ya Tanzania,ataongoza safu ya ushambuliaji kwa timu ya...
Singida? Kagera Sugar? Dodoma Jiji? Hawa wachovu sana kwetu. Yaani hawa huwa tunaingia kwenye ligi tukijua kabisa wanapoints zetu. Idadi ya mabao tu ndo tunakuwa hatujui.
Mbwa walidhani Singida watatusumbua..... Haitatokea.
Sio siri Yanga tulikuwa na wasi wasi wa kaweza kulipambania kombe la ligi kuu baada ya kupoteza derby, yani tulikuwa tumepishana point 5 tu na Simba na mbaya zaidi sisi Yanga tulikuwa tuna mechi 3 ugenini ikiwemo ya wajela jela na Mbeya city.
Kwa sasa pumzi imeshuka kidogo maana tunahitaji...
Ligi yetu bado sana ushindani ni mdogo kwa sababu ya siasa za mpira wetu. Mfano kesho Singida Big stars unategemea kesho watoe upinzani against Yanga lakini utaona watakavyobehave. Hili ni janga kwa timu zetu.
Watu wanasema SImba na Namungo wanauhusiano lakini me nasema big no kwa sbb Namungo...
Habari wakuu.
Mimi ni mpenzi mkubwa sana wa mpira wa Miguu.
Nikaanza kuipenda Simba nikiwa na miaka 7 Mwaka 2003.
NAOMBA NIWAPONGEZE YANGA KWA KUANDAA TAMASHA LA KUICHEKA SIMBA KWA SABABU ZIFUATAZO.
1. CHANZO KIPYA CHA MAPATO.
Yanga wametumia Fursa kutoka utani WA jadi wa kugawana wake...
Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city.
Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na Prison, Simba huyo kileleni, mark my words nimekaa pale.
Soma barua ya TFF
======
Bodi ya Ligi Kuu itaupangia tarehe nyingine mchezo wa ligi kuu kati ya Singida BS dhidi ya Yanga ambao ulipaswa kupigwa mwishoni mwa wiki.
Yanga inatarajiwa kusafiri nchini Nigeria kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza Robo Fainali Kombe la Shirikisho barani...
Kutokana na utata unaoendelea kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa, nimeshirikiana na wataalamu wa TEHAMA kutengeneza jedwali linaloonyesha vizuri mzania wa mafanikio ya timu hizi mbili katika mashindano yote ya CAF.
Nadhani jedwali hili litatupa picha kamili ya mafanikio ya timu hizi...
Ukiangalia ratiba ya CAF bora Yanga wakamalize mechi zote Singida. Kwanza Singida ni mtoto wao atwaachia tu.
Ikitokea wamefuzu kucheza fainali kuna mechi za home and away tar 28 mei na tar 02 juni kwa hiyo kuacha kucheza hiyo mechi ya FA itaharibu ratiba ya FA lakini pia wao itawapa ugumu wa...
Najua maumivu waliyonayo upande wa pili ni makali sana, wivu ukijumlisha na chuki vinawafanya wawe na hali mbaya sana zikiwemo stress za kujitakia.
Pamoja na hayo yote bado ukweli unaendelea kubaki vile vile ya kuwa mpira hauna cha short cut, mpira ni uwekezaji na project za maana ili upate...
Check hao wafutiliaji wa michezo ya Simba na Yanga kimataifa
Yanga anajaribu kujilijganisha na Simba lakini bado sana nasema bado sana.
Huo ndo ukweli wenyewe, huwezi kuwa na timu Bora kimataifa yenye mfungaji mmoja kazeni boot.
Mapovu ruksa mvimbe mpasuke na mwiko wenu huko nyuma
Yanga baada ya kuonekana anaenda semi final simba wakatoka huko waliko wakasema washawahi cheza fainal ya Confederation Cup inachekeshesha sana.
Hivi niulize nani anauzi au ana taarfa inayosema simba ishacheza Fainali iliyosemwa almost 2 months ago au hata mwezi mmoja uliopita kama kuna taarfa...
Itakumbukwa 28 Machi, 2023 kulikuwa a mechi baina ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda (Uganda the Cranes) kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON). Siku hiyo umeme ulikatika wakati mechi hivo inaendelea katika Uwania wa Benjamin Mkapa...
kukatika kwa umeme
kukatika umeme
lawama
meneja
mkapa
radhi
saba
serikali
tanesco
umeme
uwanja
uwanja wa mkapa
uwanja wa taifa
viongozi
wasimamishwa
watendaji
watumishi
yanga
Wananchi kukipiga na Marumo ya South tarehe 10 mwezi ujao hatua ya nusu fainal CAFCC.
Mechi nne kali za Yanga mwezi huu;
Singida vs Yanga tar. 4 May (NBC)
Singida vs Yanga tar 7 May( Azam fa)
Yanga vs Marumo tar. 10 May (CAFCC)
Marumo vs Yanga tar. 17 May (CAFCC)
Wana Yanga SC wote walijaa hadi Pomoni kwa Mkapa wakijua kuwa kama Ugenini mlishinda Goli 2 basi leo kwa Mkapa Wanaijeria wangekufa / wangefungwa Goli nyingi kuanzia 3 kwenda mbele matokeo yake imeisha Suluhu ( 0 - 0 )
Najua mnashangilia Shingo upande tu huku mkiwa Wanafiki kwani matokeo...
Mpira wa leo ama kwa hakika ulikuwa wa hesabu za kutotumia akiba yote, Nabi alifunga full busta ugenini ili kumaliza kazi mapema na hesabu zake zimemlipa leo.
Leo hii Yanga wamecheza mpira wa kupata matokeo ya kuwapeleka tu nusu fainali tena bila kukamia kukwepa majeraha na kuchezesha wachezaji...
Wananchi ni wazi tupo kinywani mwa Galants, vipi kutoboa kupo kweli au tusubiri kutimiza wajibu maana Rivers jinsi walivyocheza leo ni kama hawakuhitaji ushindi au ni timu ya kawaida ukilinganisha na Galants.
Muda ni Mwalimu mzuri ngoja tusubiri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.