yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kwa Rivers hii Yanga wapewe maua Yao.

    Hakuna namna Rivers wanaweza kupata ushindi au sare. Hawaoneshi kuwa serious na kazi. Ngoja watimize wajib warudi kwao.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Clement mzize, sio level ya kucheza yanga.

    I have being watching him in several matches, factors hidering his performance . Poor positioning . too heavy (mzito) . Poor Football intelligence ( he needs to attend class again ) How to improve . He should switch the numbers . Improve the runs . He should be loan to a different club for...
  3. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Aibu kubwa kwa Taifa taa za uwanja wa Benjamini Mkapa kuzimika mechi ikiwa inaendelea

    Nashangaa sana katika hili taifa mwanzo walisema Kuna mtu/kibaka alifanya hujuma akakamatwa Sasa leo Tena ni Nini? Halafu tunaomba kuandaa afcon kwa hali hii tutakubaliwa kuandaa mashindano ya afcon?? Ni aibu kubwa kwa KWELI/tunaaibika kimataifa. ---
  4. L

    JamiiForums Tanzania Umeme umekatika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati Mechi ya Yanga na Rivers ikiendelea

    Uwanja wa Taifa giza Tena,Mwigulu ansema tupo salama Jamani ,tuwe serious hii Ni mara ya pili. CAF fungieni uu uwanja tafadhali =========== Mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji Young Africans SC dhidi ya Rivers United ya Nigeria imesimama kwa...
  5. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Yanga Chini Ya Hersi tuupeni Maua yake

    Yanga For Many Years ilikua inajitafuta sana kiukweli ilikua inajitafta na hilo halina ubishi na katika misimu iliyokua inajitafta simba ilipiga hatua kubwa sana japo hayo mafanikio ya simba yanaanza kupoteza nguvu ikiwa ndio mwaka mmoja wa Hersi pale yanga. Hersi ndani ya mwaka mmoja wa...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga SC imetumia Nguvu Kubwa na Kujiandaa Kupitiliza kwa Mechi ya Rivers United FC wakati kwa 99% Wameshafuzu?

    Nimeshuhudia Maandalizi mengi ya Klabu ya Yanga hasa ikicheza Michuano ya Kimataifa ila sijawahi kuyaona Maandalizi haya Kabambe na Kufuru yaliyofanywa kuelekea Mechi yao ya Marudiano na Rivers United FC Kesho Mkapa Stadium. Hata hivyo Wenye Akili tunajua baada ya Yanga SC Kushinda Ugenini (...
  7. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Baleke yupo kwa mkopo na kaweza kuwashawishi Tp Mazembe kiwango kimerudi, Je atarudi Mazembe, atabaki simba au Yanga watatumia nguvu ya pesa kumpora ?

    Msimu ndio unakaribia kuisha hivyo na kijana huyu kaweza kutupa surprise ya aina yake ligi ikiwa ukingoni 1. Tp Mazembe watamtaka arudi congo ? 2. Atabaki Simba ? 3. Yanga watatumia nguvu ya pesa kumleta jangwani ?
  8. master of cities

    JamiiForums Tanzania Simba kama mmekubaliana na kichapo cha Wydad msihamishie hasira Kwa Yanga

    Inashangaza sana kufungwa mfungwe nyie , timu mbovu mmerundikana nyuma tuuu , no On target hata moja , kibu D anakimbiza mpira kama nyumbu anaangalia Tu chini, wala haoni wenzake walio pembeni , hakuna attacking midfielder anayeweza kupunguza angalau wachezaji wawili ama wa tatu wa timu pinzani...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kocha Nabi Kaisuka Yanga SC kwa miaka Miaka Miwili, Kocha Oliveira Kaisuka Simba SC kwa Miezi Minne je, yupi ni Bora?

    Kwa tulisoma Saikolojia na hata kuwa Wakufunzi / Walimu tukiona Mwanafunzi anamwelewa Mwalimu kwa muda mfupi huamini huyo Mwalimu ni mahiri ila tukiona kuna Mwalimu kaeleweka na Wanafunzi kwa muda mrefu haraka sana huwa tunamtilia Mashaka na hata Kuamuru Uchunguzi wa Kitaaluma ufanyike kwa huyo...
  10. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Yanga bado mna vita kubwa. Mnahitaji kuwa more professionals na uwezo mnao, maamuzi ni yenu.

    Yanga kwa maana ya viongozi na wachezaji, Ushindi wenu na dhidi ya Rivers United kule Nigeria ni chachu tu kuelekea safari amnayo bado ni mdefu pamoja na kuonekana kama safari iliyobaki hatua tatu tu. Waacheni mashabiki wenu wafurahie pia wajigambe, lakini ninyi wakati wenu wa kujipongeza...
  11. Street brain

    JamiiForums Tanzania Maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee

    Daaah, ngoja niteremke moja kwa moja kwenye point,, Simba alipokuwa cafcl maneno yalikuwa mengi sana, sasa nasubiri muongee na sahivi niwasikie, NASEMA HADI FA HAMTAPATA YAANI MTAKANDAWA POTE POTE MKIVUKA AZAM FC MNAKUTANA NA MWENYE KUU YA JANGWANI YAANI MTAPOTEANA MPAKA MSEME JINA LA UTOTO LA...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongeza dau, kutoa Tsh. Milioni 10 kwa kila Goli kwa Yanga na Simba (CAFF na CAFCL)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi Milioni 5 hadi Shilingi Milioni 10 endapo timu hizo zitafuzu kucheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na Kombe la Shirikisho Barani Afrika...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga mechi ya marudiano hangaikeni na nafasi za wazi walizopoteza Rivers.

    Bahati nzuri na bahati mbaya zipo kwa uiwiano na kiwango sawa kutokea. Kama Yanga walikuwa na bahati kuzitumia nafasi zao 2 kupata mabao, hivyohivyo Rivers wanaweza kubahatika kugeuza nafasi walizopoteza kwao kugeukia magoli kwetu. Tusijidanganye na kupofushwa na tugoli tuwili tuliyowwfunga...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa Dar es Salaam nitajie Ukumbi usio na Yanga wengi Kesho nije tuiangalie Simba yetu pamoja

    Kumbi yangu Kuu ya Kawe najua Kesho kutajaa wana Yanga SC wengi naogopa na hivi nina Mkanda Mweusi wa Combat Kung Fu naweza kusababisha Mtu ( mwana Yanga SC ) akaishia ICU Hospitalini au hata Mortuary kwa Kichapo Tukuka nitakachokitoa. Kesho GENTAMYCINE nataka kwenda katika Ukumbi ambao una 90%...
  15. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Yanga kufungwa 2-0 na Rivers

    Yanga wasidhani kazi imekwisha, wanaohitaji Umakini wa Hali ya juu Kushinda mchezo ujao dhidi ya rivers, Kama wataleta mzaha wataambulia kichapo nyumbani na kutupwa nje ya mashindano
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Goli 2 za Shirikisho ni sawa na offtarget 1 ya Championship

    Hutaki unaacha 🤣🤣🤣
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuidharau Yanga SC ikielekea CAFCC Semi ni Ushamba na Simba SC haijawahi Kucheza Fainali ya CAFCC

    Kwanza tuelewane chini ya CAF hakuna Shindano la Loosers ( Walioshindwa ) bali Mashindano yote yana Umuhimu na yametenganishwa ili Kukuza zaidi Kiwango cha Soka hasa Kimashindano kwa Bara la Afrika. Pili kama kuna mwana Simba SC Mwenzangu hapa JamiiForums anabeza Mafanikio haya ya Yanga SC na...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu JF Kocha Nabi na Rais Injinia Hersi hawatufai tuwatimueni upesi

    Timu juzi kule Nigeria imecheza Mchezo mbaya mno na inaonyesha Nabi siyo Kocha mzuri hivyo tumtimueni tu. Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hatufai kabisa kwani Katusajilia Michezaji isiyojua Kama Mayele na Beki mbovu Mwamnyeto. Naombeni wana Yanga SC Wenzangu wote hapa JamiiForums Kesho...
  19. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ushauri muhimu kwa uongozi wa Yanga na mashabiki wa Yanga, hatutaki hadithi ya Simba na Jwaneng Galaxy

    Ni wazi mashabiki wengi wa Yanga wanaamini kazi imeisha, kilichobaki ni kumaliza kazi Dar. Mimi niko kinyume, kazi ndio imeanza, mpaka sasa hatuna deni na wachezaji wetu na benchi la ufundi kwa sababu wameshavuka malengo yaliyowekwa kuingia kwenye makundi, wanachotupa kwa sasa ni bonus tu...
  20. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Sababu za kwanini Simba ni bora kuliko Yanga

    Kuna sababu nyingi zinazoweza kufanya watu wengi kuamini kwamba Simba ni timu bora kuliko Yanga. Hata hivyo, ni muhimu kuzingatia kwamba michezo ni mchezo na matokeo yake yanaweza kutofautiana kutokana na mambo mengi, kama vile hali ya wachezaji. Hapa ni baadhi ya sababu ambazo zinaweza kufanya...
Back
Top Bottom