yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Franky Samuel

    JamiiForums Tanzania Yanga kuvuta Tsh. Millioni 300 wakifuzu fainali

    Milioni 300 Kwa ushindi wa jana, Yanga wanakaribia kuvuta bonasi ya Tsh. 300 milioni ambazo mabosi wa timu hiyo wamewaweka nyota wao endapo watafuzu fainali hizo[emoji383][emoji383].
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hivi hiki kikosi cha Yanga kina manufaa yapi kwa Tanzania?

    Nawashangaa Sana mnaoshabikia Yanga na watz Kwa ujumla. Hawa majamaa wanadidimiza wachezaji wazawa kabisaa. Hata mkisema mi mbaguzi Sawa tu.
  3. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania I Bet Msimu huu 2022/23 Yanga atakuwa Bingwa makombe yote 4

    Wakuu nimeona mpira wa Yanga hakika nawaambieni Yanga anaenda kubeba mataji yote 4 aliyoshiriki msimu huu.
  4. technically

    JamiiForums Tanzania Je, Yanga hii ndio ‘Golden Generation’ tangu mwaka 1935?

    Yanga hawajaruhusu bao toka mwezi 2 kwenye michuano ya caf waliporuhusu bao dhidi ya bamako kule mali baada ya hapo wameshinda na kufunga mabao 9 ndani ya mechi 6 bila kuruhusu bao. Wamecheza dakika 540 bila wavu wao kuguswa. Wachezaji Waliopo benchi ni zaidi ya waliopo kikosini. Kila namba...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hongera Yanga Nawapenda Japo Mimi ni Simba na sitahama

    Hello family, Hongereni Yanga na Mungu awape heri na fanaka kwenye haya mashindano ya CafCC. Inshallah nguvu moja na upendo For our country and for sports. Wadiz
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Haji Manara Acha kuwawekea dawa wapinzani,ulianza huo mchezo ukiwa Simba SASA umeuleta Yanga

    Unatuharibia image,hako kamchezo ulikuwa nako ukiwa Simba sasa umekakwta jangwani,Sisi tuna timu imara hatuitaji kupuliza dawa kwenye mabasi na dressing room za wapinzani. Unatuharibia sana
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yanga wapo mbioni kumchukua Okrah na Phiri

    Wanasimba tunapigwa pigo jingine, Yanga wapo mbioni kumchukua Phiri azibe nafasi ya Kisinda na Okra azibe nafasi ya Morrisson. Wana Simba kutokana na Robertinho kutowakubali hao, mwakani tena maumivu.
  8. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Oscar Oscar: Simba sio mbovu kama wengi wanavyodhani, kilichotuangusha msimu huu ni Ubora wa Yanga na Azam tu!

    Wakati tukimsubiri Marumo Gallants ambaye mpaka sasa amepotea njia ya kuja bongo na hajulikani kafika wapi, Ebu tumsome mchambuzi nguli kutoka viunga vya Kalia Mchambuzi huyu amesema sababu ya Kufa Kiume FC kushindwa kung'aa ndani na mipaka ya nchi yetu ni kwa kuwa Azam na Yanga ni bora...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu msemaji wa Yanga anadhani Rais Samia hajielewi?

    Mimi ni shabiki wa Yanga (kiasi) ila kitendo cha huyu msemaji wa Yanga kutaka Jumatano kazi ndani ya ofisi za umma kuishia saa sita mchana siku ya Jumatano kwakuwa Yanga inacheza HAPANA. Hata ingekuwa ni final bado hatupaswi kusitisha shughuli za umma kwa vitu vyenye tija kwa wachache huku...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania CAF kuitoza Yanga 82 milioni ni ushahidi kuwa CAF ni shabiki wa Simba

    Yanga imeamuliwa na caf kulipa TZS 82,0000 kwa kosa la kuvunjwa vioo vya gari lililotumiwa na RIvers United ya Nigeria hapa tanzania, rivers kuibiwa fedha kwenye basi, mashabiki wa Yanga kumulika vitochi (laser) na kuwasha moshi uwanjani. Hukumu kama hii ina harufu ya ushabiki wa simba na Yanga...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kocha: Nasreddine Nabi atema cheche Yanga

    NABI: Tunatakiwa kuwa makini na huu mchezo wa nyumbani, watu wanasema tunatakiwa kushinda mabao mengi, wako sahihi, kwangu mimi ni tofauti kidogo tunachotakiwa ni kuwa makini tusiruhusu bao hapa kwetu lakini ushindi wowote utatupa akili kubwa kule kwao. Tunakwenda kucheza na timu ambayo imekuwa...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Yanga yapigwa faini na CAF kwa makosa 3 likiwemo kuwasha fataki uwanjani wakati wa mchezo

    =============== Katika lugha inayotumika kwenye barua official sehemu za pesa huwa zinaanza kwa tarakimu zilizotenganishwa kwa comma, kisha aina ya pesa kwa initials baada ya hapo kuwepo kwa mabano ya maneno) Mfano 2,000 USD (Two thousand US Dollars) 2,000 Tshs (Two thousand Tanzanian...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sikio la kufa halisikii dawa, unapumzisha wachezaji kwa ajili ya nusu fainali na unakandwa kama kawaida

    Robertinho bado ni kocha mwenye mapungufu mengi, wanaomfananisha na Nabi naona wanasukumwa na mihemko ya kishabiki na sio uhalisia. Mechi na Namungo akupaswa kufanya utoto kama ule eti anawapumzisha wachezaji wa kikosi cha kwanza kwa ajili ya Nusu Fainali Azam Federation, unatakiwa ushike...
  14. Happycuit

    JamiiForums Tanzania CAF yailima Yanga faini ya takribani Tshs. milioni 80

    Kamati ya nidhamu ya CAF imeipiga faini klabu ya Yanga ya jumla ya dola za Kimarekani elfu 35 ($35,000) kiasi kama milioni 80.5 za Kitanzania kwa makosa makubwa 2. 1. Matumizi ya fataki kwenye mchezo dhidi ya Rivers United ya Nigeria dola 10,000 2. Tukio la basi la timu kuvamiwa kuibiwa pesa...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ikiwa Yanga watabeba kombe la CAF Shirikisho wataheshimika zaidi ya Simba iliyofuzu Makundi ya CAF CL mara 3

    Ingekua vipi, ingekuwa vipi? Navuta taswira kwa nadharia kwamba, Yanga ikiweza kubeba Kombe laCAF Shirikisho je, kwa hapa nchini watakuwa wazito zaidi kuzidi Simba waliofuzu makundi ya CAF CL mara 3 ndani ya miaka mitano?
  16. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Msemaji kama Msemaji katika ubora

    Wakati nyie mnaparurana huko, sisi kama sisi huwa tupo peace and love na huwa tunapongezana pia kusaidiana mbinu pale inapohitajika. Haya ya kuchukiana tunawaachieni nyie mnaotoa viingilio.
  17. mngony

    JamiiForums Tanzania Ubora wa Kocha Nabi unaweza kuwapa Ubingwa wa Shirikisho timu ya Yanga, na hata kufika mbali zaidi Ligi ya mabingwa mwakani

    Kocha Nabi namsifia sana kutokana kuitengeneza Yanga kucheza kitimu zaidi na mbinu zake katika kuzikabili mechi kubwa Tukiachana na usajili wa wachezaji wazuri, tuhuma za kuhonga na mbinu nyingine nje ya uwanja ni kwamba huyu kocha ni chachu kubwa sana ya mafanikio ya timu ya Yanga uwanjani...
  18. vibertz

    JamiiForums Tanzania Yanga ichukue tahadhari kwa Marumo Gallants

    Achana na habari ya kushuka daraja, lakini performance ya hawa Gallants ni moto, wako vizuri sana. Kama kuna watu weshuhudia game ya jana kati ya Pyramid dhidi ya Al Ahly wataona moto wa pyramid ulivyo. Binafsi niliona kama pyramid pengine wameshuka kiwango hadi kupelekea kutolewa na Marumo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Feisal Baada ya Kushindwa Kesi dhidi ya Yanga

    Post ya Feisal baada ya Maamuzi ya kamati na hadhi ya wachezaji ya TFF
  20. K

    JamiiForums Tanzania Feitoto akwama tena TFF, arudishwa Yanga

    Hili sakata la Feitoto nadhani sasa lifike mwisho maana linazunguka hapo hapo kila siku na Fei anajifanya kichwa ngumu.
Back
Top Bottom