yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nchini KM 2035 zinajengwa kwa wakati mmoja

    Kwa mara ya kwanza Tanzania inaandika historia chini ya Rais Samia Suluhu kwa kutekeleza ujenzi wa Kilometa nyingi za barabara kwa wakati mmoja. Serikali inaenda kutekeleza miradi mikubwa yenye Jumla ya kilometa 2035 ambayo itaanza kutekelezwa Kwa wakati Mmoja na itagharimu shilingi trillioni...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Fiston Mayele kutimka Yanga

    Kuna taarifa zinazosambaa kwa kasi mitandaoni kumhusu mshambuliaji kinara wa Yanga, Fiston Kalala Mayele kutimkia moja kati ya klabu ya Afrika kusini ikiwemo Orlando Pirates na Kaizer Chiefs. Duru nyingine zinamuhusisha kutakiwa na vilabu vya Afrika Kaskazini. Hapo awali alihusishwa kwenda Al...
  3. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Yanga kushinda 1-0 dhidi ya USM Alger Dar es Salaam

    Kwanza nitoe pongezi kwa Yanga na MASHABIKI wake kwa kutinga Fainali kunako michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa. Mchezo wa Yanga na USM alger katika dimba la nyumbani hautakiwi kuwa na magoli mengi Kama ule wa marudiano. Utabiri wangu Yanga Vs Usm Alger FT 1-0
  4. technically

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanatakiwa kuachwa Yanga 2023/24

    Wa Nje Dumbia Morrison Kisinda Juma Shaban Wa Ndani Ngushi Ambundo Bryson Zawadi Mauya Johora Yanga inahitaji kama wachezaji 4 wapya wenye quality wa nje. Pia wachezaji 5 wa ndani wenye quality!
  5. kocha Nabi

    JamiiForums Tanzania Yanga kutocheza fainali usiku ni uoga wa wasimamizi wa uwanja ama ni tamko kutoka CAF?

    Naona hii ya kucheza match saa 10:00 jioni ni kama uoga hivi wa wasimamizi wa uwanja kuhusu swala la kuzimika taa. Maana huu muda sijawahi kuupenda katika maisha yangu. Wangeweka hata saa 12:00 jioni.
  6. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Yule Beki wa Marumo Gallants Tshepo Gumede wa Marumo Gallants alikimbizwa na Yanga Fiston Mayele Akubali Mziki Wake, Afananisha na Ronaldo

    Tshepo Gumede beki wa Marumo Gallants ambaye Mayele alimfanyia ukatili mkubwa akimuwekea mpira mbele kisha kuanza kumkimbiza na akampita na kuwahi mpira licha ya beki huyo kuwa mbele yake kabla ya kuanza mbio hizo. Haikuwa kukimbiza pekee Mayele akaenda kutoa pasi ya maana akimlipa Kennedy...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Msimu huu Watanzania wana furaha sana

    Habari ndugu zangu, ujue dunia inaenda kasi sana. Ni muda mrefu taifa letu limekuwa linalililia uwakilishi wa vilabu vyetu kimataifa. Hatimaye Mungu amekisikia kilio cha watanzania baada ya muda mrefu. Hii picha hapo chini nitawezaje kuwaeleza kwamba YANGA waliweza kuwa kwenye picha hii? Ndo...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kihasibu; Simba watapata bilioni 1 za CAF, Ni yanga pekee ndie ana nafasi ya kulipwa bilioni 2 au zaidi

    Kiasi unachopokea kihasibu tunahesabia ni baada ya kutoa matumizi. Kwa kila safari ya kwenda kucheza mechi za nje, gharama inaweza kuwa milioni 40 kuanzia tiketi za ndege, gharama za malazi, vyakula na vinywaji, n.k. Simba hadi wanafika robo fainali washakwenda nje mara 6 (mechi 2 za awali...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Fedha wanazolipwa timu kila watakapufuzu kwenda hatua nyingine Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika

    Kila timu italipwa kulingana na kiwango ilichofikia. Hakuna hela inayotolewa kwa kuvuka kila hatua, hawawezi kulipa kila hatua kwasababu fungu la bajeti halina uwezo huo. Ukiingia mashindano ya CAF ukatolewa hatua ya awali ukashindwa kuingia kwenye makundi utakuwa umetoka patupu hata mia...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Timu yenu iliyowapa ushujaa imeshuka daraja

    Mpira wa miguu wakati fulani unategemea bahati sana.Sajili vizuri,jiweke vizuri kisha subiri bahati inaweza kukubeba. Haya mashujaa mliowatoa timu dhaifu kuliko zote Afrika kusini,njooni hapa mtukane kuondoa uchungu mioyoni mwenu maana mmejaa sifa na hampendi habari kama hizi. Nilikuwa...
  11. McCord

    JamiiForums Tanzania Walioi-undermine Yanga wapo wapi saizi?

    Wachambuzi waliing'ang'ania Yanga na kutoa maelekezo yao kwenye Mic kwamba Yanga hafiki mahali popote. Kwasasa wapo wapi au wanaendelea kufuta "posts" zao ??? 😂😂😂😂😂😂
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania USM Alger Bingwa Kombe la Shirikisho

    Tunawapongeza Yanga kwa hatua hii mliofikia hakika ni kubwa sana kwenu na kwa nchi kwa ujumla. Kwa mazingira ya mechi yalivyo USM ni bingwa. Najua mtapinga ila huo ndio ukweli hata nyie mnajua, na ndio maana mmeshaanza kuhangaika kwa waganga ili wawasaidie mmeshachelewa.
  13. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Yanga si ya kwanza kupewa ndege na serikali, Simba ilipewa ndege mwaka 1939

    Tuweke rekodi sawa, Mnamo mwaka afu tisa mia kenda 39 Kilabu ya Simba ilishawahi kupewa na serikali na kupanda ndege kuelekea kwenye kombe la Stella na hatimaye kunyanyua kwapa. Majirani msituringishie! Mhenga Mohamed ibn batuta akiwa amenyua ndoo mwaka 1939 A.D 👇👇👇
  14. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Linganisha pesa za CAF walizopata Simba na Yanga

    Soma kwa makini na ikumbukwe bado Yanga anaendelea.
  15. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Yanga ilivyompiga USM Algiers 2-1 mwaka 2018 CAFCC, goli la Makambo na Kaseke

    Hawa tumeingia nao fainali lakini tushawahi kucheza nao kitambo na tukawaua, mechi hiyo ilihuhduriwa na Mkuu wa majeshi na Manji, tena kipindi hicho Yanga ya kuunga unga mwana
  16. The best 007

    JamiiForums Tanzania Ramani hii inathibitisha Ukubwa wa Yanga nchini Tanzania

    Kama huioni timu yako jua kwamba ni ndogo. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais kuiagiza TFF kuiongelea vizuri Yanga kuelekea fainali alimaanisha nini?

    Rais wetu amefurahi sana hatua iliyopigwa na Yanga kwenye mashindano ya CAF hadi akaagiza Yanga wepewe 20m kwa kila goli watakalofunga kwenye fainali na wapewe ndege ya kuwapeleka na kuwarudisha Algeria. Pamoja na hayo amewaagiza TFF kuiongelea vizuri Yanga kuelekea mechi za fainali. Hapa pa...
  18. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Ninashangaa sana wanaojaribu kuilinganisha Yanga sc na vilabu vingine Tanzania

    Mara nyingi huwa ninaona watu wakijaribu kulinganisha vilabu hivi viwili vya Yanga na Simba, Ila kiuhalisia vilabu hivi vinatofautiana sana kiumri,mafanikio na hata kihistoria. 1.Kiumri Yanga ilianzishwa February 11, 1935, Mwaka mmoja kabla ya kuanzishwa Simba Sc, kwa hiyo kiumri ni wazi Yanga...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Hivi Simba watawatoa wapi best players maana wapo yanga na Mamelodi tu

    Nawaona washabiki wa Simba wanalia na usajili, Sasa hata kama Mo akitoa Hela hao best players mtawatoa wapi, maana timu mbili tu ndo Zina wachezaji Wazuri na wanaowafaa yaani yanga na Mamelodi, na kidogo Al ahly au esperance ambako kote huko hamuwezi kuchukua mchezaji. Ninachoona Mimi hata...
  20. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Zijue faida za mafanikio ya Yanga kubezwa

    Nimemsikia Ahmed Ally akibeza mafanikio ya Yanga kwamba imekutana na vibonge kwa hatua zote alizopita,swali ambalo semaji la CAF hawezi kujibu ni kwamba je Yanga imebeba ubingwa wa NBC Simba akiwa wapi?(Ambayo ni timu imara na giant zaidi ya Yanga?) Achana na hilo swali utapigwa makofi. Wapo...
Back
Top Bottom