yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Yanga 1- 0 USM Alger

    Hayo ndiyo matokeo ya mechi ya leo. Ngoja nakuja kuwatajia jina la mchezaji atakayefunga.
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kila lisilo jema liwakute Yanga leo Mei 28, 2023

    Kila lakheri USM Alger, hapa tunakaza wakija kule kwetu tunawapiga za kutosha. 🔴⚫️
  3. D

    JamiiForums Tanzania Yanga na mashabiki mnaojazana taifa leo 28 may mnakwenda kushangilia sare (1-1) kama ifuatavyo

    Mechi ya Yanga vs USM Alger itachezwa Leo saa 10 jioni! Yanga wakati huo wakiiwakilisha Tanzania ambapo katika ulimwengu wa roho majira ya saa 10 upepo utakuwa unavuma kutoka kusini mwa afrika kuelekea kaskazin- magharibi mwa afrika! Meli na vyombo vya anga vitakavyosafiri muda huo wa saa 10...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kilichoitokea Dortumund kitatokea Yanga kesho

    Dortmund walikuwa na 'fainali' yao leo, baada ya kukosa ubingwa kwa miaka 11 wangeshinda leo, wangekuwa mabingwa Basi wakajaza uwanja "FULL HOUSE" kama Yanga, shangwe nyingi na vifijo, ila wakaambulia patupu Kwenye maisha kitu ukikipania sana unakikosa sababu ya presha na paniki
  5. benzemah

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lapiga marufuku kuwasha fataki mechi ya fainali Yanga vs Usma uwanja wa Mkapa

    Kuelekea mchezo wa kesho Mei 28, 2023 wa fainali Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga na USM Alger ya Algeria itakayopigwa Uwanja wa Mkapa jijini Dar saa 10:00 jioni, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema tayari limechukua tahadhari zote za kiusalama kabla, wakati na baada...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kila la heri kwa USM Alger kuelekea mchezo wa fainali ya mkondo wa kwanza kombe la Shirikisho barani Africa dhidi ya Yanga

    shalom shalom Tusipangiane ipi timu ya kuishabikia, suala la uzalendo halipo kwangu. Natanguliza salamu za heri kwa timu ya USM Alger katika mbungi itakayopigwa hapo kesho.Kila la heri katika kulisaka taji la kombe la shirikisho hapo kesho.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe msemaji wa Yanga afungwe break, Haya sasa Mzee wa watu kakujibu kiutu uzima

    BAADA YA KUDHIHAKIWA NA ALIKAMWE, JUMA MGUNDA AMPA JIBU 🗣️"Yanga ni Club yetu pekee Tanzania inayotuwakilisha kwenye fainaly hii ya CAF na kwa bahati iliyonjema inacheza na Club Inayotoka nje ya nchi yetu. 🗣️Sijui kinachopelekea mimi kuwa miongoni mwa kampeni hii ya matusi na kunidhalilisha...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Watu nawaona wanajifanya kuitakia Mema Yanga SC ila Mioyoni mwao Usununu (Chuki) imewajaa

    Kwani mfano ukisema tu wazi wazi kama Mimi GENTAMYCINE kuwa naitakia kila la kheri USM Algiers FC utapungukiwa nini? Acheni Uwoga na Unafiki. Jiaminini.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa Siku nyingine Rais akikupa Pesa za Kuwapa Yanga SC mwambie asaidie pia na Maiti zilizozuiliwa Mochwari Mahospitalini

    Gharama ya Tsh Milioni 20 kwa kila Goli na kutoa Ndege ya bure kwa Yanga SC iliyookoa Tsh Milioni 200 nina uhakika zingepelekwa pia Kulipia Maiti nyingi zilizozuiliwa Kutolewa katika Mochwari za Hospital Kubwa mbalimbali nchini Tanzania zingetosha na angepata Sifa zaidi kuliko anakozipeleka sasa.
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wenzetu wenye Akili Yanga SC Chief Scout wao ni Ali Mayai wanafanya vyema, Sisi Matutusa tumeletewa Tutusa la Kiholanzi Kutusajilia

    Ali Mayai pamoja na kwamba Wewe ni Yanga SC ila nakukubali mno kwa kujua Kwako Mpira ambao pia Umeucheza kwa Mafanikio kwa ngazi ya Klabu na Timu ya Taifa. GENTAMYCINE natambua kuwa kwa 99.99% huu Usajili wa Wachezaji mahiri wa Yanga SC ( hasa hawa wa Kigeni ) umetokana na Jicho lako Kali la...
  11. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Picha: Kikosi cha Yanga kilichoichapa Simba 1-0 mwaka 1992, wakiwa na jezi kali tu

    Wachezaji wa Yanga SC kutoka kulia Salum Kabunda ‘Ninja’ (sasa marehemu), Kenny Mkapa, Abeid Mziba, Method Mogella, David Mwakalebela, Said Mwamba ‘Kizota’ (marehemu) na Hamisi Gaga (sasa marehemu) wakifurahia ushindi wa 1-0 dhidi ya watani wao wa jadi, Simba SC Aprili 12, mwaka 1992 katika...
  12. Scars

    JamiiForums Tanzania Yanga yamshitaki Feisali Salum kwenye kamati ya nidhamu

    Kamati ya Sheria na Nidhamu ya Young Africans imemuelekeza Feisal kuwasilisha utetezi wake juu ya tuhuma zinazomkabili ndani ya siku 7. Pia Kamati imemuelekeza kuhudhuria Kikao cha Kamati ya Sheria na Nidhamu kitakachosikiliza mashtaka dhidi yake jana tar 24 Mei 2023 pamoja na muwakilishi wake...
  13. The best 007

    JamiiForums Tanzania Rasmi, Yanga ndio timu bora zaidi Afrika Mashariki na Kati

    Haijawahi kutokea hapa Tanzania kukawa na timu ya mpira wa miguu iliyo bora kama au kuliko Young Africans, Yanga pia ndiyo timu pekee kutoka Tanzania kushinda mechi nyingi za nje za kimataifa kwa msimu mmoja. Mpira wa miguu utapata heshima kubwa na kuleta maana ikiwa Yanga itachukua ubingwa wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Yanga yawazidi USM Alger kwa Takwimu za CAF

    Baada ya mechi 10 za kombe la Shirikisho Afrika kwa kila timu, Yanga SC wamewazidi USM Alger kwa takwimu karibu zote miongoni mwa timu hizo: Eneo pekee ambalo Yanga wamezidiwa ni mabao ya kufunga ( utofauti wa mabao mawili ) huku Yanga wakitawala maeneo mengine yote yaliyobaki. Takwimu hizi ni...
  15. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Mashabiki Wenzangu, Yanga anahitaji ushindi wa namna yeyote Kwa Mkapa ila Asiruhusu tu yeye goli hicho ndio kikubwa zaidi,Yani Ashinde na Cleansheet

    Habarini wanajukwaa hili! Naomba nitoe mawazo yangu kuelekea Fainali ya Jumapili ambayo Yanga anacheza na USM Alger watu wengi ambao hawajui mi nawaita hawajui Mpira hadi wachambuzi wa soka hapa bongo ukiwasikiliza wanakuambia Yanga anatakiwa kushinda goli Nyingi kwa Mkapa!!! This is Crazy...
  16. S

    JamiiForums Tanzania CAF Imetoa Takwimu za Golikipa Wa Yanga Vs USAM kuelekea Fainali

    🇲🇱 Djigui Diarra 🆚 Oussama Benbout 🇩🇿 A glimpse on @yangasc1935 and @USMAofficiel goalkeepers’ head-to-head stats before #TotalEnergiesCAFCC finals! 🥅
  17. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Eti Yanga sc ndiyo watabeba kombe la CFCC kwenye huu uwanja thubutu

    Wananchiiii hapa ndiyo mnasema mnaenda kubeba kombe? 😝😝😝
  18. kali linux

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa jezi za Yanga ndizo zinazoongoza kuvaliwa mitaani, asanteni Yanga kutupa confidence mashabiki wenu

    Hello bosses and roses Kwa takwimu zangu naona jezi ya yanga ndio inayovaliwa sana mitaani, wiki mbili zilizopita nmesafiri mikoa tofauti tofauti lakini kote unakuta ni jezi ya yanga ndiyo inaongoza kuvaliwa, wauza jezi pia washashtuka na wengi wameziweka frontline kabisa jezi za timu bora kwa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ni nini hatma ya tiketi za bure za Rais kwa mashabiki kwa mechi ya Yanga vs. USM Alger?

    Miezi michache iliyopita Rais alitoa tiketi 20k bure kwa ajili ya mashabiki kwenda kuishangalia Taifa Stars vs. Uganda matokeo yake tulipigwa. Jana katoa tena tiketi 5k bure kwa mashabiki kwenda kuishangilia Yanga vs. USM Alger. Je, historia itajirudia?
  20. D

    JamiiForums Tanzania Nguvu anayotumia Mnyama ili Yanga asiwe Bingwa caf confederation cup, inatisha!

    Maandalizi na mihangaiko ambayo nimeishuhudia kwa macho yangu kwa baadhi ya viongozi, wajumbe na wanachama wa Mnyama wakihangaika kufanya kila wawezalo kuhakikisha Mwananchi hachukui ubingwa wa caf confederation cup ni kubwa mno. Imeagizwa fuso zima iliyojaa nazi kwa ajili ya kuroga, Mbuzi 25...
Back
Top Bottom