yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Simba kwanini kiingilio kisingekuwa elfu kumi kama Yanga??

    Mimi ni mwanachama kabisa wa Simba sio Tu shabiki... Naona kama lengo lilikuwa kuonesha uwezo wa Simba kujaza uwanja ...kulinganisha na Yanga ambao walishindwa ...Simba wangeweka kiingilio sawa sawa na Yanga ..... kiingilio cha elfu 10 minimum.... Hapo sasa ingekuwa nafasi nzuri ya kuonesha...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga na Klabu bingwa Africa kunani?

    Mimi ni Utopolo Lia Lia nauliza wachezaji na uongozi wa Yanga kunani mechi za Klabu bingwa Africa, kwanini hatufiki makundi? Kwanini tunafungwa na kutolewa mechi za awali? Mchawi ni nani? Mwaka huu kipimo Cha mafanikio iwe sio kuchukua kombe la NBC premier league, Hilo ni Mali yetu tayari ...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga A yatoa droo na JKU 0-0

    Klabu ya Young Africans Timu A 🔰 jioni ya Leo imecheza mchezo wa kirafiki dhdi ya JKU na mchezo huo kumalizika kwa suluhu ya 0-0. Matokeo yamefichwa
  4. K

    JamiiForums Tanzania Yanga inafanya balaa huko Avic Town kimya kimya

    Yanga imeendelea na maandalizi yake kuelekea msimu ujao ambapo leo itakuwa na mechi mbili za kirafiki za kujipima nguvu. Asubuhi ya leo Yanga imecheza na timu ya Friends Rangers ya jijini Dar es Salaam na mabingwa hao wa Ligi Kuu msimu uliopita wakishinda kwa mabao 6-1. Mabao ya Yanga...
  5. JamiiForums Tanzania Kama taarifa hizi za 'Hujuma' inayofanyiwa Simba na Yanga ni kweli, hatua kali zichukuliwe

    Kuna taarifa (si rasmi bado naendelea Kuzichunguza) zinadai kuwa Tiketi nyingi za 'Simba Day' zilizonunuliwa huku Uongozi wa Simba SC ukifurahia SOLD OUT yake wakiamini kuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa utajaa hadi Pomoni Keshokutwa zimenunuliwa na Matajiri wenye UMAFIA wa Yanga SC kwa Makusudi ili...
  6. JamiiForums Tanzania Simba kuhudhiria wengi Simba day ni njia nyingine ya kuishinda Yanga nje ya uwanja

    Ni jambo zuri sana sisi wapenzi wa Simba kwenda wengi kwenye tamasha letu la Simba day. Ukweli kuujaza uwanja kuliko Yanga walivyofanya ni njia nyingine sahihi ya kutibu sonona iliyotokana na timu yetu kufanya vibaya ndani ya uwanja dhidi ya Yanga kwa misimu 2 mfululizo. Kujaza huku kwa uwanja...
  7. JamiiForums Tanzania Documentary ya Yanga SC itakayozinduliwa Augosti 7, 2023 nitaipenda tu ikiwa na matukio yafuatayo

    1. Yanga SC Kufungwa Goli 5 kwa 0 na Simba SC 2. Yanga SC Kufungwa Goli 4 kwa 1 na Simba SC 3. Yanga SC Kuukosa Ubingwa wa Ligi Kuu kwa miaka Minne mfululizo 4. Yanga SC Kushindwa Kesi na Wakili wa Kujitegemea Raia wa Ghana Bernard Morrison alipohamia kwa Wenye Akili Kubwa nchini Simba SC 5...
  8. JamiiForums Tanzania Hili zoezi la kutoa documentary, Yanga wamekurupuka

    Nimeona kipande cha documentary ambayo Yanga wametangaza kwenda kuizindua wiki ijayo. Nimekuwa na kawaida ya kuikosoa Yanga na pamoja na vigurunyembe fulani humu JF kunidhihaki au kuleta mabishano yasiyo na maana, nimeona mara kadhaa yale ninayoyasema wahusika wanayarekebisha mara moja. Kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mshambuliaji mpya Yanga SC Hafidh Kounkon: Nachukia Klabu ambazo zinapenda Kuroga na Uchawi

    "Mimi ni Mtu wa Imani (Dini) sana na sipendi tabia ya Vilabu vingi vya Afrika kupenda Kuroga na Kuamini Uchawi na nikiwa katika Timu yenye huu Utamaduni nitawakatalia na ikiwezekana hata kuomba Kuondoka" amesema Mshambuliaji mpya wa Yanga SC Hafidh Kounkon kupitia Kipindi cha Spoti Leo cha Radio...
  10. JamiiForums Tanzania Utabiri: Yanga itafungwa na Azam katika mechi ya ngao ya jamii

    Ikiwa imebaki wiki moja kabla ya mechi ya Yanga Vs Azam katika mchezo wa ngao ya jamii, ubashiri wangu unaonesha Yanga atatolewa na Azam katika mtanange huo. Azam Fc iliyosajili vizuri itacheza na Yanga iliyoondokewa na mastaa wake tegemezi. Baada ya dakika 90’ ubao utakuwa unasoma hivi Yanga...
  11. JamiiForums Tanzania Jemedari Said ana kisasi cha hovyo sana dhidi ya Yanga

    Kampuni ya LIVIDA inayojishughulisha na masuala ya Sheria za michezoni na ushauri (Sports law & consultancy) ambayo wanasheria wake wanamsimamia mshambuliaji mpya wa PYRAMIDS FC FISTON KALALA MAYELE imesema usajili wa Star huyo kutoka Congo DR ulihusisha mamlaka mbalimbali (mult jurisdictional...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga yavunja ukimya kuhusu kuondoka kwa Fiston Mayele

    Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema kuondoka kwa Fiston Mayele ni hatua ya kukua kwa soka ndani ya timu yao na watampata mbadala wake kwa kuwa maisha ni lazima yaendelee. Mayele mchezaji na mfungaji bora msimu uliopita 2022/23 ametambulishwa rasmi juzi na klabu ya Pyramids ya nchini Misri na...
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Yanga kucheza na As Vita Chamazi Complex, Agosti 6, 2023 siku ya Simba Day

    Yanga nao wamekuja na mechi dhidi ya As Vita siku ya Simba day jumapili hii. Wanasema ukimwaga ugali wao wanamwaga mboga
  14. JamiiForums Tanzania Zama za Mayele Yanga zimekwisha, wachambuzi fungeni huo ukurasa wake

    Wachambuzi wetu ni low profile, tuwasaidie kuwaandalia ajenda. Mayelle aliletwa Yanga na viongozi wa Yanga, kabla ya kuletwa Yanga alikuwa hatambuliki na wachambuzi wetu. Mayelle alikuwa na kipaji kilichonolewa na Nabi sawa na Fei Toto na wachezaji wengine pale Yanga ambao kabla ya kuja Yanga na...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga walifanya uamuzi wa maana kuachana na mcameroon

    Nadiriki kusema hivyo kwasababu inasemakana bwana yule mahop alifika mpaka Dar akaomba mshahara wa milion 35 per month na alipwe pesa yote ya signing fee. Jaman nina maswali mengi aana kichwani kuhusu hili je ni kweli au ni propaganda za makolo? Kwanza je kuna mchezaji wa kulipwa kwa daraja...
  16. JamiiForums Tanzania Namba sita iliyokusudiwa kutambulishwa yanga hii hapa

    Unyama mwingi tukutane simba day.
  17. JamiiForums Tanzania Nipo hapa kuthibitisha mayele kuchezea yanga 2023/2024

    Habari ndio hiyo anarudi yanga dili lake la nje limebuma atabakia yanga kwa mwaka mmoja zaidi
  18. JamiiForums Tanzania Hili la Former NBC Premier League MVP Bangala kwenda Azam FC tunamuomba Rais wa Yanga SC atuachie Yanga SC yetu

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said asipoachia ngazi Yanga SC yetu tunamroga ili nae ahamie huko Azam FC au kwa Simba SC alikowauzia Bernard Morrison aliyetutia sana Hasara Yanga SC katika Kesi yake. Injinia Hersi Said tuachie Timu yetu.
  19. JamiiForums Tanzania Mbona Yanga hawakutoa "Thank You" kwa watu hawa?

    Utaratibu wa kutoa post za "Thank You" kupitia mitandao ya kijamii kwa wachezaji au makocha wa benchi la ufundi wanaokoma kuitumikia timu umekuwa ni utaratibu mpya ulioanza kutumiwa na timu zetu hivi karibuni. Ukiangalia kwa makini namna tangazo la "Thank You", imeonekana kama ni unafki fulani...
  20. JamiiForums Tanzania Mapato ya uwanja wa Benjamini Mkapa ndiyo kikwazo kikubwa kwa mapacha wa Kariakoo kujenga uwanja wao

    Huwa zinaibuka kelele na kampeni za ujenzi wa uwanja/mashabiki kuchangia timu zao ili zijenge uwanja lakini mwisho wa siku kimya. Huo ni mchezo mchafu unaochezwa na viongozi wa wa klabu hizi mbili (Simba na Yanga) kwa lengo la kuwakamua mashabiki wao kidogo walichonacho. Siasa za kariakoo huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…