Ikiwa imebaki wiki moja kabla ya mechi ya Yanga Vs Azam katika mchezo wa ngao ya jamii, ubashiri wangu unaonesha Yanga atatolewa na Azam katika mtanange huo.
Azam Fc iliyosajili vizuri itacheza na Yanga iliyoondokewa na mastaa wake tegemezi.
Baada ya dakika 90’ ubao utakuwa unasoma hivi Yanga...
Kampuni ya LIVIDA inayojishughulisha na masuala ya Sheria za michezoni na ushauri (Sports law & consultancy) ambayo wanasheria wake wanamsimamia mshambuliaji mpya wa PYRAMIDS FC FISTON KALALA
MAYELE imesema usajili wa Star huyo kutoka Congo DR ulihusisha mamlaka mbalimbali (mult jurisdictional...
Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema kuondoka kwa Fiston Mayele ni hatua ya kukua kwa soka ndani ya timu yao na watampata mbadala wake kwa kuwa maisha ni lazima yaendelee.
Mayele mchezaji na mfungaji bora msimu uliopita 2022/23 ametambulishwa rasmi juzi na klabu ya Pyramids ya nchini Misri na...
Wachambuzi wetu ni low profile, tuwasaidie kuwaandalia ajenda. Mayelle aliletwa Yanga na viongozi wa Yanga, kabla ya kuletwa Yanga alikuwa hatambuliki na wachambuzi wetu. Mayelle alikuwa na kipaji kilichonolewa na Nabi sawa na Fei Toto na wachezaji wengine pale Yanga ambao kabla ya kuja Yanga na...
Nadiriki kusema hivyo kwasababu inasemakana bwana yule mahop alifika mpaka Dar akaomba mshahara wa milion 35 per month na alipwe pesa yote ya signing fee.
Jaman nina maswali mengi aana kichwani kuhusu hili je ni kweli au ni propaganda za makolo? Kwanza je kuna mchezaji wa kulipwa kwa daraja...
Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said asipoachia ngazi Yanga SC yetu tunamroga ili nae ahamie huko Azam FC au kwa Simba SC alikowauzia Bernard Morrison aliyetutia sana Hasara Yanga SC katika Kesi yake.
Injinia Hersi Said tuachie Timu yetu.
Utaratibu wa kutoa post za "Thank You" kupitia mitandao ya kijamii kwa wachezaji au makocha wa benchi la ufundi wanaokoma kuitumikia timu umekuwa ni utaratibu mpya ulioanza kutumiwa na timu zetu hivi karibuni. Ukiangalia kwa makini namna tangazo la "Thank You", imeonekana kama ni unafki fulani...
Huwa zinaibuka kelele na kampeni za ujenzi wa uwanja/mashabiki kuchangia timu zao ili zijenge uwanja lakini mwisho wa siku kimya.
Huo ni mchezo mchafu unaochezwa na viongozi wa wa klabu hizi mbili (Simba na Yanga) kwa lengo la kuwakamua mashabiki wao kidogo walichonacho.
Siasa za kariakoo huwa...
Tetesi bado hazijaweka wazi anakwenda Yanga kufanya kazi gani but zinasema anakwenda Yanga na muda si mrefu atatangazwa rasmi.
Barbra: Karibu sana kwenye klabu yako ya tangu utotoni kule simba ulikuwa kikazi tu ila mapenzi yako yapo Yanga.
Dili la Mshambuliaji hatar wa kameruni EMMANUEL MAHOP kwenda Yanga limeshindikana baada ya Yanga kutoweza fika muafaka na mchezaji huyo, inadaiwa swala zima la mkwanja ndio limeifanya Yanga kushindwa kufikia jambo hili.
Naona Yanga ikifunga goli below 40 next season maana hamna mshambuliaji wa...
Habari wakuu,
Katika hali inayoonekana kuwa ya kushangaza Klabu ya Soka ya Yanga yenye Makao Makuu yake mitaa ya Twiga na Jangwani imepata mashtaka mengine tena TFF.
Wachezaji Yanic Bangala na Djuma Shaban raia wa Congo.
Wameingia katika mgogoro mzito wa kimkataba na Klabu ya Yanga...
Haiwezekani Sisi tuliofika Fainali ya CAFCC tunaanza hatua za awali kabisa (za Wachovu na Wasiojua) CAFCL halafu Simba SC walioishia au waliozoea kuishia hatua ya Robo Fainali ya CAFCL wao wanaanzia hatua ya Pili.
GENTAMYCINE nikiwa kama mwana Yanga SC tukuka (Members wana Yanga SC wote...
Nianze kutoka credit kwa wadau wasoka, mpira wa miguu ni industry pekee yenye muamko na ushawishi mkubwa kwa jamii, nchini Tanzania. Lakini, kama hujaliona hili, basi angalia nyanja ya siasa mfano, watu wengi sasa wanahisi yanayotokea huko basi hayawahusu, ni kama mambo yanatokea kwa jirani...
Kwema Wakuu?
Hii mada kila nikipost jana iliikua inakataa. Jana siku ya Wananchi nilikua naangalia matukio mbalimbali na washikaji wa kitaa ambao tunakuaga nao pamoja siku zote kwenye michezo (mipira, ndondi etc). Sasa mojawapo ya mechi za jana kwenye siku ya Wananchi ni mechi kati ya Staff wa...