yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Yanga ni team ya pili kwa thamani Afrika baada ya Al Ahly

    Hii ni habari ya mjini kwa sasa. Thamani ya Yanga kwa Africa ni Kubwa sana. Yanga ni team kubwa sana. Tumshukuru Hersi na ngara23 kwa jinsi wanavyoshirikiana wamefanikisha haya.
  2. JamiiForums Tanzania Thamani ya Yanga ni Tsh. Bilioni 100, Simba ni Tsh. Bilioni 20

    Katika mkutano mkuu wa mwaka, thamani ya club ya Yanga imewekwa wazi kuwa ni billions 100 Yanga wanajiendesha Kisasa na uwazi kabisa, Yanga imekuwa ikifanya mikutano ya mwaka Kwa uwazi na kusoma mapato na matumizi na bajeti ya msimu ujao Hii ni tofauti Kwa mtani mbapo mara mwisho kufanya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Yanga Kujiandaa Kuikabili Simba Kwa Siku Tatu tu Baada ya Siku ya Mwananchi September 12 Ni Dharau Kubwa Kwetu Simba, Lazima Tuwaonyeshe

    Yanga wana siku ya mwananchi tarehe 12, halafu baada ya siku 3 tu wanaikabili Simba kwenye ngao ya hisani. Je wameona mechi hiyo kwao ni mteremko? Je code zote za Simba bado wanazo ndio hawana presha Je ndio maana msemaji wao anaropoka tu akiwa na uhakika na anayosema? Je upinzani wa Simba...
  4. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe hafai tena kuwa msemaji wa Yanga

    Habari za wakati huu mashabiki na wapenzi wa soka, Leo tumshauri ndugu yetu ambaye ni msemaji wa wananchi kwa sasa yaani DAR ES SALAM YOUNG AFRICAN. Msemaji wa YANGA kwa siku za hivi karibuni amekuwa anafanya vitu vya kitoto sana, Kwanza anajibu kila hoja kutoka kwa wapinzani labda anadhani...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kelele nyingi, Yanga yaamua kutoa jezi mpya

    Yamesikika maneno mengi na kejeli nyingi. Mara, ukisikia dunia tambala bovu, ndiyo hili. Wengine wanasema jezi zinauzwa kwa kilo. Wengine wanasema jezi zinavaliwa na wajumbe wa kutiki oktoba. Wengine wanasema ukiscan jezi inakupeleka Mkuranga. Wengine wanasema moto umewekwa kuunguza mapafu kama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yanga watatufunga tena Ngao ya Hisani Tarehe 16 Septemba, 2025

    Tunashukuru jezi ni nzuri lakini nna uhakika tarehe 16 Septemba 2025 Yanga watatufunga tena, jana aliyoyaoengea Ali Kamwe mnaweza kuchukulia kirahisi rahisi na kumdharau vile, yule alikuwa anatoa code, aliposema safari hii wanatumia Nyundo alikuwa na tafsiri nyingi. Yanga hawangaiki tena...
  7. A

    JamiiForums Tanzania BADALA YA KUIPUUZA KAGAME CUP, KWANINI SIMBA, AZAM NA YANGA WASINGEPELEKA JUNIOR SQUADS...HII INGEKUWA PRE-SEASON TOSHA KWAO

    Naona wazi Simba, Yanga na Azam wamechagua kuipuuza hii michuano tajwa, tena hii ni mara ya pili mfululizo... Kama hoja ni zawadi zinazotolewa kuwa ni ndogo, mbona wakialikwa kushiriki Mapinduzi cup ni lazima waende iwe mvua iwe jua tena katikati ya ligi...Je ina maana SMZ wanaweka mzigo mkubwa...
  8. JamiiForums Tanzania Jezi ya Simba vs Yanga

    Mfano ukamkuta mtu kavaa kile kijora cha kijani cha utopolo halafu bahayi mbaya akawa añaendesha kile kibaiskeli cha kijani yaani hapo ukiitwa MJUMBE WA KURA ZA MAONI UTAGOMBA? SO kuna jezi ya viwango vya juu ya Mnyama halafu kuna kile kijora cha wajumbe. Ila wajumbe siyo watu wazuri katika...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini kila ukikutana na mwana Yanga aliyevalia Jezi yao mpya ya Mkuranga na Tandale na kumwambia aonyeshe BARCODE mnagombana?

    Kwani wakisema tu Jezi zao hazina BARCODE kwakuwa Mgombea Ubunge Aliyetoswa kazitengenezea Mkuranga na Tandale watapungukiwa nini?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jezi za Yanga ni mbaya sana. Uongozi wa Club MMEZINGUA

    Injinia Hersi unajulikana jinsi ulivyo Makini lakini katika hili UMEHARIBU . Wenzenu Simba Jezi zao ni nzuri sana na quality ya juu sana, kwanza zinavutia na ukivaa unapendeza. Au jukumu la kutengeneza mlimuachia Ali Kamwe . Ukute katengenezea Kiboroloni kule Moshi WAKAPIGA HELA HAWA
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini kulinganisha jezi ya Simba na Yanga?

    Vilabu vinazindua jezi nzuri.Swali ninalojiuliza ni kwanini vyomba vya habari mtandaoni, wanahabari mtandaoni na watu wengine mtandaoni wanalinganisha jezi za timu mbili tofauti wakihoji Jezi Gani Kali ? 😳 Huwa na maana Gani ? Binafsi nafikiri Haina mantiki yoyote kwani Azam mashabiki wake...
  12. JamiiForums Tanzania Mwijaku: Tokea Fred Vunjabei aweke Jezi mpya za Yanga zilidoda ila tangia aweke Jezi mpya za Simba anauza hadi anachoka kupokea Pesa

    Yaani Jezi zitengenezwe Italia zisiuzike halafu zile zilizotengenezwa Tandahimba na kupigwa Chapa Tandale ndiyo ziuze?
  13. JamiiForums Tanzania Manara Akanusha Taarifa za Kurejea Simba, Asema Moyo Wake Upo Yanga

    Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV na mwanachama wa Klabu ya Yanga SC, Haji Manara, amekanusha taarifa zilizosambaa mitandaoni zikidai kuwa anatarajia kurejea kufanya kazi katika klabu ya Simba SC. Akizungumza kupitia Manara TV, Manara alisema kuwa taarifa hizo si za kweli na kwamba bado...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yanga waanza kupendelewa na kulindwa huku simba wakikaziwa nati, Je ndio kazi ya zile milioni 100 ?

    1. Yanga imeruhusiwa kuwa timu pekee kuutumia uwanja wa Mkapa na mechi zao ni saa moja jioni watu wakiwa wametoka kwenye shughuli zao, Simba wataendelea kutumia uwanja wa KMC mechi za saa kumi. 2. Yanga wanaanzia nyumbani, Simba ugenini. 3. Derby ya kwanza inapigwa kwa Mkapa mwezi wa 12...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Unajua kwamba Yanga inagonga 90? Lakini, haijawahi Kuwa Miongoni Mwa Wababe Watano Bora Kwa Soka Barani Afrika..!

    Miaka 90 si haba..! Kwa michuano ya ndani kama NBC na CRDB si haba inayo mafanikio pia ingawa inajulikana michuano ndani kuna janja janja nyingi, sasa Kimataifa tupoje.? Simba yenyewe inaendelea kujivinjari nafasi za juu Ranking za CAF Kwa Ubora wa Kusakata Kabumbu barani Afrika, wakati fulani...
  16. JamiiForums Tanzania Jezi mpya Yanga ni bora lakini shingo ni mbovu, sio rafiki kwa shingo.

    Nimeinununua moja ya kijani, kitambaa ni bomba sana lakini imeshaniudhi shingoni. Material waliyoweka kuzunguuka shingo sio laini (soft) kiasi cha kutia karaha kwenye ngozi na mishipa ya singo pale inapogusa sehemu hizo. Kama wangebadilisha kitambaa kinachozunguuka shingo ingekuwa nzuri sana...
  17. JamiiForums Tanzania Wakala wa Mzize: Yanga wameamua kufanya kazi unprofessionally

    Login • Instagram "Mzize ameniambia kuwa wamemuomba abaki sababu wanamuhitaji Msimu Ujao wanashiriki ligi ya mabingwa, nikamwambia kwahiyo imekuwaje akaniambia wamesema watamboreshea maslai watampa mkataba, So hapa nilipo nasubiri mkataba wa Mzize wakishampa ananipatia tunarekebisha Baadhi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Charles Boniface Mkwasa 'Master' awashangaa Yanga kumzibia riziki Mzize

    Kupitia Wasafi FM, aliyekuwa mchezaji na kocha wa zamani wa Yanga, Boniface Mkwasa 'Master' ametoa maoni yake juu ya sakata la mcheza Clement Mzize. Mkwasa amesema Yanga kuendelea kumshikilia Mzize ni kumnyima haki kama Mtanzania. Mkwasa anashauri kijana aende nje akapate uzoefu aje kulisaidia...
  19. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga wengi wanaamini timu yao ni ya chama na serikali

    Mashabiki wengi wa Yanga hata hawa ambao siku za hivi karibuni wamekengeuka na kupinga kitendo cha klabu yao kujiingiza katika shughuli za siasa, wanaamini kabisa kwamba klabu yao ina historia, mashirikiano na ukaribu na chama tawala pamoja na serikali. Yanga ni kitengo cha michezo ndani ya...
  20. JamiiForums Tanzania Fadlu Davis; Yanga wana ubora kwenye match kubwa kuliko sisi

    "Niwe tu muwazi bado Nahitaji Mchezaji mmoja mwenye X Factor kwenye eneo la ushambuluaji, najua tumepata sapoti kubwa Sana kutoka kwa Rais Mo Dewji na mchango wake Msimu huu umekuwa mkubwa Sana" "Natumai sasa tunapoelekea mwishoni mwa usajili Jayrutty anaweza kutusaidia kumpata Mchezaji huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…