yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Ligi kuu 2023/24, Timu zipi ni matawi ya Yanga na Simba

    YANGA Singida SIMBA Coastal Mtibwa Namungo Ihefu Tuendelee
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hatu ya Makundi CAFCL: Inaweza kutokea Simba na Yanga kupangwa kundi moja

    Mpaka hapa, naona uwezekana wa timu hizi mbili kuingia katika hatua ya makundi huku Yanga akiwa na chance ya asilimia 90 na Simba asilimia 80. Kwa msingi huo, katika droo ya kupanga makundi, upo uwezekana wa Simba na Yanga kupangwa kundi moja. Sijui sana utaratibu wa kuchezesha hizi droo...
  3. JamiiForums Tanzania Kama Mbowe tu alivyosema Yanga Shukhurani mmetufurahisha,Nyie Simba mtaombewa na wanaowapenda.

    Mpira unachezwa hauongelewi..hicho ndio unachoweza sema. Ila kingine ni kua nyie Simba endeleeni kuishi kwa Matumaini tu. Si maswala ya kuombea eti watakuja Nyumbani tushatoka huko. Popote kambi.
  4. T

    JamiiForums Tanzania Yanga wakati wanafanya usajili, Simba wao walikuwa Uturuki wanatengeneza shepu

    Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na nyuzi nyingi za kuwaaminisha watu kuwa Yanga ni timu dhaifu na kuwa ilishiriki kombe la Luza na hawataambulia chochote msimu huu. Mashabiki wa Makolo wanajaribu kutembea na historia kuliko uhalisia. Wanashindwa kuamini kabisa kuwa timu yao Kwa sasa haiwezi...
  5. JamiiForums Tanzania Yanga ni kama ule mti wenye matunda mtaani

    Sasa vitoto vyote vya mitaani lazima viupopoe kupata chochote kitu. Ndicho kinachoendelea hata humu JF na kwenye mitandao mingine watu wanatumia ma bundle yao na muda wao kuiandika vibaya na wachache wakiiandika kwa mazuri. Lakini lengo lao kubwa kupata attention. Kuna wengine hawana hoja kutwa...
  6. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba na Yanga leo kuna kulia na kucheka au kucheka na kulia

    Leo hii kila shabiki wa timu hizo mbili anafanya maombi ya kupata matokeo mazuri. Nilichokipenda kwenye mechi za leo ni muda mmoja timu zote zinaingia uwanjani. Baada ya dakika 90 mbivu na mbichi zitajulikana.
  7. JamiiForums Tanzania Simba iombe Yanga isiingie makundi, ikiingia itavunja rekodi zote za nyuma

    Jana Al Ahyl kafa peupe na aliyemfunga ndo yule aliyepelekewa moto akiwa kwao na pira Nabi, kama haitoshi akafa moja bila. Rekodi za Simba zipo salama as long as Yanga hajacheza gemu zake mbili dhidi ya El Merreikh. Endeleeni kuomba tusiingie makundi.
  8. JamiiForums Tanzania Bingwa wa CAF Super Cup katokea kombe la shirikisho ni ujumbe tosha ya kwamba Yanga wapewe maua yao

    Ni muendelezo wa kuwafunga midomo wale wote waliokuwa wanabwata ya kwamba kombe la shirikisho lilikuwa na timu dhaifu, kwa walioangalia mpira wa Al ahly na USM alger atakubaliana na mimi ya kwamba yanga alicheza fainali na timu bora barani afrika kwa sasa. Pamoja na yanga kukutana na timu bora...
  9. JamiiForums Tanzania 85% ya Mashabiki wa Yanga SC walioenda Kigali Rwanda wamelala katika Mabasi yao

    Na sababu Kubwa ni kutokana na Hoteli nyingi kuwa za Gharama huku Wao ( Mashabiki ) wakiwa na Hela pungufu. Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimezipata kutoka Jijini Kigali Rwanda ni kwamba nje ya Mashabiki Kulala ( Kimasikini na Kiuhuruma ) Ndani ya Mabasi Mikweche yao pia hata katika...
  10. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga SC walioenda Rwanda: Kutokujua kwetu Kiingereza kunatupa wakati mgumu hapa Kigali

    "Alex Luambano kiukweli nchi ni nzuri na tumefika Salama hapa Kigali Rwanda, ila tatizo Kubwa tunalolipata ni wengi wetu kurokujua Lugha ya Kiingereza kiasi kwamba tunalanguliwa mno Bei ya Taxi" amesema Mtangazaji Mkazuzu wa Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM dakika chache tu...
  11. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga ni jobless? Mnapata wapi muda wa kuzurura hadi Rwanda

    Kijana ambaye yuko busy anapataje muda wa kuzurura wiki nzima. Vijana 500 kwa wiki nzima hawako kazini ni hasara kwa taifa
  12. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga huwa wanafanya kazi gani wenzetu?

    Kila mechi wapo, si ya nyumbani wala ugenini. Kwasasa hata mechi za kimataifa nje na Tanzania wapo. Huwa wanafanya kazi zao muda gani? Na huwa wanafanya kazi gani? Au ndio wana vibanda vya urithi Makumbusho?
  13. JamiiForums Tanzania Tupia utabiri wako kuelekea weekend ya Kimataifa kwa Simba & Yanga zilizopo ugenini

    Simba na Yanga zote ziko nje ya nchi katika majukumu ya michuano ya vilabu Afrika. Simba watashuka dimbani pale Levy Mwanawasa Stadium kuwakabili Power Dynamos huku watani zao wakishuka dimbani pale Pele Stadium kuwavaa El Merreikh ya Sudan. Weka utabiri wako timu ipi itapata matokeo yapi?
  14. JamiiForums Tanzania Hongera Yanga: Msafara wa Rwanda, Simba mna la kujifunza

    Igweee! Naomba niende directly kwenye Point: Mpira wetu hasa kwa ngazi za Vilabu umekuwa sana, na hii kwa kiasi kikubwa pia inachangiwa na hamasa kutoka kwa wadau mbalimbali wakiwemo wasemaji wa vilabu vyetu. Lazima tukubali hili, uwekezaji unaweza ukawa mkubwa lakini kama hakuna hamasa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania hii propaganda ( PR)🙌 CAF anaipa Yanga, kama rushwa.

  16. JamiiForums Tanzania Mechi ya Al-Merrikh vs Yanga kupigwa Ijumaa 15/09/2023

    Kuna mashabiki watakuwa bado wapo njiani kwenda https://www.sofascore.com/young-africans-sport-club-al-merrikh/vLCsvLdb#11589251
  17. JamiiForums Tanzania Kigali ni uwanja wa nyumbani kwa Yanga kama ulivyo uwanja wa Majimaji

    Kama timu ya yanga isipoifunga El Mereikh pale Kigali basi wanayanga tusitegemee makubwa hapa nyumbani. Yanga na Simba zina mashabiki na wapenzi wengi wa soka pale Kigali kwa sababu ya uhusiano mzuri uliooneshwa kuwasajili Nionzima na Kagere. Halafu mbali na usajili huo kiswahili...
  18. JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke wachezaji maarufu waliocheza timu zote mbili za Simba na Yanga

    Uzi huu una lengo la kutaja wachezaji waliopata kucheza vilabu vyote viwili vya Simba & Yanga. Naanza na Edibily Jonas Lunyamila, huyu alicheza Yanga na baadae alicheza Simba japo alivuma zaidi akiwa Yanga. Pia yupo Kelvin Yondan alicheza Simba na baadae Yanga na alijipatia umaarufu zaidi...
  19. JamiiForums Tanzania Utofauti kwenye ushabiki kati ya Yanga na Simba ni mkubwa sana

    Safari ya kwenda Rwanda kushangilia timu yao yanga wameshajaza mabus 6 , huku upande wa pili wamejaza mabus mawili , nataka nishuhudie huu mpambano mpk mwisho
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwa pisi hizi kali, naenda Rwanda kuishabikia Yanga

    Nimejikuta tu nashawishika kwenda Rwanda kuishabikia Yanga itakapocheza na Al Merreikh katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Kinachonivutia si mpira wa akina Maxi Nzengeli, hapana. Ni kwenda kuziona 'live' hizi pisi kali za PAUL KAGAME. Wangapi wanataka kuungana nami? Tujuane mapemaaa!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…