yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. JamiiForums Tanzania Mnaumia nini Kufungwa Goli 5 na Yanga SC leo, wakati GENTAMYCINE kila nikiwasema Viongozi na Wachezaji wa Simba SC mnanuna na kunitusi?

    Siyo Mimi niliyewaambia hapa hapa Jamiiforums kuwa Viongozi Murtaza Mangungu ni Kirusi na Salim Abdallah Mhene 'Try Again' ni Mtu wa Kuuza na Kupenda mni 10%? Siyo Mimi niliyewaambia hapa hapa Jamiiforums kuwa ndani ya Simba SC ( hata Kamati ya Utendaji ) kuna Virusi ( Watu wa Yanga SC ) ambao...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga vs Simba; Yanga ni Mamelodi

    Rekodi imeandikwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es salaam leo tarehe 5 Nov 2023,timu Bora barani Afrika, Yanga imeifunga timu bora ya Simba magoli 5-1, katika mchezo ulioonyesha ubora wa timu ya Yanga ukifanana na ubora wa Mabingwa wa Afrika mwaka 2016 timu ya Mamelodi Sundowns...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga alipata magoli mawili halali huku Simba ikipata moja leo pale kwa Mkapa

    Nilichokiona baada ya kuangalia marudio 1. Yanga kafunga magoli halali mawili ambayo ni lile la kwanza na la tatu. Kwahiyo Yanga anastahili kupongezwa kwa ushindi. 2. Goli la pili la Yanga kulikuwa na faulo kabla mpira haujachukuliwa, goli la nne kulikuwa na offside ya mchezaji aliyetoa pasi...
  4. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu Yanga hii haina namba 9 asilia

    Sina muda wa salamu.Kila mtu apambane na mzigo alionao.Kama una mzigo kichwani wa kilo tano za mawe pambana nazo. Hii yanga mnayoiona bado sana haina namba 9 so dirisha dogo wanaingia sokoni kuchunua namba 9 anayejua.Makolo jipangeni second leg NBC PREMIER LEAGUE 🤣🤣 Mgeni rasmi na kocha...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Cloutus Chota Chama huwa ha-shine Simba inapocheza na Yanga?

    Imetokea kwenye mechi nyingi. Sasa imekuwa kawaida. Chama huwa hachezi vyema wala kuonyesha cheche zake Simba inapocheza na Yanga. Tatizo nini hasa? Maana anapokamatika Chama, Simba hupotea kabisa. Yaani Simba wa kumtegemea Kibu kweli!? Hamsa!
  6. JamiiForums Tanzania Ubora wa Yanga uko hapa..

    Najiepusha kuzungumzia matokeo ya leo pale Kwa Mkapa. Kwa Yanga hii, Simba haifui dafu. Simba walipotoka sare mbili na Al Ahly nilisema kuwa walikutana vibonde watupu. Wababe wa AFL wanacheza baadaye: Wydad v Mamelodi Ilipotoka ratiba kuonesha kuwa Yanga amepangiwa mechi nne 'ngumu' mfululizo...
  7. JamiiForums Tanzania Robertinho: Nawapongeza Yanga kwa kushinda dabi

    Akizungumza baada ya timu yake kufungwa magoli 5-1 katika mchezo dhidi ya Yanga, Kocha wa Simba, Roberto Oliveira “Robertinho” amesema kipindi cha pili wachezaji wake walipoteza umakini. Amesema “Magoli mawili tuliyofungwa kipindi cha pili wachezaji wetu (Simba) walizubaa na kupoteza umakini...
  8. JamiiForums Tanzania Simba bado inashikilia rekodi ya kuifunga yanga 6-0 ilibaki kidogo Yanga wafute rekodi, pongezi kwa Yanga.

    Tunakumbushana tu kuwa rekodi ya 1977 ya goli sita bila bado haijavunjwa. ile ya 5-0 timu zilishalipizana 1968: Yanga 5-0 Simba 1977:Simba 6-0 Yanga 2012: Simba 5-0 Yanga 2023:Simba 1-5 Yanga
  9. JamiiForums Tanzania Mechi ya simba vs yanga ya tarehe 5-11-2023 huenda ikasogezwa mbele, mvua inaanguka

    Mpaka sasa mvua inaanguka heavy maeneo mengi ya jiji la Dar es salaam. Kuna mawili either game isogezwe mbele or kupigwa mbele ya mashabiki wachache sana.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mtanange wa kesho huu hapa

  11. M

    JamiiForums Tanzania Siwezi kupoteza muda kujadili mpira wakati mimi sina uhakika wa maisha

    Nauza kangala kwenda mbela. Hapa sasa hivi kuna walimu wanakula kangala , wanachanganya na ambiance na Shimha. Siwezi kupoteza muda kujadili simba na Yanga wakati mimi sina uhakika wa maisha bila kuganga njaa. Ni upuuzi na ujinga. Kujadili Ligi ya Uingereza, Ufaransa, Bundesliga mpaka koo...
  12. JamiiForums Tanzania Simba Yanga kesho hakuna mbabe

    Utabiri wangu kuelekea mchezo wa kesho FT 0-0
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu MINOCYCLINE nimeshamaliza Kazi, twendeni kwa Mkapa Simba SC anafungwa 4 kwa 1

    Tanzania Timu ni moja tu nayo ni Yanga SC na zilizobaki ni Upuuzi mtupu. Sijaona Klabu yoyote ile Tanzania ya kumzuia Aucho, Pakome na Zengeli. Kuna Member Mmoja maarufu sana hapa Jamiiforums ( mwana Simba SC ) nadhani anaitwa GENTAMYCINE namvizia sana kwani amezidi Kutamba na Kuichafua Simba...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Maoni: Mechi ya Simba na Yanga huenda ikaghairishwa kwa sababu ya mvua

    Sababu kubwa. Mvua itanyesha kubwa sana jumamosi na itasababisha maafa makubwa. Uwanja hautaweza kuchezeka mechi. Tujiandae kwa hilo
  15. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Al Ahly: Yanga inawasubilia kwa hamu na boli litatembea na kitapigwa kweli kweli

    Nimeishuhudia Aly ahly kwenye mechi takribani 4 za kiushindani na nilitaka nijiridhishe zaidi kimbinu na kiufundi namna awa mabingwa wa kihistoria wa afrika wanavyocheza kwa sasa, na nilisubilia mechi kabambe ya kiushindani dhidi yake na mamelod! Nilitaka nione ni namna Gani wanacheza kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Yanga ni Klabu Bora Afrika kwa Mwaka 2022/2023 ndio maana imeingia kwenye Tuzo za CAF!

    CAF wanathibitisha ubora wa Yanga kivitendo ndio maana wameiteua kuingia kwenye tuzo zao za kuchagua Timu Bora barani Africa kwa mwaka 2023. Yanga ni timu pekee kwa Ukanda wa Africa Mashariki iliyoingia kugombania tuzo hizo! Yanga hawakuingia kwa bahati mbaya bali wamebebwa kwa mafanikio yao...
  17. JamiiForums Tanzania Sio Chama wala Kibu Dee, Hofu yetu Yanga ni Moses Phiri, Sub yake inatisha kama giza

    Kwanza nikiri kabisa nimewahi kumuona Kibu Dee laiv pale Sokoine uwanja wa Mbeya, ni mchezaji mzuri sana mwenye nguvu, spidi, akili, n.k. ila huyu wanaweza kummudu kimtindo jumapili. Kwa Chama nae sio kitisho mbele ya watu kama Yao Yao. Ila kuna huyu Noses Phiri sio wa kumchukulia poa hata...
  18. JamiiForums Tanzania Yanga imemfunga Simba mara nyingi zaidi tangu kuanzishwa kwa vilabu hivi

  19. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Yanga: Siku ya Simba tuvae kitambaa cha captain begani, kutambua mchango wa Mwamunyeto

    Wakuu heshima kwenu, naomba kutoa wazo kwa uongozi wa YANGA, kuwa Jumapili mechi ya Simba na YANGA wanayanga wote wavae KITAMBAA begani wakiaanisha KUTAMBUA MCHANGO WA kapten wetu Bakari Nondo Mwamunyeto. Yaani iwe Mwamunyeto day walio karibu na uongozi tufikishieni hilo
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Simba SC acheni uvivu muwapo uwanjani hasa na timu kama Yanga SC

    Nianze kwa kuweka wazi kwamba mimi ni mpenzi wa Simba Sport Club. Lakini mwenenendo wa wachezaji wa Simba hasa wanapokutana na Yanga huwa unakera sana hasa pale unapoona wachezaji wa Simba wakitembea tu bila wasiwasi wowote huku wenzao wa Yanga wakimiliki mpira kwa asilimia kubwa na pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…