Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.
Mimi nashangaa sana kuona wajinga wajinga wasiotaka kukubali uwezo wa Yanga kiubora, kiufundi, na kiftness!
Leo hii mtu anakurupuka uko ameshiba makande yake anasema kipa wa fountain kauza mechi kawapa yanga magoli wakati fountain gate hao hao ndio timu iliyoruhusu magoli mengi kuliko timu...
Naona kejeli zimekuwa nyingi. Hivi Yanga haijawahi kushiriki mashindano ya Kombe la shirikisho CAF?
Tena Yanga si ilishiriki shirikisho kama Luza (looser) toka mashindano ya Klabu Bingwa ilikoshindwa kufuzu kwenda hatua ya Makundi Klabu Bingwa?
"Sijaskia Wachambuzi na Waandishi wakiliongelea hili lakini Young Africans SC mpaka sasa imeshakata tiketi ya kushiriki Mashindano ya Klabu bingwa Afrika msimu ujao na ndio malengo na shauku ya kila mwanayanga ilipo, sisi Yanga hatuwezi kujiliza kwenye Kombe la Shirikisho ni Kombe ambalo...
Yanga anaenda kutimizaa malengo yake yote ikiwa ni pamoja na kutwa ubingwa wa
1. NBC PL
2. CRDB confederation cup
3. Yanga ashatwaa ngao ya jamii akimpiga mtani Simba goli 2 Nusu final, huku akimtwanga Azam Goli 4
Wachezaji wanaotoka
1 Kennedy Musonda
2 Aziz ki
3 Clement Mzize
4 Aboubukar...
Wakuu!
Majira ya saa 10kamili jioni ya leo, Mabingwa watetezi wa kombe la CRDB FEDERATION CUP,YOUNG AFRICAN SC Leo watashuka katika dimba la KMC kuwakaribisha STAND UNITED ya mkoani shinyanga katika hatua ya mtoano ya robo fainali.
Ni matokeo ya aina moja tu ndiyo yanahitajika katika mchezo...
Tupambane tu huko CAFCC na CRDB FA, ila huku katika Ligi Kuu imeshaisha hiyo sawa?
Sina uwezo wa Kumfunga Yanga SC kwa sasa sana sana nikijitahidi mno Sare / Suluhu nae.
Ni bora / kheri upewe Dawa iliyo Chungu ili Upone kuliko Dawa Tamu ambayo haitakuponyesha.
Simba wakisema wahamie ligi ya Egypt hawawezi kukosa tano bora.mpira wa Simba na timu za Egypt unarandana sana.
Azam natamani wahamie ligi ya Zanzibar. Huku bara ibaki Yanga na nduguze
Hebu nawe msaidie Rafiki yako wa wasiwasi kwani ANAUMBUKA tu sasa Mitandaoni japo huwa Unamtumia kama Condom. hasa katika Kukufanikishia mambo yako ya Yanga SC na akishayatimiza kwa 100% na Wewe kuona Ufanisi wake huwa Unamtupa na hata Kumpiga Majungu na Rafiki yangu mwana Yanga SC lia lia...
"Ukitaka kujua kuwa Yanga SC ilifika Fainali ya CAFCC kwa kupita katika Migongo ya Maiti kazitafute zile Timu zote alizocheza nazo kisha njoo uniambie kama hata kwa sasa zinafanya vizuri katika Ligi Kuu za Kwao au hata zimeweza tena kuwepo CAFCC kwa Msimu huu. Simba SC tuna haki ya Kujivunia...
“Kuna watu hawataki tuendelee hivyo wanawatumia baadhi ya watu wetu wa ndani. Wanasimba wote njoeni uwanjani, na jamaa pia njoeni muone, hata wakitaka wavae misuli njoeni kushangilia timu yetu. Lakini nawambia tarehe 9 mwarabu atatafuta sehemu ya kupitia.”- Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan...
Mpira ni TECHNICO kama kwenye Vita.
SSC ameingia uwanjani with bad technic , kitendo cha kufunguka pale MISRI na kujizolea possession ya 59% ….. ni failure ya technique na kumdharau adui. Hakuna timu iliyofungwà zaidi ya goli moja except SSC. Ni kama kocha hana expérience na Hii michuano. Ni...
Rais wa Timu ya Yanga Hersi Said ameahidi kutoa kiasi cha Tsh. Milioni 5 kwenye harambee ya Ukarabati wa jengo la kanisa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima Kome iliyoandaliwa na Muhashamu Askofu Flaviani Katindi Kasala wa Jimbo Katoliki la Geita, kwa kushirikiana na Baba Paroko Padri...
Karibu katika mikiki ya NBC PL ambapo leo majira ya saa 10kamili jioni pale katika dimba la kumbukumbu ya Rais wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ally Hassain Mwinyi,wenyeji Tabora United watawakaribisha vigogo na vinara wa ligi Yanga kuzisaka alama tatu muhimu.
Ikumbukwe...
Ukiangalia kwa makini sana Yanga haipo kwa ajili ya kucheza mpira uwanjani bali nje ya uwanja.
Yanga imeacha kuwa timu ya mpira na haitaki ushindani bali matumizi ya rushwa na mbinu zozote chafu ilimradi kushinda mechi.
Yanga kwa sasa ni kama chama cha siasa.
Yanga kwa sasa ni kikundi cha...
Ukweli usemwe mpira Wetu Huu bado ni ungaunga mwana hata kama huna Kiwango (Kiwango kimeisha) Lakini ukiwajulia tu Viongozi basi unakula vizuri klabuni kwa Mshahara mnono na Kiwango huna.
Ndiyoooo!! Huu ni ukweli Mchungu kabisa tena kweli ambao ukiumeza Lazima uombe sukari ama asali ili upoze...
Naaam! Medali ya fainali waliyoipata Yanga SC Baada ya Kucheza fainali kwenye michuano ya kimataifa (SHIRIKISHO) ni mzimu unaowatafuna Simba SC kwa kuwatia Hamasa, nguvu morali ya Kupambana ili kurejesha amani ya Mashabiki Wao Wenye ugwadu na uchu Wa kuona timu Yao imefika ama kuvuka hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.