yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Yanga mkishawishiwa na viongozi wa Kisiasa kurudi nyuma, mjue ni wadau wa simba hao

    Endelezeni msimamo wenu huohuo wa kudai point 3. Msikubali kucheza. Sasahivi Tff inatumia mamlaka za serikali ili wawashawishi mkubali yaishe. Msikubali hoja yoyote zaidi ya point 3. Neno busara lisipokelewe. Injinia Hersi nimekuita mara 3 wewe na Makamu wako msikubali ushawishi wowote ule...
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wakati watani zao Yanga sc wakiendelea kuzozana na TFF, Simba sc yatua salama Misri tayari kuwavaa Almasry CAFCC

    Wakuu ikumbukwe Taifa hili la Tanganyika huwa linapeleka jumla ya timu nne kwenye michuano ya kimataifa. Caf Champions league timu mbili na Cafcc timu mbili, katika hali ya kushangaza ni timu moja pekee tu ndio imesalia kwenye michuano hiyo ya kimataifa. Kama Taifa tuna kila sababu ya kuwekeza...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya serikali kujaribu kuisaidia Yanga ishinde kwa mbinu

    Serikali ina haha kujaribu kuzima mgomo wa Yanga kucheza mechi ya derby iwapo itapangwa tena. Ukiangalia chanzo ni serikali kujaribu kuisaidia Yanga ishinde ubingwa kirahisi na kwa mbinu nje ya uwanja. Kitendo cha meneja wa uwanja kugoma kuwafungulia Simba kufanya mazoezi na kusafisha...
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Arafat Haji mtu chuma kweli kweli

    Arafat Haji ndo makamu wa Rais wa Young Africans Arafat Haji ni msomi haswa akiwa mtaalam wa uchumi na Tehama Amepata Masters yake ya IT kutoka Conventry University Arafat ni Mkurugenzi mtendaji wa shirika la Nina Zanzibar na CEO wa PBZ bank, yaani ulisema connection serikalini au eti TFF...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba wana Yanga SC wanijibu hili Swali langu 'Kuntu' tafadhali

    Je, baada ya Kikao kizito cha leo baina ya Serikali (kupitia Waziri Kabudi) ambacho kinaendelea kufanyika sasa Uwanja wa Benjamin Mkapa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said akikubaliana na Serikali na kukubali Yanga SC kucheza Wao Mashabiki wa Yanga SC ambao hadi sasa wapo nje ya Uwanja wa Mkapa...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Aina hii ya Nidhamu mbovu na ya Kishamba ya Mashabiki wa Yanga SC kuwa nje Uwanja wa Taifa huku Waziri Kabudi akiwa na Kikao Kizito inaitwaje?

    Na wenye Akili tunajua tu kuwa ni Injinia Hersi (Rais wa Yanga SC) ndiyo Kawaleta hapo kwa Makusudi na Kimkakati zaidi.
  7. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Trends ya tabia za Ali Kamwe, Je Yanga uyo ndiyo think tank wao?

    1.Nakumbuka alifanya utovu wa nidhamu akaadhibiwa na TFF sjui baadae adhabu ikaota mbawa 2. Alikuwa kocha wa team flani kwenye SAMIA celebrity cup team ya kwanza alifanya uhuni akafukuzwa akasingizia kujiuzuru akahamia BAD NATION ya marioo Jana akaleteza vurugu akaongoza team kutoka uwanjani...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa uchezaji mbovu wa Beki Baka (japo wana Yanga SC wanamsifia) ataisababishia Taifa Stars kufungwa sana Magoli ya Penati

    Ibrahim Baka ana Uchezaji wa Kizamani / wa Kishamba sana ambao ukiwa ni Mtu tu wa Mpira kama Mimi utamshangaa. ANGALIZO Tafadhali ukijijua kuwa humpendi GENTAMYCINE wala THREADS zake acha KUSHOBOKA kumsoma, bali wapishe Wengine.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haji Manara ni nani Tanzania hii na ndani ya Yanga SC hadi anaapia kabisa kuwa Yanga SC hata iweje haitocheza tena Mechi na Simba SC?

    Rais wa Yanga SC Injinia Hersi na wana Yanga SC wote Tanzania NAWAONYENI kuwa kuweni makini mno na Haji Manara sawa?
  10. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Sakata la Simba na Yanga SC halihitaji hekima za Serikali, Bodi ya Ligi na Tff Zifuate Kanuni na Siyo kuitumbukiza kwenye Tope serikali yetu.

    Swali la kujiuliza Je kama hili sakata lingetokea kwa timu nyingine mfano Namungo vs Simba SC au Yanga vs Mashujaa SC je Bodi ya Ligi na TFF mngeisumbua serikali?!!! Hii ligi imekua kama Ya Simba SC na Yanga SC na Bodi ya Ligi wametumbukia kwenye shimo la hewa, imefikia hatua wanafanya maamuzi...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC mnaomlaumu Rais wa TFF Wallace Karia kwa Kauli yake nawaombeni mnipe tofauti ya Kauli yake hiyo na ile ya Rais wenu Injinia Hersi Said

    Rais wa TFF Wallace Karia...."Yanga SC waendelee tu na Sinema zao juu ya Mechi yao Kuhairishwa" Rais wa TFF Injini Hesri Said..."Yani mwana Yanga SC mmoja katoka zake kula Mihogo alafu anataka Nijiuzuru" Kila Siku tukiwa tunasema hapa kuwa huenda huko Yanga SC kukawa na Wendawazimu wengi tu...
  12. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Hakuna kanuni ya ligi kuu inayoamuru Yanga kupewa alama tatu

    Kwenye barua ambayo TPLB imewajibu Yanga yenye kumbukumbu namba TPLB/2024/625 ya Machi 16,2025 imewaambia Yanga hawawezi kupewa alama tatu kutokana na kuwa hakuna KANUNI ya Ligi Kuu inayoamuru jambo hilo ambapo TPLB imewapa sababu takribani 10, nitazielezea kwa uchache. 1- Mchezo ulighairishwa...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi na Mwandishi Nguli wa Michezo Tanzania Saleh Jembe apiga msumari wa mwisho na pale pale katika Mshono kwa Yanga SC

    "Yanga SC wanawalalamikia Bodi ya Ligi kuhairisha Mechi ya Yanga na Simba mbona na Wao hawalalamikii Makoma wenye Ndoo wao kuzuia Simba SC kuingia Uwanjani kufanya Mazoezi ya mwisho ni jambo la Kikanuni na wale Wahusika wote wanajulikana na walipewa Baraka zote na Uongozi wa Yanga SC? Naomba tu...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haji Manara nani kakudanganya kuwa Karia kusema Yanga SC "wakaendelee na Sinema zao" ni Kudhalilishwa au wana Filamu nchini / duniani wametukanwa?

    Kwa tuliosoma vyema Lugha na Mbinu za Lugha kwa hakika tumekushangaa sana kwa jinsi Haji Manara ulivyoishupalia hii Kauli ya Rais wa TFF Wallace Karia aliposema kuwa Yanga SC wakaendelee na Sinema zao kama wamechoka Kucheza Mpira. Na najua wapo wana Yanga SC Wapumbavu nao watakuwa wamekuunga...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawaonya Yanga SC msiingie katika Mtego mbaya ambao Haji Manara anataka Kuwaingizeni kwa Chuki zake na Karia na kutafuta Sifa na Uungwaji mkono Wenu

    Kwanza mtambue kuwa Haji Manara hajawahi kuwa mwana Yanga SC kutoka Moyoni bali ni mwana Simba SC lia lia aliye Yanga SC kwasababu tu za Maslahi mapana ya Kiuchumi. Pili alichokifanya Haji Manara ni kutafuta tu Uungwaji mkono wake wa Taasisi yake aliyoizindua kutoka kwa wana Yanga SC na hasa...
  16. Ngonidema

    JamiiForums Tanzania Rais wetu ni shabiki wa timu gani kati ya hizi mbili Simba na Yanga?

    Mwenye kujua ukweli wa Rais wetu ni shabiki wa timu gani kati ya hiz mbili simba na yanga? Plesase atufahamishe
  17. S

    JamiiForums Tanzania Yanga yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

    Baada ya kutoridhishwa na majibu ya TFF leo jioni Club ya Yanga imefungua kesi ya malalamiko kwenye mahakama ya Usuluhishi wa michezo CAS Yanga hawana imani na bodi ya ligi na wameshindwa kukubaliana kabisa na majibu ya barua iliyotoka na hivyo wameamua kusonga mbele (CAS) ili kudai haki yao...
  18. Lyrics Master

    JamiiForums Tanzania Ipeni Dar es salaam Young Africa (Yanga) heshima yake

    Katika pita pita zangu mitandaoni, nimeshuhudia kauli zinazoshangaza ,eti Yanga inamuogopa Simba! Jamani, kweli hii ni Yanga mnayozungumzia? au kuna Yanga nyingine? Hakuna timu hapa Tanzania inayoweza kumtisha Yanga! Ni ipi hiyo? Haipo! Yanga ni mfalme wa soka la Tanzania, na historia...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Yanga wamewadanganya mashabiki wao kuwa kuna "miongozo ya kanuni"

    Hili ninalisikia mashabiki hawa wakilizungumza sana kama hoja yao dhidi ya Simba kwamba hawakufuata "miongozo ya kanuni" Wakizungumzia suala hili wanashupaza shingo na wakiamini wako sahihi sana kwa vile wamelishwa maneno na baadhi ya wanasheria uchwara. Mimi ninachojua ni kwamba kuna Sheria...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba na TMA iliyo Championship ni 3-0 na Yanga SC na Coastal Union iliyoko Premier League ni 3-1, tulikuwa na haki ya 'Kuwakimbia' juzi tarehe 8

    Najua nitachukiwa na kubishiwa, ila Kidarubini bado uwezo wa Simba SC ni mdogo kuulinganisha na Yanga SC iliyotimia.
Back
Top Bottom