yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mangungu kwakuwa unautaka mno Ubunge ukaamua Kulainishwa na Samia pamoja na Kikwete ili Simba SC ikubali Kucheza Yanga?

    Kwahiyo Mwenyekiti Mangungu kwakuwa unautaka mno Ubunge ukaamua Kulainishwa na Samia pamoja na Kikwete ili Simba SC ikubali Kucheza hiyo Mechi ili tuaibike tena? Simba SC tunaenda Kufungwa Magoli ya Kuhesabika safari hii hiyo Juni 25, 2025 kwa Mkapa. Mangungu ulichokitafuta kwa muda kwa wana...
  2. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Binafsi siwadai Yanga, hata tusipotwaa ubingwa mpira utakuwa umeshinda kwa haki

    Binafsi nimefurahi baada ya maamuzi yaliyochukuliwa mpaka sasa, Ikiwemo CEO wa bodi ya Ligi Bwn. Almas Kasongo kutimuliwa, Na Bwana Mguto kujiuzulu huku derby ikisogezwa mpaka tarehe 25 June 2025. Ningeshangaa sana kama kusingekuwa na uwajibikaji baada ya unajisi wa football uliotokea tarehe 8...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Yanga wasema hii ya tarehe 25 tunacheza, haina kipengele kipengele uje nacho wewe!

    Tunaomba wale ndugu zetu wa Simba waendelee kutumia nguvu Ile Ile waliyokuwa wanatumia kuitangaza mechi ya trh 15 wakati wao sio wenyeji wa mchezo waendelee nayo ivyo ivyo kwenye mechi ijayo ya Tarehe 25! Kwasasa zile point za mezani zilizokuwa zinapigiwa hesabu bila kutoa jasho uwanjani...
  4. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania Yanga SC itoe taarifa kwa umma kama matakwa yao kwa TFF yamepata ufumbuzi

    Salaam Members! Ninasikitika sana kitendo cha Yanga kupost rasmi kwenye ukurasa wao kuhusu derby ilihali matakwa yao yale manne hawajasema yamefikia wapi. Yanga wamekubali Busara zitumike kwenye madai yao. Huo ni udhaifu sana Yanga wameonyesha. Yanga elezeni kwa umma kuhusu matakwa yenu kama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ukubaliane na Yanga kulipwa madai yako watakapochukua ubingwa? TFF ni wahuni, Je Yanga isingechukua ubingwa?

    Kwani mchezaji wa kigeni anapaswa alipiwe ada na timu yake kwa TFF kwa kipindi gani tokea asajiliwe? Haiingii akilini TFF ikubaliane na Yanga eti italipia wachezaji wake wa kigeni inapochukua ubingwa, TFF walijuwaje kwamba Yanga itakuwa ikichukua ubingwa na kwamba isiwe na wasiwasi dhidi ya Ada...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Yanga SC: Hatujalipwa pesa yoyote ya ubingwa wa Shirikisho kwa misimu mitatu mfululizo

    Wakuu hii vita ni mbichi Kuna mambo mengi kwenye mpira wetu hawa yanga mbona kama wanajua mambo mengi kuhusu TFF? === Tumeona taarifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, TFF kuwa inaidai Klabu ya Young Africans SC bila kutoa ufafanuzi wa deni lenyewe. Tunapenda kuujulisha Umma, kuwa...
  7. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  8. mshale21

    JamiiForums Tanzania Yanga sc ina viongozi ambao ni wanachama wa CCM, wanaunga mkono uchaguzi bila marekebisho ya kikatiba, lakini wanadai reforms kwenye bodi ya ligi

    Wakati mwingine watu sijui wanatuchukuliaje, 100% ya viongozi wa Yanga ni CCM kindakindaki, wako tayari kushiriki uchaguzi mkuu bila marekebisho ya kikatiba , wako tayari kuona watu wakiendelea kuuawa katika ardhi hii ya Tanzania, lakini cha ajabu wanadai reforms kwenye muundo wa uendeshwaji wa...
  9. Dabil

    JamiiForums Tanzania Yanga shikilieni hapo hapo! Kuna kitu Simba tunataka kujifunza

    Msimamo uwe huo huo hamchezi,Msipeleke timu uwanjani Simba tupo kimya kuna kitu tunataka kujifunza. Msipocheza baada ya Tar 15 tusipopata points za bure au msipokatwa points tutaenda kudai huko CAF na CAS halafu tuwafundishe namna kesi zinavyoenda,baada ya tar 15 kelele za Simba kudai points ndo...
  10. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita

    Press ya Yanga muda huu, Pamoja na kuendelea kugomea mechi ya Derby ya Tar 15 June 2025, msemaji amesema hawatacheza mechi ya fainali iwapo hawatalipwa pesa za ushindi wa kombe la CRDB la msimu uliopita. "Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu...
  11. toriyama

    JamiiForums Tanzania Yanga yashikilia msimamo wake wa kutocheza derby ya Kariakoo 15/6/2025

    TAARIFA KWA UMΜΑ JUNI 09, 2025 Uongozi wa Young Africans Sports Club, unapenda kuutarifu umma kuwa, tarehe 7 Juni, 2025 tulipokea barua kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwa ajili ya kuhudhuria kikao maalum cha kujadili masuala yahusuyo mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC, YANGA dhidi ya Simba...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Na anaweza pia Kuinunua Yanga SC yote, Wanachama na Mashabiki na akawalipa Mishahara akina Hersi Said na Gharib Said Mohamed Kudadadeki.....!!

    Kumbe ndiyo maana Mchezaji wa mwisho kupokea Mshahara mdogo Simba SC Chasambi Ladack anapokea Shilingi Milioni 17 kwa Mwezi huku Wachezaji wengine wote wa Simba SC wanapokea Mishahara ya kati ya Shilingi Milioni 40 hadi Milioni 75 kwa Mwezi. Kuna Timu (nimeisahau Jina) juzi juzi tu hapa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga sc anaongeza Elimu ya Michezo chuo cha Harvard Business School

    Rais wa yanga sc na mwenyekiti wa ACA, Eng. Hersi Said anasoma kozi ya Business of Entertainment,Media and Sports Executive inayofanyika chuo cha Harvard Business School Eng.Hersi anasoma pamoja na wachezaji wa zamani wa Brazil Pato na aliyekuwq bingwa wa formula one Sebastian Vettel.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC wenzangu hapa JF tumejiandaaje kupokea tamko rasmi la Uongozi wa Yanga SC kupitia Rais wetu Injinia Hersi kuwa tutacheza tarehe 15 Juni?

    Kuna Mtu kaambiwa Yanga SC isipocheza ausahau Ubunge Ilala au Kigamboni na Kampuni itaanza kudaiwa Kodi rasmi.
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumetokea nini tena mbona hivi sasa kila mwana Yanga SC akisema HATUCHEZI Juni 15, 2025 anaisema KINYONGE sana?

    Niliposema mara mbili JF kuwa hakuna mwana Yanga SC wa kushindana na AMRI ya Serikali ya CCM hamkunielewa au?
  16. W

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaSimba anayeombea Yanga wacheze 15 Juni, wakicheza kuna hatari kubwa ya kumaliza msimu bila kombe lolote

    Hii sio meme, ndio hali halisi, Kama hata Singida walishinda 3 tena kwa huruma ya Refa kupunguza magoli, jambo la msingi ni kuwaombe Yanga washikilie msimamo wao "HATUCHEZI" vinginevyo kuna aibu Kombe la CAF shirikisho ❌ Kombe la FA ❌ Kombe la ngao ya Hisani ❌ Kombe la mapinduzi ❌ Kombe la...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Yanga SC kucheza mechi ya kirafiki na Rayon Sports Juni 15 Kigali, yakataa mechi ya Dabi dhidi ya Simba

    Klabu ya Yanga SC ya Tanzania inatarajia kucheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya Rayon Sports Juni 15, 2025 mchezo huo ukiwa unalenga kujenga uhusiano mzuri na klabu hiyo. Mchezo huo utachezwa Mjini Kigali, Rwanda. Kukubali mwaliko huo kwa Yanga kunathibitisha dhamira yao ya kukataa...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawaonya Simba SC yangu kwa mara nyingine tena kuwa 'Bwetekeni' Yanga SC HACHEZI nasi, kisha akileta Timu tarehe 15 Juni, 2025 tufungwe 12-0 sawa?

    Nina taarifa za uhakika kabisa kuwa Yanga SC ATACHEZA hiyo Mechi ila wanatumia Mbinu Kuu mbili za SAIKOLOJIA na PROPAGANDA ili tu KUIDHOOFISHA Simba SC hivyo NAWAONYA kwa mara nyingine Simba SC kuwa kamwe TUSIBWETEKE na WASITUDANGANYE bali ukweli ni kwamba Mechi ipo na hiyo tarehe 15 mwezi Juni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Yanga Sc Twendeni Tukacheze Derby

    Ukweli ni kwamba Simba Sc wanatamani tusicheze ili wajichukulie kombe kwa ushindi wa mezani. Tukiendelea kukataa kwenda uwanjani hawa jamaa watapewa ushindi wa mezani. Hatutashushwa daraja wala kuporwa points (busara itatumika) lakini Simba atapewa point tatu na hivyo kuwafanya wawe mabingwa...
  20. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri kuwa Yanga waliupiga mwingi mwaka 2022, Simba haijafika kiwango kile cha Yanga

    Pamoja na ukweli kuwa Yanga na Simba zote zimecheza fainali ya Kombe la Shirikisho, tena na timu za Afrika ya Kaskazini, Yanga inabaki kuwa na fainali bora kuliko Simba. Yanga ilicheza fainali na USM Algier ya Algeria ikianzia nyumbani Benjamin Mkapa. Ikalala 2-1. Mchezo wa pili kule Algiers...
Back
Top Bottom