yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said acha huu Upuuzi ambao Utakugharimu kwani Wewe ndiyo unashirikiana na RS Berkane ili Fainali CAFCC isiwe kwa Mkapa

    Halafu ulivyo wa hovyo unajifanya hujui lolote wakati unatumia Nafasi yako CAF ili Kuiumiza Simba SC kwa hili la Uwanja.
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 3-0 Namungo FC | NBC Premier League | KMC Stadium | 13-05-2025

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚Namungo FC 📆 13.05.2025 🏟 KMC Complex 🕖 10:15 Jioni Updates Lineups YANGA NAMUNGO Updates Dk 26 > Yanga wanapata goli la kwanza (Aziz ki) Dk 30 > Yanga wanapata goli la pili (Prince Dube) Dk 36 > inatolewa kadi ya njano (Bakari Mwamnyeto)...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya chukueni hii tena ikiwa bado Mbichi kabisa: Simba SC na Yanga SC kulizana kwa ama Zengeli kuja Simba au Mpanzu kwenda Yanga

    Na kama Uongozi wa Simba SC haukumalizana mapema na Elie Mpanzu basi wana Simba SC tuanze kujiandaa Kulia Ok?
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba SC ikicheza na hatuchezi sports club (Yanga) siku za Jumapili huwa ana 95% za Ushindi, 4% za Sare / Suluhu na 1% ya Kufungwa

    Sijajua hasa tarehe ya Mechi ya Simba SC na HATUCHEZI SPORTS CLUB ni lini ila ni Siku iliyobarikiwa ya Jumapili wameisha.
  5. NALIA NGWENA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jangwani wafuka moshi Wa kijani, Viongozi Wa matawi wahoji TFF na Bodi ya Ligi wanapangaje tarehe ya Mchezo wakati report ya uchunguzi haijawakilishwa

    Yanga Sc kupitia viongozi wa Matawi mbalimbali kutoka jijini Dar Es Salaam wamekutana makao makuu ya klabu yao Jangwani leo hii Mei 10/2025 huku wakiziuliza mamlaka za soka nchini kuwa wanapangaje tarehe mpya mchezo wakati hawajaja na taarifa ya uchunguzi juu ya mchezo ulioahirishwa Machi...
  6. NALIA NGWENA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mnauhakika Yanga SC wasipoleta timu uwanjani jun 15, TFF na Bodi Ya Ligi wanao uwezo Wa kuishusha daraja?

    Msichokijua tu, Wazee Wa Makoti wanatafuta Kila aina ya mbinu kuhakikisha Viongozi Wa Yanga SC wamefungua Moyo ili hiyo June 15 mbungi ipigwe. Wameongea na Viongozi Wa serikali, wamegonga Hadi ikulu kwa mama na kilichopo wameongea na kundi la Wazee Wa Yanga SC, waitishe press conference, agenda...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Onyo na angalizo kwa Simba SC dhidi ya propaganda ya kiufundi inayofanywa na Yanga SC kuelekea mechi ya tarehe 15 juni, 2025

    Simba SC tafadhali sana nawaomba chonde chonde msiingie katika huu Mtego wa Kiufundi na Kabamba ambao Yanga SC waliuanza na bado wanaendelea nao mpaka leo kuwa HAWATOCHEZA MECHI YA MARUDIANO na Simba SC baada ile ya tarehe 8 Machi, 2025 Kuahirishwa. Taarifa za uhakika ambazo leo hii GENTAMYCINE...
  8. Franky Samuel

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna bodi ya ligi anavyotaka kumbebesha msalaba wake yanga - Sehemu ya kwanza

    NAMNA BODI YA LIGI ANAVYOTAKA KUMBEBESHA MSALABA WAKE YANGA - SEHEMU YA KWANZA. Wakati Simba Sports Club imechapisha taarifa ya kugomea mchezo wa Derby walikuja na sababu zao na chini kabisa Klabu ikasema “Uchunguzi ufanyike na Wahusika wakuchukuliwe hatua kali za Kisheria” naaam na Bodi ya...
  9. CAPO DELGADO

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kweli Yanga wenye akili ni wawili tu? Kuna mwana Yanga hapa anayeweza akatuelezea kinaga ubaga kwanini wanakusudia kususa derby?

    Habari wakuu. Mimi si Mtabiri. Ila nimesikia na nimeona baadhi ya mashabiki na viongozi wana dalili za kususia mchezo No 184 Wa Kariakoo Deby uliopangwa ufanyike hapo Temeke Dar es salaam mnamo tarehe 15 June 2025 saa 01:00 jioni. Je, kama JamiiForums kuna Home of Great thinkers kuna...
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzee Magoma asema Dabi ipo na Yanga itaingia uwanjani

    Mwanachama wa Yanga SC, Mzee Magoma amesema ni bora timu iingie uwanjani kuikabili Simba SC kuliko kupoteza alama 15. Asisitiza mechi ipigwe bora wafungwe kuliko kuliko kupoteza mechi 15. Na aliyesema timu isipelekwe uwanjani ili alama 15 zipotee huyo ni mtu wa Simba na siyo wa Yanga tena. Pia...
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi haitanii, yatoa ratiba ya derby ya Kariakoo. Sasa kupigwa Juni 15, 2025

    Bodi ha Ligi imetoa ratiba za viporo vilivyobaki, huku ikifanyia pia marekebisho ya tarehe kwa baadhi ya michezo. Jambo kubwa zaidi ni kuwa derby ya Kariakoo bado ipo palepale, itapigwa Juni 15, 2025, saa 11:00 Jioni uwanja wa Benjamin Mkapa. Hii inajiri masaa machache baada ya Klabu ya Yanga...
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga SC hawaitaki TFF na wapo tayari hata kushushwa ligi daraja la 3

    Kwingineko Yanga wameziandikia mamlaka za serikalini barua yenye kurasa 167 ambayo inapinga uonevu na dhiluma zinazofanywa na bodi ya ligi chini ya TFF. Yanga wamesema hawaitaki na hawana Tena imani na hii TFF. Wako tayari kucheza hata ligi daraja la tatu.
  13. NALIA NGWENA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka Sasa Yanga SC Wameweka kibindoni (kabatini) makombe mawili, JE Simba SC Wana Nini?!!

    Poleni sana Mashabiki wenzangu Wa Simba SC!! Ukitoa mafanikio ya kufika nusu fainali shirikisho tena mafanikio ambayo wenzetu (Yanga SC) walishavuka, ukitoa mafanikio ya Yanga SC kushindwa kesi huko CAS na tulipata furaha mno tena mno na ukitoa mafanikio ya sisi wanasimba (Mashabiki)...
  14. ngara23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga hajashindwa kesi CAS dhidi ya TFF, Bodi ya ligi na Simba sc

    Kuna upotoshaji unaendelea ati Yanga ameshindwa kesi, sio kweli Bali Yanga amepewa mwongozo kuwa aanzie kwenye kamati ya Rufaa ya TFF Kanuni za CAS ni kuwa tukio linalolalamikiwa linapotokea CAS hutoa siku 21 liwe limefika mezani kwao Baada ya bodi ya ligi kuhairisha mechi kihuni, Yanga...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Full Time: JKU 0 - 1 Yanga SC | Fainali Kombe la Muungano | Mei 1, 2025 | Yanga Bingwa

    JKU VS Yanga SC | Fainali Kombe la Muungano | Mei 1, 2025 Mchezo unaendelea Goooooooooooooo! Max Mpia anawapatia goli la kwanza Yanga Yanga anakuwa bingwa wa kombe la Muungano 2025 Go
  16. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga yadondokea pua CAS, dabi ipo palepale

    Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam imeshindwa kwenye kesi yake ya awali iliyoifungua kwenye Mahakama ya Usuluhishi Michezoni (CAS). Yanga SC katika kesi ya msingi ikiyoifungua dhidi ya TFF, Bodi ya Ligi na Simba SC imeomba kupewa alama 3 na mabao 3, lakini ikaiomba CAS pia izuie tarehe ya 'DABİ'...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Full Time: Zimamoto FC 1 - 1 Yanga SC (Pen:1-3) | Nusu fainali kombe la Muungano | Aprili 29, 2025

    Zimamoto FC 0 - 1 Yanga SC | Nusu fainali kombe la Muungano | Aprili 29, 2025 #MuunganoCup2025: Wananchi wametinga fainali kwa mikwaju ya penati 3-1 FT’: Zimamoto 1-1 Yanga SC (Pen:1-3)
  18. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kinachowauma Yanga ni Kombe la shirikisho kufutwa huku Simba ikienda kuhitimisha kwa kuipa nchi Kombe kwa mara ya kwanza, Medali zitakuwa takataka

    Kombe la shirikisho limefutwa rasmi. https://www.jamiiforums.com/threads/caf-kuyafuta-mashindano-ya-kombe-ya-shirikisho.2309878/ Simba ina chance ya kulihitimisha kombe hili kwa kuiheshimisha nchi kwa kushinda na kuwa timu ya kwanza nchini kuleta kombe la kimataifa la CAF. Yanga waliwahi...
  19. ngara23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusilinganishe CAFCC Ile Yanga alochukua medali na hii ya Simba

    Naona baadhi ya wachambuzi na mashabiki wa Simba wasio na ufahamu wa masuala ya Soka wanalinganisha kufuzu Kwa Simba Leo kuwa amefika record ya Yanga Tukumbuke mashindano ya CAFCC ambayo alishiriki zilikuwemo nchi ambayo ni mabingwa wa mataifa Yao kama Yanga, Rivers united, Club Africain n.k...
  20. mwehu ndama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa wafukuzwe Yanga SC haraka sana

    Mwamnyeto huyu uwezo wake umeshuka sana, limekuwa beki la hovyo mnoo..hili pazia likicheza watu wanafinya mbupu mwanzo mwisho..Lifukuzwe Ikangalombo Wakati mwingine sio lazima timu iwe nawachezaji wote 12 wakigeni , niheri kutosajili kabisa ikiwa hakuna mchezaji wa maana sokoni ..hili jamaa...
Back
Top Bottom