Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.
Yanga SC kupitia Msemaji wao wamekanusha vikali kuwa hawajachangia Shilingi Milioni 100 kwa CCM na kusema kuwa aliyechangia ni GSM na wala siyo Yanga SC.
Lala salama Ruge Mutahaba kwani ile Kauli yako uliyosema kuwa hapa duniani tuogope sana Vitu viwili Mungu na Teknolojia inaishi na itaishi...
Nafikiri Ally Kamwe anapaswa kumuomba radhi Yasmni Razack kwasababu yule sio winga yule ni msimamizi wa wachezaji na kasimamia wachezaji wengi ambao wamecheza Yanga na wengine bado wanacheza Yanga,kumuita winga ni kumkosea heshima kitu ambacho sio sawa ,anapaswa kumuomba radhi kwasababu...
Siku kadhaa zilizopita kulitokea sintofahamu baada ya chama la Yanga kuchangia kwenye harambee ya CCM Tsh milion 100 ni mengi sana yaliibuka na yanaendelea kuibuka.
Kuna wale wanaoichukia Yanga kuanzia utoto wao, kuna wachambuzi uchwara, kuna mashabiki wa Simba na wao pia wamepata pa kutolea...
Dalili zote zilianza mapema sana kufanywa na GSM kupitia Engineer Hersi kuitumia klabu ya Yanga kama kichaka cha kufanikiwa kisiasa na kutakatishia pesa. Hitimisho likawa juzi kwenye harambee ya CCM pale ambapo rais wa klabu ya Yanga kutangaza kuwa Yanga itatoa milioni 100 ili kuchangia kampeni...
Unapozungumzia Simba na Yanga, unagusa maisha ya watu zaidi ya milioni 40 Tanzania. Kila kona ya nchi kuna shabiki wa timu hizi, MPIRA NI DINI YA PILI TANZANIA.
Baada ya Yanga kuchangia harambee ya CCM, hali haikubaki kimya. Wananchi wameonyesha hisia zao waziwazi, sio kwa chuki, bali kwa...
Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kutoa ufafanuzi kwa Umma, kuhusu mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), siku ya tarehe 12/08/2025.
Mchango ule ulitolewa na Taasisi ya GSM Foundation iliyo chini ya mdhamini na Mfadhili wa Klabu yetu, Ghalib Said...
WEWE KAMA HUITAKI CCM HAMA TIMU HARAKA
Huwezi kufurahia matunada matamu ya mti ila ukauchukia mti unaozalisha matunda hayo.
Sisi kama YANGA tuna historia yetu wewe ukijiona tu unaumia YANGA kuichangia CCM basi ujuwe wewe ulipaswa Kushabikia upande mwengine .
Tutaendelea kuichangia CCM kwa...
Msanii wa Filamu Nchini ambaye pia ni mkurugenzi wa taasisi ya Mama ongea na Mwanao maarufu kama Steve Mengele anasema kuwa Mwanachama namba moja wa Yanga Sc alikuwa ni mwanasiasa kwahiyo watu wasishangae kwanini Wananchi wameamua kuchangia kwenye harambee ya CCM.
Leo Yanga SC wameichangia CCM ambayo ndiyo inatengeneza Serikali Wapumbavu, Washamba na Wanafiki wote mmekasirika mbona hiyo hiyo Serikali inayoundwa na CCM ikiipa Yanga SC msaada wa Ndege kwenda Kucheza Mechi zake za Kimataifa huwa hamchukii tena huwa mnafurahi na kukenua hovyo na kila Kona...
Mwinyi Zahera, kocha wa zamani wa Yanga, amesema Yanga walikuwa tayari kumpeleka Clement Mzize Singida kwa mkopo, lakini yeye alimshauri kocha Nabi asikubali. Ameongeza kwamba walitaka kumtoa Mzize wakati hajaanza hata mazoezi na timu kubwa, na hata baada ya barua kutoka Marseille, bado msimamo...
Klabu ya Yanga imeingia mkataba wa miaka mitatu (3) na Kampuni ya kubashiri SportPesa, mkataba wenye thamani ya Shilingi Bilioni 21.7 ndani ya miaka mitatu.
"Baada ya sisi kuingia Yanga, tuliwapa nguvu ya kiuchumi. Yanga imekuwa na misuli ya kumsajili mchezaji kutoka klabu yoyote. Hii imefanya...
Timu bado zinaendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao kwa kusajili na kuwaongezea mikataba wachezaji muhimu kwenye vikosi vyao.
Timu ipi ina safu hatari ya ushambuliaji kuelekea msimu ujao wa 2025/26?
Yanga SC
Clement Mzize
Pacôme Zouzoua
Lassine Kouma
Maxi Mpia Nzengeli
Simba SC
Elie...
Kiungo nyota wa kimataifa kutoka Zambia, Clatous Chama, amesema kuwa klabu ya Simba SC inapendwa na kuheshimiwa zaidi nchini kwao Zambia ikilinganishwa na Yanga SC.
:
Chama ambaye ameachana na Yanga, amesema kuwa staili ya mpira ya klabu ya Simba, historia yake barani Afrika, pamoja na uwepo...
Rais wa FIFA amewapongeza yanga sc kwa kutwaa vikombe vyote 💛💚💪
Pia amewapongeza mashabiki na wanachama kwa kuiyunga mkono timu yao japo ilianza kwa kusuasua
Asante Raisa wa FIFA 💪💚💛
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.