yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Israel Mwenda pole sana kumbe ulikuwa huwajui Yanga SC vizuri pamoja na Kufurahia Kwako kwenda Kwao kwa Kutuzodoa wana Simba SC?

    Nilipoona tu Siku ile Yanga SC inarejea na Kombe kutoka Zanzibar huku ukijifanya Wewe ni Dj na ukawa Unatuzodoa wana Simba SC hasa pale Msimbazi Street mlikopita nilijua tu baada ya hapo kuna Maumivu utayapata kwani Wazee wa Simba SC nawajua huwa hawana Masihara katika kutuma Makombora ya...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kweli kabisa Mdogo wangu Mohamed Hussein Tshabalala umeamua kwenda Yanga SC na kutuacha Simba SC na leo huenda ukatambulishwa nao rasmi?

    Sawa bhana Kaka yako nikutakie kila la Kheri na naamini huko unakoenda yoyote yule mtakayegombania nae namba hatougua mara kwa mara, hatopatwa na matatizo ya Macho na Wewe safari za kimya kimya za kwenda Tanga na Morogoro hazitakuwepo tena.
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mainfluensa njaa na uchwara wa Simba SC Wiki nzima walitiuaminisha kuwa Tajiri keshamalizana na Kiungo Conte, mbona sasa keshasinya Yanga SC?

    Halafu kutwa nikiwa nasema hapa kuwa Mo Dewji si Mtu sahihi Simba SC na Simba SC ya sasa imejaa Fools hamniamini.
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya wana Simba SC mnaodhani kutopata Ushindi mara 5 dhidi ya Yanga SC ni Kufeli angalieni na Wao walichokipitia Kwetu kisha mbadilike tugange yajayo

    Wana Yanga SC wasiwanyimeni Amani na Raha huku Wakiwadanganya kuwa ni Sisi tu ndiyo hatupata Ushindi dhidi yao kwa mara tano mfululizo bali hata Wao kuna miaka Walisota mno kutufunga Simba SC na Ushindi wao Kwetu ulikuwa ni Sare tu ila Vichapo walivichezea na viliwakuta sana tu.
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Na Wewe pia unaondoka lini Simba SC Kwetu kwani licha kwamba una Nuksi Isiyotibika kwa Mizimu yote lakini binafsi nakujua Wewe ni mwana Yanga SC 100%

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amesema kocha wa kikosi hicho Fadlu Davids anahusika moja kwa moja na kutoongezwa au kuvunjwa kwa mikataba kwa baadhi ya wachezaji wa klabu hiyo wakati huu ambao wanajiimarisha kuelekea msimu ujao Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Ahmed...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu huyu anayetoa Siri za Wachezaji wazuri wanaotakiwa na Simba SC kwa Yanga SC ndiyo huyu huyu anayetumiiza kwa Yanga SC kila tukikutana nao

    Kirusi Simba SC siyo Mwenyekiti Mangungu pekee ambaye wana Simba SC wengi wanamdhania ila kuna Kirusi Mkuu wa Kuiumiza Simba SC kwa mengi tu na ambaye kwa bahati mbaya sana hata Tajiri wetu Mo Dewji anamuamini 100% japo ameshaonywa mno tu juu yake ambaye ni Salim Abdallah Mhene 'Try Agai' Wewe...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Clatous Chama juzi tu 'Kuinanga' na 'Kuikoga' Simba SC baada ya Yanga SC kubeba Vikombe lukuki, ila Ndoa yake na Yanga SC imeisha rasmi

    Ila ninavyokujua unavyopapenda Dar es Salaam hasa lile Chimbo lako la Mbezi Beach (BK) ninajua tu utabakia Tanzania.
  8. Labani og

    JamiiForums Tanzania Yanga yapendekeza kucheza na Simba kwenye Yanga day

    YANGA WATUMA MAOMBI SIMBA KUCHEZA NAO SIKU YA MWANANCHI Afisa habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema wanatafuta timu nzuri ya kucheza nayo katika kilele cha wiki ya wananchi, Kamwe amesema kwakuwa kipindi cha matamasha ya wiki ya wananchi na Simba day itakuwa ngumu kupata timu za kucheza nazo basi...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC tumeshaanza 'Kupigishgana Shoti' halafu mwisho wa siku Yanga SC anakuwa Bingwa na tunabaki na Ubingwa wetu wa kuwa namba Nne CAF RANKS

    𝗧𝗥𝗔𝗡𝗦𝗙𝗘𝗥 𝗡𝗘𝗪𝗦: Simba wako kwenye mazungumzo na kiungo wa Bravos do Maquis ya Angola,Higino Epalanga Kapitango (22). Kiungo huyo anasifika kwa upigaji pasi mzuri na magoli ya mbali. Chanzo: Baraka 255 Tunaoujua vyema Mpira wa Kitanzania na hasa Siasa zake za ndani GENTAMYCINE tayari kuna...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua pamoja na Yanga SC kuchukua Vikombe vitatu kwa Msimu huu je, mpaka sasa katika Viwango vya CAF ipo ya ngapi kulinganisha na Simba SC?

    Na kwanini Simba SC pamoja na kutofanya vyema Msimu huu huku ikichekwa mno bado ipo katika 10 bora Barani Afrika?
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wote wa Mzee Hassan Dalali Simba SC Kitakwimu Yanga SC ilifungwa mfululizo na zaid ya mara 5 yao, angalieni Takwimu zenu vizuri

    Siku nyingine muwe mnawaambia hao Waandishi wenu walio katika Payroll zenu wajikite zaidi katika Data and Research Journalism ili wenye Akili kubwa tusiwafharau na tusiwaone Wapumbavu. Imeisha hiyo.....!!!!!!
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Niliposema hapa hapa JamiiForums kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anajipendekeza Serikalini na CCM kwa Ajili ya Ubunge Kigamboni mkanibeza

    Rais wa Klabu ya Yanga Injinia Hersi Said leo Juni 28, 2025 amechukua rasmi fomu ya kuwani Ubunge katika Jimbo la Kigamboni lilipo Jijini Dar es Salaam kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Hersi amekua miongoni mwa watu mashuhuri wanaokubalika katika jamii kutokana na uongozi wake...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nimeipongeza Yanga SC kutufunga Simba SC na kwa mara ya 5 Mfululizo, ila nasikitika kuona huu Ukweli wa Kitakwimu umefichwa ili Kuikandamiza Simba SC

    Bado GENTAMYCINE naendelea Kuipongeza Yanga SC kwa Kutufunga hivi juzi (na kwa mara ya Tano mfululizo) na Kutwaa Ubingwa wa NBC Premier League ila kwa KUJIAMINI kabisa ninapingana na Watu ambao kwa AGENDA zao au kwa ama KUTOKUJUA wamekuwa wakisema kuwa Yanga SC imeweka Rekodi ya Kuifunga Simba...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Video: Dogo abubunyikwa na machozi ya uchungu akisema "nataka kuhamia Yanga"

    Nimecheka sana baada ya kuiona video hii ya bwana mdogo akilia huku akitoa maneno nataka kuhamia Yanga Hii yote inatokana na mateso ya kufungwa timu yake ya Simba, kwahiyo dogo kaona ya nini kupata tabu za vipigo kila siku, ni bora aje kwenye timu ya mabingwa wakati wote.
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Yanga SC wote kwa Kutufunga ki Haki, ki Mpira na ki Mafunzo ya Mpira wa Kisasa (wa Kiufundi) jana kwa Mkapa

    Wana Simba SC tutazunguka kila Kona, tutasema kila Maneno, tutatafuta Mchawi / Wachawi kila pembe ya dunia, Tutalaumiana mno, tutachukiana sana wenyewe kwa wenyewe ila Leo hii namaliza rasmi Utata kuwa Simba SC hatuwawezi Yanga SC na tusipojitathimini Kimkakati upo uwezekano mkubwa tukaendelea...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na Yanga kushinda. Ukweli mchungu Dube ni mzigo kwa Yanga. Mechi kubwa zote huwa anaiua Yanga

    Habari wadau. Prince Dube kwa kweli ni mzigo kwa yanga. Ni bora atolewe kwa mkopo kwenda timu zingine. Pamoja na Yanga kushinda dhidi ya Simba na kutwaa ubingwa . Dube ameichelewesha sana yanga
  17. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu Kwa Yanga baada ya msimu huu kumalizika

    Hongereni wananchi.... Tujipange msimu ujao, ushauri wangu... Dirisha hili la usajili... Hatuna namna lazima tusajili beki wa katikati wa akiba, Yanga tumekua tukibweteka Sana na eneo hili kutokana na bahati ya kwamba Dickson job na Ibra Bacca wamekua wakicheza misimu Kwa misimu bila kupata...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kabla ya mchezo wa Yanga SC dhidi ya Simba SC wachezaji wa timu zote kupimwa kama wametumia dawa zisizofaa michezoni

    Inaelezwa kuwa kabla ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC wachezaji wa timu zote mbili watapimwa kama wametumia dawa zisizofaa michezoni. Ikumbukwe kuna mwaka Jana, kuna video ambayo ilizua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano...
  19. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Utabiri kwa picha: Kesho Simba tunapoteza kwa goli 2

    Nitaifaangalia mpira nikiwa home Mechi itaanza kwa kasi sana kiasi cha mabanda umiza kulipuka kwa change. Wale wana yanga wenye roho nyepesi wanaofatilia mchezo kupitia redio hali itakuwa mbaya sana kwao. Wale ambao walishaisusa hii mechi kutokana na kuwa na mazonge mengi wataendelea na...
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Waamuzi wa kigeni kuchezesha Derby, ni Moja kati ya takwa la Yanga

    Simba wamecheza ngoma zote za Yanga, kadri mdundo wa Yanga alivopiga Simba wametii na kufanya kama Yanga alivotaka Yanga wakilalamikia waamuzi na kamati ya waamuzi Walipeleka hilo takwa TFF na Ikulu na kuwasilisha kuwa ili wacheze derby lazima tarehe ya derby ibadilishwe na waamuzi watoke nje...
Back
Top Bottom