yanga sc

Young Africans Sports Club is a football club based in Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Founded in 1935, the club play their home games at the Benjamin Mkapa Stadium and the Uhuru Stadium.
Nicknamed "Wananchi" (Citizens) or "Yanga" (Young Boys), Young Africans is one of the two biggest clubs in Tanzania, alongside cross-city rivals Simba. The club has won 22 league titles and four domestic cups, and have participated in multiple CAF Champions League editions. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship five times.
The club was popular among Africans, and became a symbol of the anti-colonial movement. Young Africans became associated with nationalists and freedom fighters, and inspired the political party TANU to adopt yellow and green as their primary colours.

View More On Wikipedia.org
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mashabiki Yanga SC waomba waletewe wali na maji siku ya mechi ya bure

    Tunawaomba viongozi wetu wa Yanga siku ya mechi yetu ya marudiano na Silver tupate chakula pilau, soda na maji wakati mechi inaendelea tunakula, na baada mechi kuisha tupate tena tukiwa tunasherekea ushindi wetu Amesema GodYanga
  2. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Kiingilio bure isipokuwa VIP A na VIP B

    “Tumekubaliana kuwa mechi hii imeondolewa viingilio majukwaa yote isipokuwa jukwaa la VIP A na VIP B yamekuwa Reserved kwa waalikwa maalum ambao ni Wageni wetu pamoja na wanachama wa Yanga wa Black Card. Ombi hili la kuweka mechi hii isiwe na viingilio lilikuwa Gumu sana kukubaliwa kwakuwa...
  3. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Silver Strikers 1-0 Yanga SC | CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Bingu National Stadium| 18.10.2025 | Saa 10:00 Jioni

    Silver Strikers vs Yanga SC Saa 10:00 jioni Leo ni siku nyingine ya Wananchi kufurahi #CAFCL Soma Pia>> Rasmi ndoa ya yanga na Folz yafikia ukomo
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Moloko aliyekuwa nyota na akiimbwa Yanga SC leo Kapigika hivi Kimaisha hadi analia ili tu aonane na Mayele na amtoe kwa chochote kitu?

    Ushauri wangu jamani Mwenyezi Mungu anapotupa nafasi ya Kuzikamata basi tuwe na Nidhamu ya Kuzitumia lakini Kubwa tujikite mno katika Kuwekeza ili tusije Kuumbuka baadae / mbeleni kama aliyewahi kuwa Mchezaji nyota / mahiri wa Yanga SC Jesus Kololo. Ila Moloko nawe leo ngoja Nikuchane kwani...
  5. DonDonald

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 2-0 Wiliete | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 27/09/2025

    Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Young Africans (Yanga) jioni ya leo wanaingia uwanjani kukipiga na Timu ya Wiliete kutoka Angola katika mechi ya marudiano. Katika mechi ya kwanza iliyofanyika Angola, Yanga walitoka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya wawakilishi hao wa Angola Je...
  6. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Kinachofanyika kwenye soka la Tanzania ni sawa na kusema,Yanga anawezeshwa kumshinda Simba kama wanamke anavyowezeshwa kwenye mambo mbalimbali

    Hapo vip!! Mpira ni mchezo wa wazi na uzuri watu wengi sasa hivi wanajua mpira hauwezi kuwadananya. Jana kila mtu ameona yanga akipewa goli la offside tena bila aibu na Arajiga. Nafikiri pia ilikuwa nimpango mkakati wa kusihukuru yanga kwa kuchangia chama na kwa upande mwingine ilikuwa ni...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yaani Michezaji yetu haina Viwango tunafungwa tunataka Mangungu aondoke hivi wana Simba SC wenzangu tuna Akili sawa sawa kweli?

    Kwahiyo Mangungu ndiyo aliwaambia akina Kibu Denis na Nuksi Shomary Kapombe wakose yale Magoli ya wazi na ndiyo pia aliwaambia Mabeki wawe Wazembe katika Kukaba kiumakini hadi Pacome akatufunga? Yanga inacheza Kitimu Simba kizembe.
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba, Yanga waanza safari kuelekea Angola na Botswana kwa michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika

    Baada ya kumalizana na mchezo wa Ngao ya Jamii, vikosi vya Simba na Yanga, vimeanza safari kuelekea kwenye michezo yao ya Kimataifa katika nchi tofauti. Kikosi cha Yanga kimeondoka alfajiri ya leo Jumatano Septemba 17, 2025 Dar es Salaam kuelekea Angola kwa ajili ya mchezo wa Raundi ya Kwanza...
  9. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Simba imetoa taarifa kwa umma kuomba radhi mashabiki wake kushindwa kuvumilia utani wa Yanga SC

  10. B

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya hivi vilabu Simba na Yanga kubadili mentality zao kiuendeshaji

    Niliangalia matamasha ya Simba day na Yanga day ya mwaka huu nikaendelea kushuhudia kitu ambacho nilidhani hakikupaswa kufanyika kutokana na ukubwa wa vilabu hivi kwa sasa na umaarufu wa matamasha haya kwa sasa barani afrika na duniani kwa ujumla. Msanii kiongozi kwenye tamasha la simba day...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimekaa kwenye TV tangu saa 10 jioni nikifutilia sherehe za Yanga

    Rais Samia: Nimekaa kwenye tv tangu saa 10 jioni nikifutilia sherehe za Yanga. Niwatikie kila la kheri Yanga katika siku wenu hii.
  12. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 1-0 Bandari FC | Siku ya Wananchi 2025 | Mkapa Stadium

    Klabu ya Yanga inatarajia kukipiga dhidi ya Bandari FC kutokea nchini kenya katika uwanja wa Benjamin Mkapa leo Septemba 12, 2025 katika kuadhimisha siku yao ya Mwananchi. Yanga yauza tiketi zote (Full house) Uwanjani (Benjamini Mkapa) kukiwa kunameremeta kuelekea sikukuu ya wananchi...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nashukuru kwa Mo Dewji kumuondoa Msaliti Mkuu na Mtu aliyetuumiza sana Simba SC kwa Yanga SC Salim Abdallah 'Try Again' katika Bodi

    Sasa anaweza kwenda huko huko Yanga SC alikokuwa akilipwa kwa Kuisaliti Simba SC kwa Kutoa kila aina ya Siri tuumie.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya wana Yanga SC mjibuni Mandala Simba kwa hii Hoja yake ninayoiunga mkono 100%

    Haya na Wewe mwana Yanga SC uliyeko hapa JamiiForums je, nawe pia ukiivaa hiyo Jezi yenu HAUPENDEZI MBELE NA BADALA YAKE NAWE PIA UNAPENDEZA NYUMA Kwako?
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC wenye Akili tunauliza je, hizi Jezi zetu mpya tunazotamba nazo kama Wendawazimu zimetengenewa na Kampuni gani ya Kimataifa?

    Na sisi wana Yanga SC tutashukuru sana tu kama tukitajiwa hiyo Kampuni ili tujiridhishe nayo kama kweli ni ya Kimataifa.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu wana Simba SC kuwa Mshambuliaji tunayemtegemea katika Mechi yetu ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga SC hatocheza kabisa

    Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida. Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii. Hivyo sowah hatakuwa sehemu ya...
  17. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Yanga yapeleka utetezi FIFA katika skendo ya kujiingiza katika siasa

    Baada ya FIFA kuilima barua Yanga kuhusiana na kitendo chake cha kuichangia na kutoa sapoti ya wazi kwa chama cha siasa, inasemekana utetezi wao umejikita katika kukosekana kwa ushahidi wa kikao kilichofanya maamuzi hayo na pia kukosekana kwa stakabadhi za malipo hayo. Binafsi najiuliza, hivi...
  18. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Natabiri huu utakua msimu mbaya sana kwa timu yangu Yanga SC

    Kwanza kabisa nikiri wazi mimi ni shabiki mkereketwa na kindakindaki wa Yanga Africa. Mwenendo wa klabu yangu umekua bora sana kwa misimu minne mfululizo ikitupa burudani ya soka ambayo haihitaji maneno mengi kusimulia. Lakini kitendo cha hivi karibuni kiongozi wa juu (RIASI) wa Yanga kwenye...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwani Clatous Chota Chama Yanga SC wamekukosea nini ndani ya Msimu Mmoja tu nao hadi kila Siku uwe Unawananga na kuwashusha Thamani?

    Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Young Africans Sports Club Clatous Chama, ameibuka na kudai kuwa hakuna mchezaji ambaye hatamani kuichezea klabu ya Simba SC, kutokana na ukubwa na ushawishi wa klabu hiyo ndani na nje ya Tanzania. Chama ambaye kwa sasa ni mchezaji huru baada ya kuachana na...
  20. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Yanga sc, CHADEMA tumepuyanga

    Licha ya kuwa Mimi ni mwanachama hai na kindakindaki wa CHADEMA, ila siungi mkono na nalaani vikali barua yetu yakuishitaki Yanga sc huko Fifa! Nasema kwa hili la Yanga sc ,mmepuyanga , Yanga inaviongozi ,wanachama na mashabiki. Hayo yaliyofanywa yalifanywa na raisi wetu Eng.Hersi kwa utashi...
Back
Top Bottom