yakubali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    PostGE2025 Tanzania yakubali Masharti ya Commonwealth kuleta Wachunguzi Huru wa Matukio ya Uchaguzi 2025

    Ikumbukwe awali serikali ya Tanzania ilikataa kuupokea ujumbe wa Chakwera. Masharti waliyopewa na Mkutano wa Commonwealth uliopita 71, Dec 5, 2025. ============...
  2. Uganda yakubali kupokea wahamiaji kutokea Marekani. Wapinzani wakosoa uamuzi huo

    Uganda imekubaliana na Marekani kupokea wahamiaji watakaorudishwa iwapo hawana rekodi za uhalifu na si watoto waliotengwa, ingawa masharti kamili bado yanajadiliwa. Serikali ya Uganda inapendelea wahamiaji hao wawe raia wa nchi za Afrika. Kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani, Waziri...
  3. Israel yakubali kusitisha mapigano na Iran

    Serikali ya Israel inasema imekubali pendekezo la Donald Trump la kusitisha mapigano. Katika taarifa, Israel inasema: "itajibu kwa nguvu kwa ukiukaji wowote wa usitishaji mapigano." Serikali ya Israel inasema ilikubali pendekezo la kusitisha mapigano baada ya "kufikia malengo" ya mashambulizi...
  4. Mgogoro wa Ziwa Nyasa: Hatimaye Malawi yakubali kuwa ziwa ni la nchi zote 3

    Tafsiri isiyo rasmi Jamhuri ya Malawi Taarifa kwa Umma Wizara ya Mambo ya Nje inapenda kuujulisha umma kwa ujumla kwamba, baada ya mashauriano ya kidiplomasia ya kina na kwa kuzingatia mifumo ya kisheria ya kimataifa, imefikia makubaliano ya kihistoria na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
  5. Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  6. Misri yakubali kuchukua Wapalestina 500,000 sasa bado Somalia na kwingine

    Hii Misri iliyokua imegoma kuchukua hao watu imenywea kwa Trump, maana Trump alisema pale Gaza anataka kupafanya safi na kubadilisha matumizi yake..... Magaidi wa uislamu akina HAMAS wanaenda kufutwa ======================= Egyptian President Abdel Fattah El-Sisi said that his country was ready...
  7. Aljazeera: Ukraine yakubali kusitisha vita ndani ya siku 30

    Ukraine imekubali kupitisha pendekezo la Marekani la kusitisha mapigano mara moja kwa siku 30 katika uvamizi unaoendelea wa Russia dhidi ya nchi hiyo ya Ulaya Mashariki, ikisubiri Moscow ikubali masharti hayo hayo, kulingana na taarifa ya pamoja ya maafisa Jumanne jioni. "Ukraine ilionyesha...
  8. Apple yakubali kulipa faini ya Tsh. Bilioni 235.12 baada ya mfumo wa 'Siri' kubainika kusikiliza mazungumzo ya Wateja kwa siri

    Kampuni ya Apple imekubali kulipa faini ya takriban Tsh. Bilioni 235.12 kama faini baada ya uamuzi wa Mahakama kuonesha kampuni hiyo ilikuwa ikiingilia faragha za Watumiaji wa Vifaa vya Apple vinavyotumia Mfumo wa 'Siri' ikiwemo kusikiliza mazungumzo yao kwa siri. Hata hivyo, imeelezwa kuwa...
  9. Familia ya Ulomi yakubali ndugu yao amefariki kwa ajali

    Hatimaye familia ya mfanyabishara Daisle Ulomi aliyefariki na mwili wake kukutwa mochwari ya Hospitali ya Rufaa ya Mwananyamala, imesema kuwa ndugu yao ni kweli alifariki kwa ajali. Akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 17, 2024, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam...
  10. Tanzania yashindwa kesi, yakubali kuilipa fidia Kampuni ya Montero Tsh. Bilioni 71 kwa kukiuka Masharti ya Mkataba

    Tanzania inadaiwa kudondokea pua katika mwendelezo wa kesi zinazoikabili ambapo sasa itatakiwa kuilipa Kampuni ya Montero zaidi ya Tsh. Bilioni 71 kama fidia kwa kukiuka masharti ya mkataba. Inadaiwa kuwa tayari Novemba 20, 2024, Serikali imeshalipa Tsh. Bilioni 30 na zilizobaki inatakiwa...
  11. PreGE2025 Mahakama yatoa kibali Wadau wafungue Kesi kupinga Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mahakama Kuu ya Tanzania leo September 09,2024 imesema kuwa waleta maombi kwenye shauri ambalo walikuwa wanaomba idhini ya Mahakama wana haki ya kufungua kesi kuhoji uhalali wa Sheria ndogo zilizotungwa kwa lengo la uratibu na uendeshaji wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 kupitia...
  12. Iran yakubali ombi la US na Egypt kutoishambulia Israel ili vita visimamishwe

    Nchi kadhaa zimekuwa na hofu kubwa ya mashambulizi makali ya Iran dhidi ya Israel na kupanuka kwa vita katika eneo la mashariki ya kati.Hofu hiyo ni kutokana na kiapo cha Iran kulipiza kisasi kutokana na kuuliwa kwa Ismail Haniye. Miongoni mwa nchi zenye hofu zaidi ya vita hivyo na kwa maslahi...
  13. Combination ya PCM ime balance Yanga Au kihasibu Yanga Sasa tuna CPA😅

    Ujio wa Chama utaleta mabadiliko makubwa. Ni Gamondi mwenyewe kuamua atumie mfumo Gani? Comb ya PCM , pacome, Chama, Max. Au kihasibu tuseme Yanga tumefuzu Kwa CPA. CPA Chama Pacome Aziz ki. Mbumbumbu Kwa combination hii mtakula za kutosha dadek. Shukran Kwa Eng Hersi Said. .yanga bingwa tena.
  14. Azam FC yakubali kuvunja Mkataba na Prince Dube

    TAARIFA Tunapenda kuutaarifu umma kwamba tumeridhia maombi ya Prince Dube kuvunja mkataba wake nasi, aliyoyatoa Machi 2024. Hatua hii inafuatia kitendo cha mchezaji hiyo kutimiza matakwa ya kimkataba kama ilivyoanishwa kwenye vipengele vinavyoruhusu upande mmoja kuvunja mkataba. Tunamtakia...
  15. Hamas yakubali pendekezo la kusitisha mapigano, wananchi wa Rifah washangilia

    Gaza kumekucha huko wananchi wanazurura mitaani wakiimba na kumshukuru Mungu baada ya Hamas kukubali masharti ya Israel muda huu. Kwakweli Mungu ni mwema anajibu wamekufa wengi sana na sasa tuseme imetosha waliobakia waendelee na maisha ila adabu wamekipata walichokitafuta. ====== Kiongozi...
  16. L

    Marekani yakubali kuwaondoa wanajeshi wake nchini Niger

    Vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti kuwa Marekani imekubali kuwaondoa wanajeshi wake zaidi ya elfu moja nchini Niger kufuatia agizo la serikali ya mpito ya nchi hiyo. Mjumbe maalum wa zamani wa Marekani katika eneo la Sahel J. Peter Pham alisema, "Marekani na washirika wake wamepoteza mali...
  17. Indonesia, nchi ya kiislamu yakubali kuwa na uhusiano na Israel

    Hawa wametia akili na kuacha muarabu abaki na bifu zake kwenye dini yake.... ==== OECD Secretary-General Mathias Cormann Indonesia, the largest Muslim country in the world, will normalize ties with Israel in exchange for Jerusalem’s approval of its request to join the Organization for...
  18. K

    Israel yakubali masharti ya HAMAS kwenye kusitisha mapigano ya vita kwa siku 4. Kwa masharti haya,nani kaelemewa?!!

    Mgogoro wa Israel na Palestine huku ukiendelea kwa mashambt makali,kesho vita vitasinama kwa siku 4. Yafuatayo ni masharti ambayo Israel na HAMAS zimekubaliana kwenye mazungumzo ambayo yamekua yakifanyika nchini Qatar kwa takribani wiki 2 Sasa. Makubaliano hayo yameungwa mkono na USA ambae ni...
  19. Mahakama yakubali mshtakiwa mauaji ya mkewe apimwe Afya ya Akili

    Upande wa utetezi katika kesi inayomkabili Hamis Luoga anayekabiliwa na shtaka la mauaji ya mkewe, Naomi Marijani umeiomba Mahakama mshtakiwa huyo akapimwe afya ya akili. Wakili wa utetezi, Mohamed Majaliwa ameiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mshtakiwa apelekwe Hospitali ya Isanga...
  20. Apple yakubali yaishe, Iphone 15 inayotoka wiki ijayo kuja na charger ya type C

    Kampuni ya utengenezaji simu aina ya Iphone ya Apple yakubali yaishe, inatarajia kutangaza simu mpya wiki ijayo zenye charger za type C. Apple imekubali kufuata masharti ya umoja wa ulaya ambayo ilipitisha masharti ya kutaka simu zote na laptop zote zinazouzwa ndani ya umoja huo kua na charger...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…