yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukigundua mke wako ni mshirikina na hampendi mama yako na ndugu zako, suluhisho ni lipi kwa misingi ya kikristo bila sheria za mahakama?

    nataka tujuzane wakristo kwamba ndoa zetu hizi za kikristo zimekaa kinadharia sana kuliko kiuhalisia, sheria hazijajitosheleza na ndio maana watu hukimbilia mahakamani maana wanaona kabisa sheria za kikristo bado haziwezi kutatua hali zao. Ukristo unaweza kutatua tatizo hili bila kutegemea...
  2. JamiiForums Tanzania Ukifanya Oral Interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako?

    Naombeni kuuliza kuna ndugu yangu anataka kujua: Ukifanya oral interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako.
  3. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe, zile Keki Kubwa 50 ulizoenda nazo Mbarali Mbeya umezila zote peke yako?

    Mwenyewe ulipanga uweke Historia pale Uwanjani Highland Estate Mbarali kama Yanga SC yako ingeshinda Mchezo wake wa 50 bila Kufungwa basi umuagize Dereva aingize Gari Uwanjani na mzigawe kwa Mashabiki wenu ili Wazisasambue kwa Mikogo yenu mingi kama Kawaida yenu. Haya jana Jezi zenu Maalum za...
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi maombi yanavyoshusha Imani yako kwa Mungu

    Tumezoea kudhani kuwa maombi yanakuza Imani. Ni kweli tumesisitizwa kuomba, lakini asilimia karibu 99 ya Sala zako hazipaswi kuwa Maombi Bali Shukrani. Kuombaomba na mbaya Zaidi kuombewa kunapumbaza na kushusha Imani. NINI KITAONGEZA IMANI YAKO? SHUKRANI. Unatakiwa kushukuru Muda mwingi Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Fumbua macho yako

    Habari za muda huu ndugu wana Jamii Forums? Natumaini mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa letu hili pendwa Tanzania, changamoto zipo ila cha msingi ni kuzishinda huku tukimtanguliza Mungu mbele. Napenda kujikita kwa mada huska kama ifuatavyo, Afya yako ni jambo la msingi sana. Afya yako kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

    Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania kama pesa yako ni ya kuunga unga, usinunue gari zaidi ya Toyota, hii itakuhakikishia a good resale value

    Kwa Tanzania kama uchumi wako sio wa walamba asali, wala keki ya taifa usinunue brand nyingine ya gari zaidi ya Toyota. Kununua Toyota ni kujihakikishia uwepo wa wateja na pia kupata thamani nzuri ya gari yako pale utakapoamua kuiuza. Kuna watu wapumbavu huwa wanauliza eti kwani unanunua gari...
  8. JamiiForums Tanzania Tukio la Bashiru Ally na Mkutano wa Waziri wa Uchukuzi vimepangwa, shtuka!

    Kila kunapokuwa na jambo ka moto mara zote CCM huja na vijambo Ili kuwatoa wananchi kwenye umakini. Wote tunajua kuwa moja, kuna mgao mkali sana wa umeme ambao hata haueleweki, kuna mgao wa maji huku bili za maji zikiwa ni zile zile na kuna ucheleweshaji wa mishahara pamoja na ugawaji wa kihuni...
  9. JamiiForums Tanzania Na hivi ndivyo Unavyotangaza Nchi Yako.....

    Kama vile wa-Korea kipindi kilichopita Mashabiki wa Japan walibaki Uwanjani kusafisha Uwanja. Hizi ndio Sifa zinazotakiwa, Sio Uchumi wa Kati wala Sijui tuna Nuclear Ngapi.
  10. JamiiForums Tanzania Umewahi kufanya kitu gani cha maendeleo katika jamii yako?

    WanaJf, SALAAM! Jukwaa hili linaundwa na watu mbalimbali wa lika, na jinsi tofauti - wa elimu na ufahamu tofauti - wa viwango na nafasi tofauti. Wote wetu tumegeuka kuwa wakosoaji wazuri wa masuala hasa ya kijamii na kiuchumi. Ni jambo zuri kukosoa lkn ni jambo zuri zaidi kuonesha njia kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku, kwanini umeifanya Taasisi ya Mwalimu Nyerere mali yako binafsi mpaka wafadhili wameisusa?

    Taasisi ya Mwalimu Nyerere ilitarajiwa iwe nzito, reference point kwenye tafakuri za kikanda na nchi. Mambo ni tofauti, taasisi hii imegeuka ni mti wa huyu Mzee wa Butiama kuota jua wakati huu wa uzee wake. Haina mvuto, ipoipo tu inavizia matukio ya kisiasa, hesabu zake hazijakaguliwa miaka...
  12. JamiiForums Tanzania Nisaidie mwanangu, muulize mama yako, kwanini ananinyima unyumba?

    Ugomvi wa baba na mama umekuwa ukiongezeka siku hadi siku. Nipo kijijini kwa mapumziko ya likizo ya siku 28. Hali hii imekuwa ikinikera sana hivyo nikaona kwasababu mimi ni mtu mzima nikae chini na Mzee Wangu tuyaongee, kwani shida ni nini? Basi, kwa kuwa Mzee Wangu ni mtu wa kupenda maji...
  13. JamiiForums Tanzania Hayati Rais Magufuli ningejua ungekufa ghafla vile ningekuwahi unipe Spirit yako ili niipandikize kwa Marais wajao wa Tanzania

    'Characters zako zifuatazo zitanifanya niendelee Kukukumbuka, Kukupenda na Kukuona ulikuwa Rais bora Tanzania kwa Kizazi cha sasa na hata Kijacho 1. Hukuwa Mnafiki na Mwizi 2. Uliiamini zaidi Akili yako Kubwa 3. Hukuwa Muoga wa Kufa / Kuuwawa 4. Ulikuwa ni Mzalendo wa Vitendo 5. Hukulea...
  14. JamiiForums Tanzania Tumia lugha ya Hospitali Kuelezea Mahusiano yako ya Kimapenzi kwa sasa.

    Mimi:👉👉 ''Jana alikula vizuri Kabisa na Akacheka na sisi pale, Ila Ya Mungu mengi jamani" Also👇👇 Mimi:👉👉 ''Tunajaribu Kila Liwezekanalo'' Status yako na mpenzi wako ipoje kwa sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaoifuata Nyota yako ni kina nani?

    WANAOIFUATA NYOTA YAKO NI KINA NANI? Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Ni kina Nani hao? Unawajua wanaoifuata Nyota yako? Neno Nyota linaweza kuwa linachechemea katika fikra za watu wasioamini mambo ya Kiroho hasa ndugu zangu kina Kiranga, hata hivyo wao tutatumia istilahi...
  16. JamiiForums Tanzania Wekeza kesho yako iwe Njema Kwa Mola wako

    Ndugu zangu kama heading inavyojieleza. Kuna ndugu yetu katika Imani yeye ni hafidh WA Qur'an na yupo huko Magore jijini Dar es Salaam,ana madrassa anafundisha vijana wetu. Lengo lake kubwa ni kujiendeleza kielimu ili walau afikie ngazi Fulani,mara ya Kwanza alipokuja dar kutoka kwao mkoani...
  17. JamiiForums Tanzania Utajuaje Brake Pads za gari yako zimeisha?

    Kuna madereva huwa wao wakishaweka D ndo nitolee mwendo mdundo, unakuta Brake pads zinaisha hajui zinakula disc mpaka inakua nyembamba utafikiri CD. . Sasa Basi nimekuandalia Tips rahisi kwa ufupi kabisa zitakazokusaidia kujua Brake Pads zimeisha na utazijua ndani ya sekunde 60 tu, Kwanza Taa ya...
  18. JamiiForums Tanzania Misingi mikuu unayotakiwa kuijenga kwa ajili yako au familia yako

    MISINGI MIKUU UNAYOTAKIWA KUIJENGA KWA AJILI YAKO AU FAMILIA YAKO Anaandika, Robert Heriel Mjenzi huru Andiko hili lamfaa mtu yeyote, wa umri wowote, wa jinsia yoyote, wa Hali na hadhi yoyote, wa mbari na jamii yoyote naam yeyote yule. Kwani kila nilichokiandika nimekipima, tena lugha...
  19. JamiiForums Tanzania Unahitaji mapazia ya nyumba yako? Pitia uzi huu

    Anza kwa kutazama clip hii⬇️ Then, mengine tutazidi kujuzana.... Ila kama upo interested sana basi waweza kunicheki WhatsApp 0685269533 au ukapitia page yangu ya Instagram kujionea kwa kubonyeza link hii https://instagram.com/flameinteriors?igshid=YmMyMTA2M2Y= Hapo kama uonavyo ni mapazia...
  20. JamiiForums Tanzania Maelfu Iran waendelea kuamsha popo, maandamano yako pale pale licha ya serikali kuwaua kisa dini

    Leo jumanne wananchi wa Iran wametikisa kote kote... Protesters in Iran led a fresh bout of demonstrations on Tuesday to commemorate 2019 Bloody November protests over fuel prices — protests which were ultimately put down by government force. It comes after more than two months of protests...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…