yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Ndugu zangu watanzania, sisi wajasiriamali tunaojaribu kufuata sheria na kuwa complied na sheria za Nchi tunapitia mengi sana. Wakati wa JPM ulikuwa ukifanya returns BRELA au mabadiliko yoyote kwenye kampuni yako ulikuwa unapata huduma kwa haraka sana. Nina miezi mitatu nimefile BRELA returns...
  2. JamiiForums Tanzania Tangazo: Jipatie Diaries na Calendar za 2024 kwa ajili ya kampuni/Tasisi/biashara yako

    Habari zenu wapendwa wanajamii forums! Tunayo furaha kuwatangazia kwamba tuna diaries mpya za mwaka 2024,Tunaamini kwamba diaries hizi zitakuwa mwongozo mzuri katika maisha yako ya kila siku na kukusaidia kuweka mambo yako vizuri katika mwaka ujao. Diaries zetu ni za ngozi(Business Leather...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Natumia Excel kutengeneza taarifa na kuzichambua Katika njia mbalimbali ili ziweze kukusaidia kufatilia maendeleo kwenye biashara yako

    Ndugu habari Mimi ni kijana mwenye ujuzi na excel sasa nmeona pengine naweza kuufanya ujuzi huu kuwa huduma na kupata chochote kinisadie hapa na kule. Nina ujuzi na excel na ninaweza kutumia katika namna mbalimbali ili kuweza kusaidia kutatua changamoto tofauti tofauti. Wee mfanya biashara...
  4. JamiiForums Tanzania Fanya haya kuongeza thamani ya ibada yako katika mikusanyiko ya kiroho

    1: Ingia kwenye ibada ukiwa na ajenda. Usiende kwa sababu watu huwa wanaenda. Jitahidi uwe na hoja na ajenda siriasi ukizopanga kuwasilisha kwa Mungu wako. 2: Usipende kukaa nyuma au mwisho. Ili kuwa mzingativu jitahidi ukae kuanzia siti za katikati kuelekea mbele kwa mnenaji. Usiulize nyuma...
  5. JamiiForums Tanzania Unawezaje kumaliza woga na wasiwasi wako na ufungue mipaka ya akili yako?

    Kila kiumbe kimeumbwa na woga wa asili kama ishara ya hatari ili kuongeza umakini kisidhurike. Woga ni mfumo wa muhimu wa mwili wakujilinda na kitu chochote kinachoweza kuwa hatarishi kwako. Haimanishi moja kwa moja ukiogopa wewe ni mdhaifu, hata simba ana woga pia. Lakini woga tunaoenda...
  6. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Memory card ya simu yako ya 5MB mwaka 1956 ilikuwa ni sawa na mzigo wa tani za kutosha!

    Angalia picha ya memory ya 5MB ikisukumwa kuwekwa kwenye ndege kusafirishwa.
  7. JamiiForums Tanzania Haya Ndio Yanachelewesha Mafanikio Yako

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba unaendelea salama na shughuli za ujenzi wa maisha yako na taifa kwa ujumla.Leo nachokoza mada kuhusu mambo ambayo huchelewesha mafanikio ya mtu.Ni matumaini yangu kwamba mjadala huu utakufanya uweze kuona mwanga na kuchukua hatua stahiki. Karibu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kinana: Kuna watu Wana vyeo vikubwa, ila hawaheshimiki Kwa TABIA zao mbaya

    Hayo Ameyasema Mzee Kinana akiwa msibani Arusha. Je, viongozi hao ndani ya chama na Serikali yake wenye vyeo vikubwa lakini TABIA mbovu ni akiba nani? Je, viongozi wenye TABIA mbovu, wamepenyaje na kupewa mamlaka makubwa chamani na Serikalini? Karibuni🙏 Source: Kusaga.v TV na IPC Mkombozi.v tv.
  9. JamiiForums Tanzania Mungu siyo mtumwa wako, hafanyi kamwe mapenzi yako

    Hakuna anayeishi kwa ajili yake “Mungu wangu, mungu wangu mbona umeniacha”, hii ni kauli ya Yesu alipokuwa msalabani anakaribia kufa, na muda mchache baadaye Yesu alikufa, kumbuka kama yasemavyo maandiko, 'Ndani yake yeye sisi tunaishi, tunajimudu, na tuko". Mungu sio Mungu wa wafu ni Mungu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Usimkopeshe ndugu yako

    Habari🖐 Kwa miaka mingi nilikiwa nikisikia huu usemi, sasa nimeuamini. Usimkopeshe ndugu yako, hata kama anakuja kwa kuburuza magoti na machozi yanamtiririka. Usimkopeshe ndugu yako, kama una hela, msaidie, aende zake, mbaki na amani. Narudia tena usimkopeshe ndugu yako, kama ana shida bac...
  11. JamiiForums Tanzania Nini faida au hasara ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na jirani yako?

    Wakurungwaaa najeee? Kwa sisi wadau wa nyumba za kupanga kwa namna fulani unaweza kujikuta umevutiwa na jirani yako fulani kwa namna moja au nyingine. Au unaweza kujikuta unaangukia kwenye mahusiano na Mwanamke au mwanaume anayeishi karibu sana na nyumbani kwako. Je, kuna faida au hasara...
  12. JamiiForums Tanzania Ewe Mwanamke ambaye baada ya tendo tu unakurupuka na kushika simu yako

    Unamkata mmeo/mpenzi wako stim. Haiwezekani yani mwamba kajitahidi kusukuma mashine hadi jasho linamtoka. Wewe punde tu unakurupukia simu na kuingia kwenye makundi ya vikoba. Unakata stim. Walau pretend.. pitiwa hata na kausingizi kakinafiki...legeza sauti na legeza macho, hii itamfanya mpenzi...
  13. JamiiForums Tanzania Katika maisha yako usipende sana kuikimbizia GARI

    Wewe ni kama ndugu yangu wacha nikushauri kitu. Ndugu katika maisha yako ya kila siku USIPENDE sana kuikimbizia GARI, ukichelewa acha utakuja panda inginewe. Pia sio tu gari hata NDOA, hivi vitu sio vya kuvikimbizia kabisa ikitokea vimekuacha na wewe pia acha utakuja panda inginewe. Labda...
  14. JamiiForums Tanzania Dick Cheney: Sitaomba msamaha kwa kuweka familia yako salama

    Wengi mtamkumbuka Cheney kama makamu wa Raisi wa George Bush. Cheney alipitia criticism sana kwa kuwa ali engineer kufanya vita dhidi ya Iraq na mataifa yoyote yaliyo husishwa na janga la gaidi 2001 pale World Trade Centre. Katika moja ya interview yake ya mwishoni mwa career yake ya uongozi...
  15. JamiiForums Tanzania Makonda, nilimwomba Mungu sana kwa ajili yako, ahsante Mungu umesikia

    Mungu umejibu maombi, mtumishi wake Makonda umemkumbuka tena, Katika tumbo la samaki alimokuwa umetoka na maono na upako Mpya kuna kitu ndani yake kwa ajili ya wa Tanzania naamini muda uliompa kujitafakari anarudi na upako Mpya kuleta matumaini kwa wanaCCM wengi ambao walikuwa wamekunjana mioyo...
  16. JamiiForums Tanzania What's your morning ritual? / Nini ni ibada yako ya asubuhi?

    Hello bosses and roses... Kuna mambo madogo madogo ambayo watu huwa tunajisahau lkn yana umuhimu sana kwa masaa 24 yatakayofuata. Mfano mtu unaamka tu asbh hapo hapo unapiga mswaki na kutafuta usafiri uelekee kituo chako cha kazi lkn ukifuatilia ikifika saa tano asbh tyr ushaanza kuchoka na...
  17. JamiiForums Tanzania Takasa na safisha vitu na mambo yako kwa usalama wako

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Vita ya Maisha ni baina ya makundi hasimu mawili. Nuru na Giza, Juu na chini, Uchafu na usafi, Wema na Ubaya, Inuko na anguko, Mng'ao na mfubao. Kwa watu makini wanajua wazi kabisa kuwa ili mambo yako yaende lazima yasafishwe, yatakaswe, na ili mambo yako...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

    Wakuu, Mwaka 2023 unakaribia kuisha, tumekutana na mambo mengi, ya kufunza, kukatisha tamaa, kutusogeza mbele ama kuturudisha nyuma, kutupa nguvu na kutufurahisha pia. Katika mambo yote uliyokutana nayo, ni kipi kimekugusa sana kwa namna moja ama nyingine na kukufunza jambo?
  19. JamiiForums Tanzania Uchawi kitu kibaya sana, wachawi wakishikilia maisha yako hutoboi ng'o

    Kazi unafanya lakini hutoboi Kusoma umesoma lakini huajiriwi Kuajiriwa umeajiriwa lakini hali yako ni kama jobless. Biashara unafanya miaka nenda rudi lakini hustawi. Wachawi watu wabaya sana.
  20. JamiiForums Tanzania Mwana Simba, ipo siku Yanga atapata mafanikio yako, moto utawaka

    Natumaini wote ni wazima wa afya, ila kama mwenye matatizo kiafya basi Mwenyezi Mungu(Allah) au kwa imani yako ikusaidie upone. Basi, kuelekea kwenye Uzinduzi wa michuano mikubwa zaidi ya Vilabu barani Africa (AFL) kumekuwa na hisia tofauti tofauti katika mechi hiyo ya Uzinduzi ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…