yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. Uwenda Huyu ni Aina ya Mtu Unaemuhitaji Katika Biashara Yako

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 taaluma yangu ni ufugaji samaki kiwango cha elimu ni Diploma (Diploma in Aquaculture Technology) Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye hii industry nimefanya kazi katika miradi kadhaa katika mikoa ya Pwani, Shinyanga, Mwanza na Tabora. Kwa sasa nimejikita kama...
  2. Mwamba anayeruka na mkeo hatoki mbali; ni huyo huyo rafiki yako unayemwita wa kufa na kuzikana

    Wote mpo hapo wizara ya fedha, kidogo wewe una kacheo hivyo huwa unasafi mara kwa mara kwenda mikoa mbalimbali, kutoa elimu ya masuala ya fedha. Kumbuka mkeo ni mtoto wa kinyaturu mweupeee kapanda hewani, rafiki yako mtozee ajalia vitamu kirahisi huku shemu wakati ananyanduliwa anakutukana...
  3. Hakuna mtu anayeweza ku-hack WhatsApp yako

    Kuna taarifa nyingi za uongo mitandaoni, sijui meseji za WhatsApp zitasomwa na watu, sijui nini na nini! Ngoja niwaambie jambo moja. Zuckerberg sio fala, hakuna mtu anayeweza kuingilia mawasiliano ya mtu mwingine. Hii mitandao ipo imara sana labda uhack, na mara nyingi kuhack hutumika Facebook...
  4. Epuka na usikubali kushauriwa na watu hawa katika Ndoa/Mahusiano yako.

    1. Ikiwa unapitia changamoto yeyote, usije ukaomba ushauri kwa Ex kwasababu huyu atakushauri kwa kusukumwa na wivu ama hisia. 2. Jitahidi kuto mshirikisha rafiki wako wa karibu changamoto za mahusiano yako kwasababu, huyu ni rahisi kukushauri kwa kutumia hisia kwasababu atayabeba maumivu yako...
  5. Andika mawazo yako: Ujamaa ni nini? Na ubepari ni nini? Na ni mfumo upi mzuri unapaswa kufuatwa na nchi ili iwe na maendeleo?

    Watu wengi huzungumzia ujamaa na ubepari lakini bado hawaelewi kwa kina. Katika taifa letu la Tanzania tuna mchanganyiko wa ujamaa na ubepari. Mfano mdogo uwepo wa sekta binafsi hiyo ni ishara ya kuwepo kwa ubepari. Na nikwambie tu kuna baadhi ya taasisi katika taifa letu zinatumia mfumo wa...
  6. G

    Nisipost chakula na nisile mbele yako kisa jirani umefunga? Ni wazi unajilazimisha kushinda njaa wala hujafunga kwa imani

    Hizi tabia za kulazimisha jambo la watu fulani liwe la wote nazichukia sana, Sio wote ila ni wale wanaofunga kwa kushinda njaa, wale wanaofunga kwa imani wala sina shida nao. Nashangaa nikiweka status za vyakula kuna baadhi ya njemba zinakuja inbox eti huu mwezi mtukufu sio vizuri kupost...
  7. D

    Kila Changamoto ni Fursa, Dalali mkuu nakurahisishia mahitaji yako

    SHALLOM WANABODI Ajira imekuwa changamoto sana kupatikana bila kuwa na Connection au Bahati kama ilivyo kwa wengi. Niliamua kufanya kazi ya udalali ambayo naona kwa kiasi kikubwa inalipa Japo unaweza kukaa mwezi mzima hujapiga dili la maana zaidi ya kupata dili ndogo ndogo za Elfu kumi...
  8. Binti yako kama hana elimu asikanyage Dar es Salaam

    Ndefu kidogo.... Leo acha niseme kidogo kuhusu dada zetu tuseme Betina aka Tyner. Picha linaanza akifika Dar, ngozi halisi inaanza kuonekana. Kumbe hakuwa mweusi tii bali ni rangi ya chokoleti. Maji ya chumvi, vipodozi, misosi flani, sabuni na mafuta anayoanza kupaka. Kombinesheni yote hii...
  9. M

    Toa maoni yako hapa tuwafanyeje waliotaka Rais Samia asikabidhiwe nchi

    WanaJF, Yaliyosemwa na retired CDF kuhusu matukio yaliyotokea muda mchache kabla ya Magufuli kufariki miaka 3 iliyopita tumeyasikia. Baadhi ya matukio ni kikundi fulani kutaka katiba isisimamiwe. Aliyekuwa CDF akakataa Matukio haya yanasikitisha lakini tukiyanyamazia yanaleta precedence...
  10. Je, kuna uhusiano wotote kati ya nyumba unayoishi na kufunguka mambo yako?

    Habari, Dah leo nimekumbuka jambo ambalo lilishawahi nitokea miaka 7 nyuma sasa katika kuunganisha kwangu dot naona kuna kitu ambacho naweza kuwa sahihi ama la hasa kwenye swala la nyumba zetu hizi za kupanga na upatikanaji wetu wa ridhiki. Na hizi ndo historia ya nyumba nlizokaa kwa upande wa...
  11. R

    Maxence Melo: Kiongozi ukishakuwa kwenye ofisi ya umma kukosolewa ni haki yako

    Fuatilia mahojiano yanayoendelea wakati huu Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo akizungumza kuhusu Matumizi salama ya mitandao ya kijamii. https://www.youtube.com/live/E13SKGnMr04?si=34HbpimcB7Avgfn- Matukio ya wananchi kukamatwa sababu ya kumkosoa kiongozi fulani, hii imekaaje...
  12. Pesa mtaani zimepotelea wapi? Je, biashara yako inaendaje?

    Wakuu habari zenu, Wakati wa utawala wa Mkapa kuna hali ya ukata wa pesa ulijitokeza tukauita UKAPA. Wakati wa JK kiasi flani mambo yakalainika japo ufisadi ulikuwa juu sana na mfumuko wa bei. Kila mtu aligeuka dalali. Pale Mnazi Mmoja wakazaliwa madali wenye vitambi na kiburi, huwezi uza gari...
  13. B

    Je, una tatizo lolote kwenye Computer au Website yako? Niko hapa kwa ajili yako

    Habari!, ndugu wana JF natumai wote ni wazima. Mimi ni Computer Technician pia Web developer, nina skills na experience ya kutosha kwenye computer maintanance na web development and designing Skills nilizonazo :- 1. Html, CSS 2. Javascript 3. PHP & laravel framework 4. Python & Django...
  14. Katika maombi yako usisahau kuwaombea singo maza. Wanapitia magumu mengi katika kuhakikisha wanakula wao pamoja na watoto wao

    Singo maza wanaanza kunyanyasika nyumbani kwao kabisa hali inayowapelekea kuamua kuondoka nyumbani kwenda kupanga ghetto tayari kwa maisha mapya. Munaijua hali ya maisha ilivyo ngumu duniani kote. Ila Bongo life ni gumu zaidi kwa wanawake maana fursa zote za kipato favorable kwa wanawake ni...
  15. Usimuuzie wala kumgawia mtu kadi yako ya kupigia kura

    Mwaka 2015 kulikuwa na uchaguzi Mkuu miongoni mwa mambo niliyosikia kutoka kwa baadhi ya watu ni kuwa wameuza kadi zao za kupigia kura kwa koasi cha 5000 mpaka 15000. Mmoja wa aliyekuwa akinisimulia alidai kuwa wakipita watu mitaani wakiwashawishi wauziwe kadi za kupigia kura. Kutokana na...
  16. Hivi inawezekana Mke wako akajua mahusiano yako ya nje na akayavumilia, akayaishi ikiwa hutoki relini?

    Yani. Uko On point kila mahala. School fees Family and relatives support Daily chores..domestics upo. On Bed even better.. Yani you are perfect. Kuna haja ya mkeo kusema lolote zaidi ya kumshukuru huyo msaada wa pembeni..!?
  17. Soma haya ujifunze bure katika maisha yako na uyazingatie

    1. Punguza marafiki kwa sababu wapo marafiki ambao wanaweza kua vikwazo vya mafanikio yako na hauwezi kuwajua unapo kua nao na kuishi nao na kula nao unacheka nao na wengine unalala nao wengine hata unajinyima kula ili wale wao lakini ndo namba moja kwa kugeuka kujifanya rafiki huku...
  18. Matumizi yako kwa siku ni sh. ngapi? Je, niko vizuri au mimi ni mwananchi mnyonge?

    Kwenda kazini natumia nauli ya 2000, kwenda 1000 kurudi 1000, asubuhi haiwezi kuzidi 1000 chai na harakati zingine, mchana hapa napiga sahani ya wali na nyama/dagaa/migebuka daily, ni 2000 nashushia na juice ya buku, kwa hiyo mchana jumla ni 3000, usiku ratiba yake ni kama mchana tu, 3000...
  19. S

    Makonda jiuzulu ulinde heshima yako

    Paul Makonda ulifanya ziara nchi nzima na kuhitimisha kwa kusema umekuta nchi nzima inanuka dhuluma kutokana na wananchi kufanyiwa dhuluma kubwa na viongozi waliopewa dhamana katika ngazi za wizara, mikoa na wilaya hadi ukafika hatua ya kutoa machozi. Jambo la kusikitisha sana tukio la...
  20. Je wewe au rafiki yako u/aliwahi kufanikiwa kibiashara baada ya kumshirikisha mganga?

    Kuna nyakati unaweza kupitia katika biashara yako ambapo unaona unaelekea kuanguka vibaya sana na bado unafamilia na bills nyingine. Inaweza kuwa sio usimamizi mmbaya ila labda ni factors za hali ya kiuchumi na factors nyingine ambazo hata wewe haulewi mambo yamekuharubikiaje. Inapelekea sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…