yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mo Simba day nini maoni yako

    Hotuba ya jana ilikua ni kama inataka kufikisha ujumbe kuhusiana na hali halisi ya kinachoendelea pale unyamani Kwa anayefahamu Kwa mujibu wa katiba ya simba muundo wa kimamlaka uko vipi upande wa mwekezaji na wanachama je budget ikitangazwa ni kila upande unachangia au upande wa mwekezaji tu...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wako juu ya Maisha toa maoni yako kuhusu msemo huu

    Kuna mtu mmoja nilikuwa nafuatilia mafunzo yake. Kuna kauli alisema "ANGUKO KUU LA MWANADAMU LIPO KATIKA KUSAHAU ALIPOTOKA" Kwa uzoefu wako juu ya binadamu,Maisha hata Dunia Kwa ujumla.niambie unavyouelewa.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwa efu kumi yako tu...!

    Hivyo ewe kijana...enyi wachumba...enyi wenye ndoa changa mnangoja nini?
  4. JamiiForums Tanzania Ni kazi gani kiofisi kipindi unakuwa ulijisemea hautakaa hufanye maana unazichukia au labda haziendani na hurka yako?

    LAWYER POLICEMAN HAKIMU hadi leo kwangu ni trash, ingawa ni kazi kama kazi nyingine na zinalisha watu na familia zao
  5. JamiiForums Tanzania Kutaka bikra kwa mwanamke utakayemuoa ni Haki yako kama mwanaume.

    KUTAKA BIKIRA KWA MWANAMKE UTAKAYEMUOA NI HAKI YAKO KAMA MWANAUME. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Usione aibu kuulizia bikira kwa mwanamke unayetaka kumuoa. Muulize tuu unaogopa nini? Muulize kama hana anajihisi vipi kama utamuoa huku akiwa hana bikira. Sikiliza mtazamo wake. Hapo...
  6. JamiiForums Tanzania Umeianzaje weekend yako?

  7. JamiiForums Tanzania Heshima ya Shahada yako

    SHAHADA HESHIMA YAKE IONEKANE KATIKA KAZI Adeladius Makwega – MBAGALA Nilipokuwa nasoma Chuo Kikuu katika Shahada ya Sanaa ya Habari, nilifundishwa somo lililoitwa Cultural Anthropology. Mhadhiri wetu alikuwa Profesa Samwel Mshana, ambaye kwa sasa ni marehemu. Alikuwa mzee mwenye busara na...
  8. JamiiForums Tanzania Ardhi yako ni yako hata bila Hati? Rasimu hii inasema ndiyo, na inaweka Ukuta dhidi ya Unyang'anyi

    Kila mkoa nchini Tanzania una hadithi yake ya ardhi. Kijiji kinachoambiwa kihame kwa ajili ya uwekezaji. Familia inayonyang'anywa ardhi ya mababu kwa sababu haina hati. Mwekezaji wa kigeni anayepewa maeneo makubwa huku wenyeji wakisukumwa pembeni. Swali linalorudia kila mara ni hili: je ardhi ni...
  9. JamiiForums Tanzania Ukimpangisha Mpemba nyumba yako, mwisho wa siku anainunua?

    Katika wapangaji wazuri ni wapemba maana kwenye kodi wanalipa kwa wakati. Ila najiulizaga na nimeona sana sehemu nyingi,Mpemba akipanga nyumba yako au fremu na kama kaipenda. Anakufikia dau mwisho unashangaa unaiuza. Na kama kapanga kwako mpaka uje mkutoa basi mpaka ufanye visanga sana.
  10. JamiiForums Tanzania Sauti Yako, Skrini Yako..!Je, Maandishi Ndio Mwisho wa Mawasiliano?

    Ulimwengu wa voice notes unatawala mawasiliano ya kila siku kwa sababu unampa mtumiaji uwezo wa kufikisha hisia na lafudhi halisi ya maneno, jambo ambalo ni gumu kupatikana kwenye herufi baridi za maandishi. Kurekodi sauti kunapunguza migogoro ya kuelewana vibaya na kurahisisha utumaji wa...
  11. JamiiForums Tanzania Nauza kiatu, njoo na ofa yako

  12. JamiiForums Tanzania OFA: Nitakutengenezea Website ya biashara au Kampuni kwa 200,000 tu!

    Ndio sijakosea kwa Tsh.200,000 Tu utajipatia website ya kisasa ya biashara au kampuni yako. Ikijumuisha usajili wa jina la website Hosting ya mwaka mzima Utapata emails rasmi za website yako. Ndani ya siku 3 tu tayari utakuwa umeshapokea kazi yako. Mfano ya kazi ambazo nimeshatengeneza na...
  13. JamiiForums Tanzania Heshima ni bora kuliko zawadi. Mtu anaweza kukununulia kila kitu, lakini akikudhalilisha hadharani, amekupokonya thamani yako.

    Heshima ni zawadi kubwa kuliko vitu vyote vya thamani. Mtu anaweza kukununulia kila unachotamani, lakini akakudhalilisha mbele za watu, amepunguza thamani ya zawadi zake. Zawadi huisha, lakini heshima ndiyo msingi wa upendo wa kweli.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Mtu yako katika Uhaminifu

    Leo nilipata nilipata nafasi ya kutafakari habari kutoka Njombe kutoka katika mitandao ya kijamii Mkuu wa Mkoa wa Njombe katika ujumbe ambao alikuwa anatoa alilielezea kisa cha kijana mmoja ambaye alipewa kazi ya kukusanya maparachichi kutoka kqa wakulima na mfanyabiashara wakiasia...
  15. JamiiForums Tanzania Muundo Bora wa Muungano ni Upi: Serikali Moja, Mbili, Tatu au Shirikisho? Lete Hoja Yako, Tuichambue Pamoja, Kisha Piga Kura

    Miongoni mwa maswali magumu zaidi katika mchakato wa Katiba Mpya ni muundo wa Muungano. Badala ya kubishana, hebu kila mmoja alete hoja yake kwa nini anaona muundo fulani ni bora, tuchambue faida na hasara kwa pamoja, kisha tupige kura kwa uzito wa hoja, si kwa hisia. Nianze mimi kwa kuweka...
  16. JamiiForums Tanzania Kujilinganisha: Mwizi wa Furaha Yako!

    Moja ya mambo yanayoua furaha, amani ya akili, na uwezo wa watu wengi leo si vita wala umaskini pekee bali ni tabia ya kujilinganisha na wengine. Unapoanza kupima thamani ya maisha yako, hatua zako, au mafanikio yako kwa kutumia rula ya mtu mwingine, unajiingiza kwenye mtego unaoua uwezo wako...
  17. JamiiForums Tanzania Katambi: Tusitetee vitu ambavyo hatuvijui hasa kwenye mashauri ambayo yako mahakamani

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi akitoa ufafanuzi Julai 29, 2026 Visiwani Zanzibar baada ya kuwepo kwa malalamiko ya kukamatwa kwa watuhumiwa 130 wa makosa mbalimbali nchini. “Hakuna mtu ambaye anaweza kulengwa wala hakuna kusudio lolote linalokusudia kumlenga mtu au taasisi...
  18. JamiiForums Tanzania Endelea tu kuwaambia ndugu na rafiki zako mipango yako ya maisha. Utakapozeeka maskini ndipo utawafunza watoto wako kutunza siri

    Ndugu na rafiki zako wanachopaswa ni kuona tu au kuambiwa tu Juzi nimeshahamia nyumbani kwangu. Niko Marekani wiki ya pili sasa Karibu kwenye mahafali yangu next week napata masters. Namshukuru Mungu ile nafasi ilikuwa ngumu lakini nimeipata . Ndugu waone tu umepark gari nyumbani kwako au...
  19. JamiiForums Tanzania Sex unaipa asilimia ngapi kwenye mahusiano yako?

    najua ni katikati ya siku ya kazi ila naomba unijibu hili swali binafsi naipa 60% hiyo ingine ndo vitu vingine kutoka kwa partner sababu:vitu vingine unaweza pata popote ila sex kama mjuavyo ni kwa mtu wako so kama siipati kwa asilimia 60 naona si haki na sitafurahishwa na hayo mapendo...
  20. JamiiForums Tanzania Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe

    Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe;- Unaweza ukabisha lakini huo ndio ukweli, Nakwa kuthibitishia hilo admin wa group hili la Maajabu Ya Dunia , Nimefanya utafiti wa kutosha na kugundua haya yafuatayo, Utafiti huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…