Ulitambuaje Kusudi La Maisha Yako?

Ulitambuaje Kusudi La Maisha Yako?

Joined
Jul 8, 2024
Posts
22
Reaction score
42
Naamini kwa utulivu kabisa unapumzika weekend hii,

Kuna swali hapa "ulitambuaje kusudi la maisha yako?"

Anyway kwangu bado sielewi sio kwamba nimekata tamaa ila ni kama nahis kuchangangikiwa,

Ila sio hatua ya kuanza kuokota makopo 🤣,

Sasa hivi huwa nafanya kazi na kupata angaalau mshahara wa kuendesha maisha kibabe,

Lakini ndani sijaridhika kabisa yan, naona ni kama kuna jambo bora zaidi ninaweza kufanya na kutimiza malengo makubwa maishani mwangu,

Sio mara moja nimekuwa napongezwa kwamba nina Kiingereza kizuri (Ila sijakuzidi wewe 🤭), nipo vizuri kwenye "Masoko" (Marketing), nina ujasiri kuongea mbele za watu,

Hizo sifa zoote naona zipo lakini "Naanzia wapi?"

Na zaidi nimekuja kufahamu hivi karibuni "Sifa nzuri" hazina maana yoyote kama hazimsaidii mtu mwingine kuondoa maumivu yake.

Saiv nimefikiria nijaribu tu karibu kila kitu ambacho naona kinaweza nisaidia na kisha matokeo yataamuaga.

Vip kwako unashughulikiaje swala kama hili?
 
Kwa msaada wa Roho Mtakatifu ninatenda makuu
 
Maisha hayana formula,

Mtu mmoja anaweza kufuata njia fulani na akafanikiwa,wakati mtu mwingine anaweza akafuata njia hiyo hiyo na asipate matokeo yale yale,

Maisha hayana short cut ila bado yanahitaji,uvumilivu,nidhamu,uaminifu,kupambana,kua na mipango na malengo, na sio kukaa na kusubiri miujiza,

All the Best.
 
Kwamba kusudi la maisha?hapana mimi sijawahi hata kuwaza kama kuna kitu kama hicho lau kama kipo basi ni kukaza tu kutafuta hela watoto wale wasome walale pazuri wazazi kama wapo wafurahie uwepo wako in short jamii yote ikuone mtu ktk watu.
 
ā€Ž
ā€ŽTumeumbwa kwa kusudi maalumu: Maisha yetu si ya bahati mbaya. Allah alituumba ili tumuabudu Yeye.
ā€Ž
ā€ŽIbada si Swala pekee: Inajumuisha kila tendo jema na halali linalofanywa kwa nia ya kumridhisha Allah, kama kufanya kazi kwa uaminifu, kuwasaidia wengine na kuwahudumia wazazi.
ā€Ž
ā€ŽIbada ni mfumo mzima wa maisha: Kila jambo jema katika maisha yetu linaweza kuwa ibada ikiwa linafanywa kwa nia njema na kwa kufuata maelekezo ya Allah.
ā€Ž
ā€Ž###
ā€ŽHatujaumbwa kwa ajili ya kuishi tu, kufanya kazi, kutafuta mali, kujenga nyumba, kuanzisha familia na hatimaye kufa. Tumeumbwa kumjua Allah, kumuabudu, kumtii na kutafuta radhi Zake.
ā€Ž
ā€ŽŁˆŁŽŁ…ŁŽŲ§ Ų®ŁŽŁ„ŁŽŁ‚Ł’ŲŖŁ Ų§Ł„Ł’Ų¬ŁŁ†ŁŽŁ‘ ŁˆŁŽŲ§Ł„Ł’Ų„ŁŁ†Ų³ŁŽ Ų„ŁŁ„ŁŽŁ‘Ų§ Ł„ŁŁŠŁŽŲ¹Ł’ŲØŁŲÆŁŁˆŁ†Ł
ā€Ž"I did not create jinn and human beings except to worship Me."
ā€ŽSurah Adh-Dhāriyāt (51:56)
 
Kwamba kusudi la maisha?hapana mimi sijawahi hata kuwaza kama kuna kitu kama hicho lau kama kipo basi ni kukaza tu kutafuta hela watoto wale wasome walale pazuri wazazi kama wapo wafurahie uwepo wako in short jamii yote ikuone mtu ktk watu.
Hapo ndio kazi kubwa kuweza kufanikisha hilo sio kazi rahisi hasa kweli hali ya uchumi wa sasa.
 
Kwamba kusudi la maisha?hapana mimi sijawahi hata kuwaza kama kuna kitu kama hicho lau kama kipo basi ni kukaza tu kutafuta hela watoto wale wasome walale pazuri wazazi kama wapo wafurahie uwepo wako in short jamii yote ikuone mtu ktk watu.
Dah! Japo wana
Wachache sana wengine mpaka umri huu bado bila bila
Pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom