yako

Yakō Station (矢向駅, Yakō-eki) is a passenger railway station located in Tsurumi-ku, Yokohama, Kanagawa Prefecture, Japan, operated by the East Japan Railway Company (JR East).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msigwa iambie Serikali yako na Vikundi vyake (Polisi na Mamuluki wao) tarehe 9 Dec ni Maandamano ya Uhakika, Wasithubutu hata Kuua Sisimizi!.

    Kwa Taarifa yenu, Tuliouliwa Ndugu zetu tumeshajipanga kuandamana. Mtangaze Curfew ya mapema, haitozuia lolote. Muanze kupiga Risasi mapema, haitazuia lolote . Maandamano yapo, No way Bwana Msigwa , rukaruka tu na Porojo zako ila MAANDAMANO MAKUBWA YA AMANI YAKO PALEPALE. SASA , Onyo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania The Battle of AI : Kwa uzoefu na matumizi yako, ni AI ipi umetokea kuikubali zaidi ?

    Katika matumizi yako ya teknolojia ya Artificial Interlligence (AI) ni ipi umetokea kuikubali zaidi CHAT GPT (Open AI) GROK DEEP SEEK CO PILOT GERMINI (GOOGLE) n.k.
  3. JamiiForums Tanzania Ulipo wapo, Serikali ipo na mkono mrefu - Ukitaka siri fanya pekee yako (Kwenye Bar, Makanisani, Misikitini, Kokote wapo) Mange mkwanja tu anatoa siri

    Ukishaitambua Serikali ni nini hakika hutaweza kuanza kuleta mawazo mgando. Kona zote za nchi Serikali inafanya kazi, Sasa hivi serikali inaundwa kila kitu kitakuwa mahali pake. Vijana wa Gen Z watashangaa kuona babu zao wanawasaliti. Wataingizwa kwenye mkenge. Wazee wamekaa kwenye migawahawa...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Onyesha sumu yako mapema watu wakujue wewe ni nani

    Ni msemo niliuona mahali kwamba onyesha sumu yako mapema nyoka asingekuwa na sumu watu tungemgeuza kamba! Kilicho tokea wakati wa kutangazwa mawaziri na manaibu wao alionyesha sumu yake mapema kabisa ili tujue yeye ni nani na kwamba si muoga wa maneno ya watu matamko na mijadala yao...
  5. JamiiForums Tanzania Apple wamezindua socks kwaajili ya iPhone yako kwa Tsh 560,000/= tu!

    Yap! Hujakosea kusoma. Socks kwa Laki 5 na Elfu 60 tu ($230), hapo ni US bado usafiri, kodi na faida ya muuzaji. Apple wamezidua phone pocket aka iPhone socks kwaajili ya kubebea iPhone yako yoyote kuanzia mpya 17 series kurudi nyuma. Kwa kushirikiana na designer wa Japan, Issey Miyake...
  6. JamiiForums Tanzania Kama ndugu yako ni askari mwambia tarehe #D9 asiingie mitaani kujaribu kuzuia watanzania wenye hasira kali yasije yaka mkuta

    Kama ndugu yako ni askari mwambia tarehe #D9 asiingie mitaani kujaribu kuzuia watanzania wenye hasira kali yasije yaka mkuta. Waliopo kwenye vituo vya polisi vilivyopo mitaani wachunge sana. watanzania hawatokubali damu iliyomwagika iende bure.
  7. JamiiForums Tanzania Fanikisha biashara yako kwa online Marketing

    Kama unataka kuvutia wateja wapya na kuongeza engagement ya biashara yako, basi wewe ni mtu niliyemtafuta. Mimi ni mtaalamu wa online marketing, nikiendesha campaigns zenye data-driven strategies, SEO/SEM, na social media optimization. Kwa kutumia vifaa vyenye weledi kama laptop ya kisasa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, sijasikia kauli yako kuhusu mauaji ya watanganyika, wanachama "wako". Umeyafurahia mauaji haya? Hapana!

    Pamoja na yoooote yaliyotokea mpaka sasa ndani ya Chadema na may be kukuweka/kukukatisha tamaa, nilitegemea ulaani kwa nguvu ya Mungu wetu wa Mbinguni mauaji ya watanganyika wenzako. Umenyamaza kimyaaaaa. Si sawa. Jitafakari sana. Mchango wako ni mkubwa kisiasa kwa taifa hili. Usiharibu historia...
  9. JamiiForums Tanzania Ndugu yako anafiwa Mtoto Oct 29, Unatoa pole Novemba 14?

    Ndugu yako wa karibu anapata msiba Oct 29 kafiwa Mtoto. Unamuona siku zote na unapita karibu na kwake. Nov. 3 unafanya sherehe kwako na unamsimanga kwamba kazidi kufiwa. Ghafla Nov. 14 baada ya kusemwa na majirani Unatoa pole!! Huu ni unafiki Grade 1.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ulisema uchaguzi umekwisha, basi ondoa mapicha yako mitaani, pleaseee!

    Kama uchaguzi umekwisha ondoa hii mipicha mitaani, please! Watu walizichoma walizoweza, hawataki kuziona Si kila kitu lazima ushindane na matakwa ya wananchi
  11. JamiiForums Tanzania Je, laptop yako imepasuka kioo au housing?

    Tunauza na kubadilisha vioo vya Laptop na Housing zake. Ilala - Dsm 0718290779
  12. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Una imani na Jeshi la Polisi la Tanzania?

    Wote tunajua jukumu na wajibu wa jeshi la polisi. Lakini kwa hivi karibuni kumekuwa na migogoro sana baina ya wananchi wa kawaida na majeshi ya ulinzi na usalama; hasa jeshi la police. Kila mtu akiwa na maoni yake juu yao. Je wewe una maoni gani?
  13. JamiiForums Tanzania Mkoa upi ulikinukisha kisawa sawa, tupe top 5 yako

    1. SONGWE Oyaa wanangu wa SONGWE nawapa nambari wani, huko Tunduma kilinuka mno, Ilikuwa usiku wa kuamkia uchafuzi 28 Oktoba nyie mlitutoa usingizini 2. ARUSHA Macharii wa chuga mlitisha, Oyaaa sio kinyonge Mlipinga Kwa vitendo kwamba hamtaki Bashite na Chama cha mavii Kudos chuga boys 3...
  14. JamiiForums Tanzania Umelaaniwa Kwa Kuuza nafsi za ndugu yako

    Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbunge ulichaguliwa kimagumashi ukienda bungeni hamia kabisa mle ndani na familia yako

    Misiseme sikuwambia Kuna taarifa nimepata kiukweli watu wameumizwa enyi wabunge magumashi msije kuwalaumu watu Kwa majutoo
  16. JamiiForums Tanzania Iddi Amin Mama, Kubali Yaishe. Maslahi Ya Nchi Ni Makubwa Kuliko Maslahi Yako Binafsi!

    Iddi Amin Mama, inawezekana you’re in deep denial, lakini ukweli ni kwamba hakuna tena uwezekano wa wewe kuendelea kuongoza hii nchi bila kuzidi kuharibu umoja wake wa kitaifa! Ukubali au usikubali, huna washauri wazuri. Washauri ulionao ni wale wanaokuambia kile wanachodhani unataka kusikia...
  17. JamiiForums Tanzania CDF - General Nkunda, Hii ni Yako - Utake usitake!

    CDF Nkunda, , isikilize toka kwa colonel Augustino Polepole- Senior Officer, sio ndefu na ina ujumbe mulua kabisa, mjumbe hauwai, isikilize mwenyewe : https://youtu.be/mRY7ojCKQbw?si=cTLj6bkVC6RqXmIP
  18. JamiiForums Tanzania Heri ya siku ya kuzaliwa Mwamba JPM Tupo hapa kusherehekea siku yako ya kuzaliwa

  19. JamiiForums Tanzania Hongera sana Mange, Mission yako imefanikiwa. Pokea maua yako

    watu wanaweza kumbeza mange kimambi vile watakavyo, lakini kiukweli kampeni yake ya maandamano imefanikiwa kwa asilimia kubwa sana. Kwanza amefanikiwa kutengeneza awareness kwa watoto wetu hawa waliozaliwa miaka hii ya teknolojia ya dijitali. niseme tu ukweli, kizazi cha mwisho kwa ccm...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mtag rafiki yako alikuwa anaandika "AKUMBUKWE"kwenye Kuta za Shule

    Kuna Mwanangu alikuwa anaitwa maro, alikuwa baada ya kuangusha divi chooni🤣 anachukua kijiti anaandika ukuta ndani ya choo na nje, machata unakuta mengi mengi ya Wana wa shule, Ukiiingia toilet 🚽 mara mzigo huo uko pembeni ya shimo harafu mzito unasema huyu ni mtoto au mtu mzima noma sana🤣😂
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…