yajue

Zhang Yajue (born 2000) is a Chinese sprint canoeist.She won a medal at the 2019 ICF Canoe Sprint World Championships.

View More On Wikipedia.org
  1. PostGE2025 Yajue yatakayokuwa Matokeo ya Tume ya mchongo ya Uchunguzi wa Mauaji/Vurugu za 29 Oktoba, 2025

    1. Samia hakutoa amri kuamuru mauaji ya raia na wananchi- Hii itasemwa ili kujaribu kumsafisha Samia kwenye jumuiya ya Kimataifa na kujaribu kumuepusha na kikombe cha ICC. 2. Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama hawakutoa amri za kuamuru kuuwawa kwa Wananchi- Hili litasemwa ili kuwaepusha...
  2. M

    Yajue madola 5 yenye nguvu kama Marekani baadae yakaporomoka

    madola 5 ya kijeshi, yakiwa na maelezo ya mwaka yalipoanza kutawala kwa nguvu na mwaka yalipoporomoka: 1. Dola la Roma (Roman Empire) Mwanzo wa utawala wenye nguvu: 27 KK (chini ya Augustus Caesar) Kuporomoka: 476 BK (Dola la Roma ya Magharibi) Maelezo: Jeshi lake lilitawala Ulaya, Afrika...
  3. Yajue maneno maarufu yanayotumika kuhalalisha dhambi hasa ile ya uzinzi

    1. SLEEPOVER Hii inamaanisha mtu kwenda kulala kwa mpenzi wake. Ingekuwa ni kulala tu kusingekuwa na tatizo ila sleepover inajumuisha na ngono usiku kucha l. 2. ONE NIGHT STAND Hii ni ngono ya mara moja na kila mtu kuchujua hamsini zake. Wanaofanya hii mara nyingi ni malaya low profile. 3...
  4. Yajue haya kuhusu watanzania kabla hujawatetea na kuwapigania

    Sabato Njema! Najua Watanzania wengi hawapendi ukweli na hili likiwa mojawapo. Kabla hujawatetea Watanzania ni vizuri kuwajua vizuri kuwa ni watu wa aina gani. Kisaikolojia, kitamaduni, na kisosholojia; 1. Watanzania wengi ni wanafiki. Sio wakweli. Waongo waongo. Rahisi kukugeuka na...
  5. Yajue mapepo yanayosababisha ndoa kuvunjika

    Ndoa ni agano takatifu linalomuunganisha mwanaume na mwanamke mbele za Mungu. Hata hivyo, ndoa nyingi zimevunjika au zimejaa migogoro mikubwa isiyoelezeka, kiasi cha kuwafanya wengine wafikirie kukataa ndoa. Matatizo ya ndoa wakati mwingine chanzo chake ni cha kiroho. Biblia inatufundisha kuwa...
  6. Yajue Malengo ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...IBARA YA 9. Anayetaka kuyanadilisha ni muhaini tu

    Kabla ya kukimbilia mitandaoni na kusema mithili ya kasuku inapaswa uisome katiba vizuri usije ukapotoshwa na waropokaji. Malengo yaliyowekwa kwenye katiba yetu bora na kongwe yapo wazi na yamegusa maeneo yote muhimu. Anayetaka kutudanganya eti katiba yetu ni mbovu basi huyu ni muhaini tu...
  7. Siri imefichuka! Yajue Magonjwa Yanayosababishwa na Kutenda Dhambi

    Nyakati hizi, kuna watu wengi wanaobubujikwa na machozi ya huzuni kwa sababu ya magonjwa yanayowasumbua. Katika kutafuta chanzo cha magonjwa, watu wengi huelekeza macho yao kwenye vyanzo kama vile bakteria, virusi, mazingira machafu, lishe duni, magonjwa ya kurithi, msongo wa mawazo nk. Sawa...
  8. Unyakuo ni nini? Je, watakaoachwa duniani baada ya unyakuo, watapatwa na nini?

    Unyakuo ni tafsiri ya Kiswahili ya neno la Kiingereza "rapture." Unyakuo ni tukio litakalotokea siku Yesu atakapokuja kuwachukua watakatifu, yaani watu waliookoka, na kuwapeleka mbinguni. Ni tukio litakalofanyika ghafla(kufumba na kufumbua)! Maana itatolewa amri, sauti ya malaika mkuu, sauti ya...
  9. Yajue mambo mazito yatakayotokea wakati Yesu atakapokuja

    Heshima zenu wakuu. Leo nawaletea mpangilio(timeline) au mtiririko wa mambo mazito sana yatakayotokea Yesu atakapokuja. Maandalizi yanayofanyika nchini Israeli, ya kujenga hekalu la tatu, ni ushahidi wa wazi kuwa Yesu amekaribia kuja...
  10. Yajue maajabu 20 ya maisha ya "walokole"

    Hapa duniani kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana. Watu hao ni wale wanaokiri kwamba wametubu dhambi zao, wanaamini kuwa Yesu ni Bwana, na wanaishi maisha matakatifu. Wanaowabeza na kuwadharau watu hao huwaita “walokole.” Haya ndiyo maajabu 20 ya maisha ya “walokole:” Hawalogeki. Wachawi...
  11. Yajue Maslahi ya MAJAJI Tanzania

    Ukiwa jaji umeula hadi kifo. Yafuatayo NI maslahi ya Majaji wa Mahakama Kuu na Rufaa nchini. 1. Kulipiwa nyumba Grade A, 2. Usafiri (4WD/dereva/mlinzi), 3. Kusafiri daraja la biashara/Kwanza kwenye ndege, 4. Posho ya mavazi. NB: pamoja na yote haya bado wapo wanachukuav rushwa...
  12. H

    Yajue Magari ya Hybrid

    Magari ya Hybrid: Uzi huu ni maalum kwa Wasiojua Magari ya hybrid wapate kuyafahamu Katika ulimwengu wa magari, teknolojia ya hybrid imekuwa moja ya mabadiliko makubwa ya karne ya 21. Lakini hybrid ni nini hasa? Hebu tuchambue kwa urahisi, hatua kwa hatua, ili kila mtu aweze kuelewa. Hybrid ni...
  13. Yajue baadhi ya mambo ya Upagani yaliyoingizwa na kufuatawa katika Ukristo.

    Bila kupoteza muda... Hapa kuna baadhi ya mafundisho ya kipagani ambayo yamekuwa yakihusishwa na Ukristo kutokana na mchanganyiko wa tamaduni za kipagani na imani za Kikristo kupitia historia. Mafundisho haya mara nyingi yamechukuliwa kutoka katika dini za kipagani na kuingizwa katika taratibu...
  14. Yajue Maisha yalivyo jela

    Habari gani wakuu Maisha changa Moto na Katika kuzitatua nikajikuta nimevuka mstari mwekundu na kujikuta nipo police station Baada ya kushindana na wale bwana wazee wa nguo za kaki kwenye maswala ya pasu wakaapa kuni fanyia siyo Nakumbuka mmoja wao akasema Sasa kwasababu wewe ni mtata...
  15. Yajue mambo 14 ya busara

    Mhadhara - 44: Mnamo Oktoba 1, 2024 niliwaletea MAMBO 13 YA BUSARA. Leo nawaongezea mambo mengine kumi na nne (14) ya busara ambayo yataongeza au yatalinda heshima, thamani na utu wako. Ikumbukwe kuwa watu pia ni mtaji wa kujipata kimaisha. MAMBO 14 YA BUSARA: 1. Acha tabia ya kucheuwa ovyo...
  16. Yajue matiti ya Mwanamke na hulka zao

    Zujuie chuchu za Mwanamke ! ✍️Dr. William - Maziwa ya mwanamke ni futa futa za nyama ambazo zina wingi wa mishipa ya damu. - Uhai wa maisha ya mwanamke upo kwenye maziwa yake, hivyo piga pengine ila sio kwenye maziwa yake. Maziwa ya mwanamke ndio husaidia mwanamke kukimbia zaidu, kama...
  17. Yajue matumizi ya "When" na "While" katika lugha ya kingereza

    JE TUNATUMIA “WHEN” AU “WHILE”? IPI TOFAUTI KATI YA “WHILE” NA “WHEN”? JIFUNZE HAPA. Katika post hii tunaenda kujifunza matumizi ya maneno “when” na “while” ambayo yanatumika kuelezea matukio mawili yaliyotokea kwa pamoja. Tutaangalia tofauti zake, kwa maana ni wakati upi utumie “when”, na...
  18. Yajue ya Tanga Mjini na maajabu yake

    1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani. 2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro! 3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree. 4- Ndio jiji lenye baiskeli za kukodi kama bodaboda na kiti chenye sponji. 5- Disco wanapiga taarabu. 6- Hakuna...
  19. Yajue mataifa yaliyokataza matumizi ya VPN duniani na sababu zao

    VPN(Virtual Private Network) huwa inaficha utambulisho wa vifaa vya mtandaO(IP address) na kuimarisha hata usalama wa mtumiaji kuingiliwa mawasiliano yako na mtu mwenye nia ovu. Serikali nyingi duniani hazijakataza matumizi ya VPN ikiwemo Ulaya na Marekani lakini zipo Serikali chache zimeweka...
  20. Maendeleo/ Furaha Yako Ni Zao La Unaotumia Nao Muda Mwingi. Yajue Haya Na Uchukue Hatua

    Haijalishi unajishawishi kichwani kiasi gani kwamba we ni wa tofauti. Haijalishi unajiona we ni wa tofauti na unaotumia nao muda mwingi. Lazima mwisho wa siku uwe kama wao, kama unavoendelea kuwa nao. Sababu binadamu tumeumbwa kufanana na watu wetu wa karibu. Ndo mana utasikia familia ile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…