ya mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Anguko la Rais Samia Suluhu Hassan lipo mikononi mwetu, tusimuangushe, tupambane kwa pamoja kukuza uchumi wetu kwa kuchapa kazi

    Habari za wakati huu enyi walimwengu wa Karne ya mwisho wa dunia, mliopo katika ardhi yenye baraka ya Tanzania, na hata msiokuwa Tanzania. Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Awali ya yote nipende kukushukuru wewe unayesoma makala hii kwa kutenga muda wako ili uweze...
  2. JamiiForums Tanzania Taifa Stars yabaniwa kufanya mazoezi ya mwisho taifa. Kocha Paulsen ang'aka

    Kocha Mkuu wa Taifa Stars Kim Poulsen akizungumza kuelekea mchezo wa kufuzu CHAN dhidi ya Somalia utakaochezwa kesho Jumamosi Julai 23 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Polsen ameshangazwa na kitendo cha timu ya Taifa ambayo inajiandaa na mechi ya CHAN kunyimwa uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili...
  3. JamiiForums Tanzania Pitio la kitabu cha Khamis Abdulla Ameir sehemu ya tatu na ya mwisho

    PITIO LA KITABU CHA KHAMIS ABDULLA AMEIR: ‘’MAISHA YANGU MIAKA MINANE NDANI YA BARAZA LA MAPINDUZI KHAINI AU MHANGA WA MAPINDUZI?’’ SEHEMU YA TATU NA YA MWISHO Kila msomaji atachokisoma katika kitabu hiki kinatoka kwa mtu wa kuaminika ingawa wakati mwingine unaweza kuona tofauti ya taarifa...
  4. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Mara ya mwisho mitihani kuvuja ni mwaka 2008

    Naibu waziri wa elimu akiwa bungeni, amesema suala la kuvuja mitihani halipo na mara ya mwisho mitihani kuvuja ni mwaka 2008 na ulikuwa mtihani mmoja wa somo la hisabati wa kidato cha nne. Naibu waziri amesema kutoka mwaka 2008 hakujawahi kutokea kuvuja mitihani bali kinachotokea ni udanganyifu...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz yumo kwenye ziara ya Rais Marekani, nawapa taarifa tu wale mliomwona kwa mara ya mwisho ziara ya Mwendazake Morogoro.

    Nimekutana na heading kwenye gazeti la The Citizen akiitaka AfDB kuisaidia Tanzania kwenye sekta ya kilimo hususani kilimo cha umwagiliaji. Mwamba huyu yupo.Ni hayo tu.
  6. JamiiForums Tanzania Je, dakika yake ya mwisho duniani alisemaje? Ilikuwaje?

    Uzi huu tusaidiane kutambua last moments za wapendwa wetu huwa zinakuwaje au watu tunaowafahamu. Hususan pale anapokata roho. Nitaelezea kiss kimoja nilichoshuhudia. Nilikuwa namuuguza ndugu yangu hospitali moja ya mkoa enzi hizo tunalala na wagonjwa mahospitalini. Kitanda opposite na mimi...
  7. JamiiForums Tanzania NATO ndio dola ya mwisho, hakuna nyingine itakayoinuka

    Ukisoma kitabu cha Danieli utaona ufunuo wa lile sanamu ambalo nilikua ndio mfano wa Muundo wa Dola ambazo zitaitawala dunia,ulianza utawala wa nebukadreza ambao ulikua na nguvu na imara kama dhahabu, Ukavunjika. Wakaja warumi walikua imara kama chuma nao wakaanguka. Sasa hivi umekuja NATO...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine awaambia NATO: 'Hii yaweza kuwa mara yenu ya mwisho kuniona nikiwa hai!'

    Rais wa Ukraine Zelensky amewaonya marais na viongozi wa Ulaya katika video call (conference call) kuwa huwenda wasimuone hai tena milele kufuatia jeshi la Urusi linavyozidi kujikusanya na ktk viunga vya mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, alimo rais huyo. Ambapo yeye ni taget namba 1. Ktk conference...
  9. JamiiForums Tanzania Nchi masikini ya mwisho Duniani wants to save the World!

    Maajabu, Tanzania ni moja kati ya nchi masikini zaidi Duniani, inaishi kwa handouts, raisi wake anafunga safari kusafiri Mabara kutafuta mkopo wa dola milioni 100 USD, hapo hapo inafanya kila inalowezekana kuokoa Dunia isiangamie na climate change, hii ni nchi ambayo mchango wake kwenye CO2...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Suala la uraia pacha alilosema Malamula litapatiwa ufumbuzi kamba ya mwisho mwa 2021 ni lipi hasa, au tulidanganywa kama siku zote?

    Nina tatizo la waandishi wa habari wa Tanzania - huwa hawajui kufuatilia mambo, na mara nyingi wanaishi kwa ajii ya siku iliyopo tu. Kuna wakati kurugenzi ya Habari ilitangaza kwamba Chancellor wa Germany Angela Melkel kaongea na Magufuli kujenga kiwanda cha mbolea mwaka 2022. Hakuna...
  11. JamiiForums Tanzania Dodoma yaporomoka kimapato, yawa ya mwisho

    Halmashauri ya jiji la Dodoma mwaka Jana robo kama hii ilikuwa ya kwanza Kwa ukusanyaji Kati ya majiji yote, mwaka huu yawa ya mwisho. Na kimkoa yawa ya pili toka chini, kulikoni? Nini kimeshusha mapato kiasi hicho? Je wawekezaji wameondoka? Hata viwanja bei imeshuka kulikoni? Msigwa Kesho...
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

    Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na alinukuliwa na kituo cha E-FM akisema alikuwa ICU akipambana na maradhi hayo. Marehemu Hanspope...
  13. JamiiForums Tanzania Simba chali, yaburuza mkia

    SIMBA NI WA MWISHO, WAMEBURUZA MKIA Ni kweli kuwa Simba wameburuza mkia katika mchuoano wa timu kubwa katika ligi kuu Tanzania Bara. Licha ya Mchuano wa ligi kuu kwa ujumla lakni kulikuwa na mchuano pia kati ya timu kubwa zilizoshika nafasi ya kwanza hadi ya TATU. Kama timu moja ingeshinda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…