wowote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: CHADEMA ikiondoka kwenye misingi iliyonifanya nijiunge nacho, nitaondoka. CHADEMA siyo mama yangu wala dini yangu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA- Bara, Tundu Lissu amsema iwacha CHADEMA itaacha misingi yake ailiyomfanya ajiunge na chama hicho basi ataondoka katika chama hicho na sio dhambi kufanya kuvyo kwani Chama cha Siasa sio mama yake wa dini yake Akizungumza kupitia Mtandao wa Clubhouse amesema "Mwalimu...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Ex wangu 1 tu kati ya wanne walioolewa tulioachana bila ugomvi ndie mwenye msimamo, wengine penzi linaweza kuamshwa muda wowote

    nina ma ex wanne ambao tuliachana vizuri bila ugomvi kwa sababu za masomo, kazi na majukumu mengine, katika hawa ni mmoja tu ambae kashikilia msimamo wake sijaona akiwa na shauku ya kupasha kiporo, wengine watatu tunaweza tusichat hata miezi lakini muda tukionana ama tukichat ni kama season 2...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho nimetoka mloganzila Sina ugonjwa wowote

    Wakuu nawapa mrejesho wa shida zangu baada Jana usiku kichwa kuuma sana katikati ya utosi...nkaenda pima dispensary nkaambiwa nna UTI25 na hypoid Leo nkaamkia mloganzila kwenye clinic yangu ya siku zote ya ugonjwa nao umwa wa tezi ..baadae nkaenda muona physician akaniandikia...
  4. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Niulize kuhusu mgogoro wa vita wowote duniani nitakujibu papo papo!

    Napenda kufuatilia sana migogoro na vita zinazoendelea duniani. Mambo ya geopolitics. Nipo hapa kukujibu maswali yako yote kuhusu migogoro mbalimbali duniani. swalii lolote
  5. M

    JamiiForums Tanzania HATA UTOE VIPI SIKU MOJA TU UKIKOSA WATAKUONA HUNA MCHANGO WOWOTE KWAO.

    MAMABO YA KUZINGATIA KABLA HUJASAIDIA WENGINE. 1.Usitoe ukabaki huna chochote 2.Usigope kuachwa kwa sababu huna bali sema HUNA kama kweli huna. 3.Usitoe kwa lengo na wao wakupe kesho. 4.Usitake kujua wanakusemaje baada ya kuwasaidia. HATA UTOE VIPI SIKU MOJA TU UKIKOSA WATAKUONA HUNA MCHANGO...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Donald Trump kuamtangaza rasmi mgombea mwenza wake muda wowote kuanzia sasa, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Novemba 2024

    UDATES Trump taps J.D VANCE Ohio’s junior senator as his running mate Former U.S. President Donald Trump on Monday selected J.D. Vance, a senator from the Midwestern state of Ohio, as his running mate in November’s presidential election. Trump made the announcement on his Truth Social media...
  7. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Kama umezaliwa bila ulemavu wowote usiache kumshukuru Mungu hata mara moja kwa siku

    Signed out forever
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano wowote wa masikio kuwasha na ushirikina

    4
  9. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri yanakuja muda wowote baada ya mkutano huu wa 12 wa Bunge hili kutamatika wiki hii

    MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI YATAJWA MABADILIKO makubwa ya Baraza la Mawaziri yanatabiriwa kufanywa na Rais Samia Suluhu Hassan wakati wowote baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 12 wa Bunge unaofikia ukingoni mwishoni mwa wiki hii. Mabadiliko hayo yanatabiriwa kuwagusa mawaziri ambao kasi ya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jaji mstaafu, kanieleza Ufisadi awamu hii unatisha kuliko wakati wowote toka tupate Uhuru,

    Leo hii Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani, Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja, Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha, Akasema hivi unakumbuka ziara za...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lema kutimkia CCM

    Kupokelewa muda wowote tangu sasa, maandalizi yote muhimu yamekamilika. Maombi yake ya kujiunga CCM yalipokelewa muda mrefu sana tu, ni taratibu za kichama tu ndio zilikuwa zikisubiriwa zikamilike na apokelewe rasmi. Ataambatana na viongozi waandamizi wenzie kadhaa kutoka kanda ya kaskazini na...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Israel kutangaza vita na Hezbollah muda wowote kuanzia sasa

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Mungu ibariki Israel Shmona, June 4, 2024. (Ayal Margolin/Flash90) IDF Chief of Staff Lt. Gen. Herzi Halevi said Tuesday that Israel is close to making a decision regarding Hezbollah’s daily attacks on northern Israel amid the Gaza war. “We...
  13. Mcheza Piano

    JamiiForums Tanzania Halii, haguni wala kutoa mlio wowote

    Kama nimekosea jukwaa samahanini sana, jioni ya leo nimekutana na mhalifu wangu aliyenitia hasara za hapa na pale. Sasa kwenye kumwadhibu akawa ananichora tu, amerelax, halii, hacheki, haguni wala kutoa ishara yoyote kuashiria kipigo kinamwingia. Hali hii imenikatisha tamaa.
  14. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kuna Umuhimu wowote wa sasa kuwa na Taasisi ya TAKUKURU ?

    Taasisi hii ilianzishwa kwa lengo la kupambana na rushwa, na pia taasisi hii haikuanzishwa kwa lengo la kukamata wala Rushwa wadogo Pekee bali walaji wa aina zote wa rushwa. Mara nyingi sana tumekuwa tukisikia viongozi wakiwaamrisha maafisa wa Takukuru "kamata yule weka ndani" lakini wengi...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyau kulihutubia Bunge la Marekani muda wowote

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa rasmi kutoka Congress Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau atahutumia bunge la Marekani Congress hivi karibuni. Mungu ibariki Israel
  16. Alejandroz

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano wowote kati ya mfumo wa gesi na gear box ya lorry?

    Salaam wanafamilia, Naonaga mara nyingi dereva akibadili gear kwenye lorry kuna mlio wa gesi kuwa released kama sauti inayotoka akiapply brakes,, naomba kufahamu kama kuna uhusiano wowote wa gear na mfumo wa gesi kwenye trucks,, 🙏🏽
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kwa familia za kiislam mke wa kwanza na watoto huishi kwa hofu ya baba kuongeza mke, mda wowote mzee anaweza hamisha kambi mazima

    Na mara nyingi baba akiongeza mke ndio anahamishia kambi mazima huko. mke wa pili na watoto wake ndio wanapewa kipaumbele, wale wa mke wakwanza hupewa kisogo, baba anaona ni kama alikosea kuoa mwanzoni hivyo hilo kosa linawadhuru na watoto. Kuna kisa humu mwana jf aliweka uzi baba yake ni ana...
  18. CCM MKAMBARANI

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tundu Lissu kufutwa uanachama muda wowote

    Wanajukwaa habari zenu? Sasa inaenda kuwa rasmi, nguli wa sheria na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anafutwa uanachama. Wana-CHADEMA kindakindaki wamepania kukipasua chama kabisa ili Freeman Mbowe ashike adabu yake. Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho, Bowel anaendelea...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wowote watu wa Bara hawatawapigia kura waliotokea Zanzibar

    UCHAGUZI WOWOTE watu wa Bara hawatawapigia kura waliotokea Zanzibar Watu wa Zanzibar wamekuwa sehemu ya kuharibu rasilimali za Bara (Tanganyika) ubaguzi Kuingilia mambo yasiyo ya Muungano kujipa nafasi mbalimbali , kuuza bandari kufukuza Wamasai, kutumia viongozi wa Zanzibar katika nafasi zao...
  20. Lancashire

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mpaka sasa hujaanzisha mradi wowote wa kimkakati. Je, tuendelee kusubiri?

    Nawatakia heri wafanyakazi wote. Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni...
Back
Top Bottom