wote

  1. JamiiForums Tanzania Kwenye kiitikio, ni msanii gani bora wa kiume na wa kike kwa muda wote kuwahi kutokea Bongo Flava?

    Kwangu mimi MFALME - Q chief Nikilala naota - jide Namtafuta aseme Kama unataka demu - Solo thang kazi ipo - wanaume Sintobadilika - Mie tee Malkia - Ray C Uko wapi Soge sogea Na wewe Milele Unanimaliza Umenikataa Nipe love - AY Ingewezekana - D knob
  2. JamiiForums Tanzania TRA kukusanya Kodi kwa Machinga wote Kariakoo

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuwasajili wafanyabiashara wadogo ‘wamachinga’ waliopo katika Soko Kuu la Biashara Kariakoo Akizungumza na wanahabari leo Jumatatu Desemba 12, 2022 Meneja wa Mkoa wa Kikodi, Alex Katundu amesema tayari machinga 5273 wameshasajiliwa ili kuingizwa kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Duniani kote usafiri wa reli ndiyo rahisi kuliko wote. SGR tulitegemea kuwa kiama cha usafiri wa mabasi na malori, imeshindikana

    Duniani kote usafiri wa reli ndiyo usafiri wa bei rahisi sana kuliko usafiri mwingine wowote. Malengo makuu ya kuboresha usafiri huu kwa kiwango cha SGR yalikuwa: ~Trip moja ya treni ya mizigo ingaliweza kusafirisha mzigo wa sawa na semi-trailers za malori 500 kwa mara moja, kwa spidi ya 120...
  4. JamiiForums Tanzania 'Siku ya Huduma ya Afya kwa Wote 2022'. Je, unapata Huduma za Afya zenye Ubora?

    Kila Desemba 12 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Huduma ya Afya kwa Wote ambayo inalenga kutoa wito kwa Viongozi kufanya Uwekezaji wenye Tija na kuharakisha juhudi za kuelekea katika mpango wa 'Afya kwa Wote' Katika kujenga 'Dunia Tunayoitaka', kila Mtu kila Mahali anaweza kupata Huduma...
  5. JamiiForums Tanzania Kauli ya Mzee Makamba ni kitisho kwa Rais na wengine wote ambao hawatakuwa wema "Kwao"

    Hutokufa (nani alisema Rais atakufa? Je alishatishiwa na sasa anahakikishiwa kuwa asiwe na shaka hatokufa?) Mtu mbaya kwa akina nani ndiye ambaye ataishi? Mtu mwema kwa akina nani ndiye wanachagua aishi? Kauli hii si ndogo ni kauli ambayo anafikisha ujumbe kwa watu flani. Kuwa kuna watu au...
  6. JamiiForums Tanzania CCM ina wenyewe na wenyewe ndio Sisi. Wale wakuja wote tumewaondoa

    1. Kikwete 2. Kinana 3. Makamba 4. Rostam Aziz 5. Na Mzee wangu naye nashukuru sasa amerudi amekuwa Mnec. Hawa ndio wanaweka Rais wanayeona anafaa. Hawa ndiyo wenye mapenzi na hii nchi na wanafahamu CCM kwa ukaribu. Mlituletea mtu mgeni akawa hasikilizi anachoambiwa anafanya atakalo na hajali...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji kumsifia mchezaji muda wote ni sahihi?

    Mtangazi mmoja wa mechi ya leo kati ya Argentina na Australia, anaonekana kuwa ni shabiki wa Messi na Argentina kwa jumla. Muda mwingi anatumia kumsifia Messi hasa katika kipindi cha kwanza. Kweli Messi ni mchezaji maarufu ila kumsifia kupita kiasi wewe kama mtangazji ni sahihi? Mchezaji...
  8. JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kuwachukia wanawake wote

    Mwanzoni niliona ni attitude ya Muda tu lakini naona nimefika mbali zaidi! Hata nikisikia sauti ya kike inabisha hodi nashikwa na hasira tu. Ni mama tu ndiye huwa nawasiliana naye
  9. J

    JamiiForums Tanzania Dodoma: CCM yaitisha viongozi wake wote nchi nzima kuanzia Dec 07

    TANZANIA CHAMA NI KIMOJA TU CCM
  10. JamiiForums Tanzania Mali za Magufuli na wote waliohusika kuvunja mikataba kiholela zikamatwe kufidia deni ili ndege yetu iachiwe

    Ifike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe. Mtu hawezi kuwa anajiamulia mambo bila kufuata sheria na utaratibu halafu kodi zetu ndio ziwe zinatumika kulipia badala ya kutuletea...
  11. JamiiForums Tanzania Shukran kwa wote mnaotupenyezea nyaraka na taarifa za siri za ubadhilifu na zimefanyiwa kazi

    Habari za Majukumu wapendwa! Ninafarijika kuona Watanzania wanaoipenda nchi yao bado wapo na wanaendelea kuwapo, hawajali hcama wala kabila au dini! Nimepokea zaidi ya PM za siri ambazo sitakuja kuziainisha popote kwa kulinda siri za watoa habari, uzuri hizo nyaraka na kumbe za siri...
  12. JamiiForums Tanzania Hitimisho: Chama ni Kiungo Bora wa Muda wote

    Bado tunawapa nafasi ya kutubu na kubadili mawazo kabla hatujaanza kuja na TAKWIMU ambazo hamtozipenda nina uhakika😀 Tunashuhudia sio tu Mchezaji bali Mchezaji bora kuwahi kutokea tangu Milenia ya 2000 kwenye ardhi hii, sio kwamba ni mimi na wewe tu bali kila Mtu anajua hilo ila ni ngumu...
  13. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Afrika kwa Mara ya Kwanza Makocha wote Wazawa

  14. JamiiForums Tanzania Wito: Ibara ya 18 ya Katiba iheshimiwe na wote! Kusifu na kupongeza ni haki, kupinga na kukosoa pia ni haki - si uadui, si chuki, si kinyume!

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Leo Kwa Maslahi ya Taifa" ya leo inajikita kwenye Ibara ya 18 ya Katiba kuhusu moja ya haki muhimu sana ndani ya katiba, yetu ya JMT ya mwaka 1977, kuanzia Ibara ya 18 – 24, katiba yetu imetoa haki zifuatazo: 18. Uhuru wa Maoni. 19. Uhuru wa mtu kuamini dini...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu Ndiye kiongozi niliyemkubali kuliko wote ktk utawala wa hayati Magufuli

    Simjui Jina ila nakumbuka alikuwa Engineer na mkuu wa mkoa Geita, mfuasi wa jamaa mmoja tajiri na mchungaji Nigeria, Mzee Oyadepo wa winners chapel nadhani. Jamaa alikuwa anaongea mambo ya kitaalam Kwa nguvu nyepesi Sana. Nikiwa kwenye Bajaji na jamaa wawili waliokuwepo Geita enzi za huyo...
  16. JamiiForums Tanzania Marais Bora wa muda wote wa Tanzania ni Nyerere halafu Kikwete

    Narudia tena na tena hatutakuja kupata Marais wanaojua siasa, Uongozi na utawala Kama Rais Hayati Nyerere na mstaafu Kikwete. Nyerere pamoja na misukosuko yote ya vita ila alisimama na watanzania na Tanzania ilibaki kuwa moja. Nyerere alikataa uchawa Kama ilivyokuwa kwa Kikwete mambo ya...
  17. JamiiForums Tanzania Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

    Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter. Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza. Kwa nini Lissu...
  18. JamiiForums Tanzania Kariakoo Sasa Majenerator yanaunguruma. Gegegeeee, Dododooo, Gigigiiii

  19. JamiiForums Tanzania Press Release za TANESCO Zimejaa MW. MW Utadhani watanzania wote ni Electrical Engineers

    Aliye iloga Tanzania kafa. Nchi hii imegeuzwa kichwa cha mwenda wazimu Kabisa. Hawa watendaji wa Serikali siyo kwamba hawajui Kazinila wameamua Kula kulingana nanurefu wa kamba Zao. Unjanja unjanja mwinginwa kumwona kila mtanzania ni mkinga. TANESCO Sisi tunataka umeme hizo hesabu zenunza...
  20. JamiiForums Tanzania Christiano Ronaldo na Lionel Messi wote wamepost picha hii Kwa pamoja , comments zimevunja record ndani ya mda mfupi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…