wote

  1. R

    Wanaosemwa wanautaka Urais ndani ya CCM, Je ni Dharau tu? Mbona wakati wa Chuma waliufyata wote?

    Kuna tetesi kila mahali kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi makundi kwa makundi wanajipanga kuweka upinzani hapo baadaye 2025 uchaguzi ujao. Ofcourse! Watasema ni haki yao ya kikatiba na demokrasia ndani ya chama chao, jambo la kushangaza ni kwanini sasa? Mbona wakati wa JPM wote waliufyata...
  2. CHADEMA yapinga Bima ya Afya kwa Wote, yadai ina mapungufu

    BUNGE LA WANANCHI: KAMATI YA AFYA NA USTAWI WA JAMII TAMKO KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE (2022)! “Mapungufu Makubwa ya Muswada Huu, Tahadhari na Ushauri Wetu kwa Taifa” I. UTANGULIZI Ndugu Waandishi wa Habari; Kama mlivyosikia, Serikali imepeleka bungeni Muswada wa...
  3. Kufikia mwaka 2110 sisi wote hapa JF tutakuwa tumekufa

    Miaka 70 kuanzia leo yaani 2110. Sisi Sote tutakuwa makaburini pamoja na jamaa zetu na marafiki zetu. Watu tusiowajua wataishi katika majumba na maeneo yetu. MALI zetu zooote zitamilikiwa na watu tusiowajua. Watu hao wala hawatotukumbuka. Hivi ni wangapi kati yetu wanaowakumbuka mababu wa...
  4. Bima ya Afya kwa wote Tanzania is impossible

    Uchumi, mila, dini, desturi na huduma zetu za afya haviruhusu kutoa Bima ya afya kwa wote. Matibabu ni hitaji la nne la binadamu nyuma ya hewa, maji na chakula (Maslow's). Jiulize je, jamii yote inapata hewa, maji na chakula? Kama jibu ni bado basi bima ya afya kwa wote ni kitendawili. Uchumi...
  5. Nani ana akili kuliko wote JF?

    Wajameni nina swali. Who is the smartest person on JF? Yani genius, akili mingi, great thinker..kuliko wote. Nataka nimjue kipanga wetu.
  6. DC Moshi kukosa kura za CCM awaangushia hasira maafisa elimu kata kwa kuwahamisha vituo vya kazi wote bila malipo

    Kasheshe la DC MOSHI Bw. ABBAS KAYANDA, huko Kilimanjaro kupata pigo la kukosa kura za CCM limechukua sura nyingine. Baada ya gazeti la mwananchi kumrusha hewani DC wa moshi kwa kukosa kura ndani ya chama cha mapinduzi, amewaangushia maafisaelimu kata na kuwahamisha wote vituo vyao vya kazi...
  7. Mpira wa Tanzania ni wa kibosi. Mashabiki, wachezaji na viongozi wote ni mabosi

    Ndiyo, nimeona tofauti ya mashabiki wa Tanzania na nchi zingine. Yanga jana imefungwa lakini mashabiki walichangia kuwavuruga wachezaji wetu! Ile kelele na lile vibe, ni lazima timu yoyote inayokwenda kucheza uwanja ule ijipange! Sisi mashabiki wa Kitanzania tukiingia uwanjani utaona watu...
  8. M

    Shaka: Sasa wapigaji wote uwe CCM au Mpinzani siku zenu zinahesabika kwa vidole

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema kutokana na kasi ya kutekeleza miradi ya maendeleo nchini, Rais Samia Suluhu Hassan ni pumzi mpya kwa maendeleo ya nchi. Shaka amesema hayo leo Oktoba 15, 2022 katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na...
  9. L

    Beijing: Maonesho ya mafanikio ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) yafanyika siku chache kabla ya mkutano mkuu

    Zikiwa zimebakia siku chache kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa Chama cha Kikomnisti cha China (CPC) maonyesho mbalimbali yameandaliwa jiji Beijing ambayo kwa sehemu kubwa yanaonyesha mafanikio ya utawala wa chama hicho ndani ya muongo mmoja uliopita. Maonyesho hayo yenye kauli mbiu isemayo...
  10. Kalynda imefunga ofisi zake hapa nchini, viongozi wake hawajulikani walipo

    Kama heading inavyojieleze Kama unajua uliweka pesa zako Kaylnda sahau na utafute kazi nyingine ya kukuingizia kipato watanzania ni wagumu sana kuelewa sijui kiwakute nini ndio wakubali QNET nao walikuja ivi ivi wakaondoka na kuacha vilio kila kona now Kalynda wameaondoka na kijiji[emoji16][emoji16]
  11. Nyamongo kulikuwa na mwamba anaitwa Kenonke, historia yake inamfanya Jombi aonekane Mtoto mzuri

    Kwa miaka mitatu mfululizo niliamua kufanya utafiti wa kina maeneo ya Arusha, Mbeya na Mara, utafiti huu ulikuwa hasa ukiangalia kwa ukaribu maisha ya Nyokaa, Kenonke na Jombi. Nilikaa maeneo hayo yote kwa miezi 6, kuzungumza na watu waliokaa na hii miamba, wahanga wa matukio ya hawa jamaa nk...
  12. N

    Bima kwa wote: Tanzania kuweka rekodi Barani Afrika katika Sekta ya Afya

    Baada ya kuwezesha suala la Elimu bure kuanzia darasa la kwanza hadi kidato cha Sita na Mikopo ya Elimu ya Juu kwa wanaohitaji. Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan inakwenda kuweka rekodi nyingine Barani Afrika. Wananchi watakaotambuliwa kutokuwa na uwezo wataendelea kupatiwa huduma kwa...
  13. Ufafanuzi kuhusu Bima ya Afya kwa wote itakavyokuwa

    Wizara ya Afya, imetoa ufafanuzi wa maswali yaliyokuwa yakiulizwa mara kwa mara na wananchi kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote. Muswada huo umeshafikishwa Bungeni na Oktoba 19, Kamati ya Kudumu ya Bunge Huduma na Maendeleo ya...
  14. Katibiwe ila fahamu kuwa tiba mbadala wote ni matapeli

    Inasaidia sana kwenye saikolojia lakini fahamu watu wote wa tiba mbadala ni matapeli! Babu wa Loliondo, Sheikh Yahaya, Dr. Mwaka, Dr Ndodi, Sanitarium kliniki zote, wamasai, matabibu wote wanaojitangaza redioni, watu wa maombezi n.k n.k. Tiba mbadala wote ni matapeli, dawa zao hazifanyi kazi...
  15. K

    Viwango vilivyopendekezwa na Serikali, Bima ya Afya kwa Wote

    Hivi karibuni, Rais Samia Suluhu alisema serikali itapeleka mswaada wa Bima ya Afya bungeni ili uweze kujadiliwa. Wakati mchakato huo unaendelea Serikali kupitia Wizara ya Afya imependekeza viwango vya kulipia kwenye Bima. Prof. Makubi amesema uchangiaji unaopendekezwa ni Sh. 340,000 kwa kaya...
  16. Bei ya mafuta yazidi kushuka

    Vicheko vitaendelea kutawala Oktoba kwa watumiaji wa mafuta kufuatia kushuka kwa bidhaa za mafuta kama mwenendo wa bei ulivyotolewa leo Oktoba 4. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha kuwa bei za mafuta kuanzia Oktoba 5 zimeshuka hivyo...
  17. Mtume Mwamposa: Nina hadhi kubwa kuliko waliyonayo 'Marais' wote Duniani

    Akihubiri leo katika Jengo lililobomoka na Hatarishi kwa Usalama wa Waumini anaowadanganya Kutwa huku akiwazidishia Umasikini anayejiita Mtume Mwamposa kwa Jeuri zote kabisa amesema kuwa Yeye kama Mtumishi wa Mungu ana Hadhi Kubwa kuliko hata Marais wote waliopo duniani. "Mimi nimeteuliwa na...
  18. Usizae watoto wote na mwanamke mmoja

    Kwa mujibu wa dini zote kuzaa watoto nje ya ndoa ni haramu!! Wenzetu waislamu wamepiga hatua kubwa wanaweza kuzaa watoto na wanawake wengi na wakawa ndani ya ndoa kwa sababu wanaruhusiwa kuoa wanawake zaidi ya mmoja! Sisi wengine ukikosea tu Ukaoa mchawi au mwenye vimelea vya uchawi ndio huyo...
  19. U

    Kwa bandiko la Joti Twitter na maoni ya raia, hii ndiyo nyimbo iliyotamba Tanzania ya muda wote

    Kiufupi Joti amesema nyimbo zilizotesa sana B.Fleva Tanzania ni Kwangaru, Hakunaga, Starehe, Sinderela etc, bila mpangilio maalumu. Ila kiukweli kabisa wimbo uliotamba Tanzania namba moja kabisa ni Starehe wa Feruzi akiwa na Prof Jay. Zipo nyingine zilitamba lakini hapa tunafunga mjadala. The...
  20. Salamu za pongezi kwa washindi na washiriki katika uchaguzi ngazi ya UVCCM wilaya

    PONGEZI UVCCM WILAYA - SALAMU ZA PONGEZI KWA WASHINDI NA WASHIRIKI WOTE KATIKA UCHAGUZI NGAZI YA UVCCM WILAYA Na Komredi, Ndugu Victoria Charles Mwanziva: Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi, Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Uongozi ni dhamana ambayo mtu hukabidhiwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…