wote

  1. JamiiForums Tanzania Waziri Bashe na Wabunge wote wa Mkoa wa Kagera hiki kilio cha Wakulima wa Vanilla kiko mikononi mwenu

    Hapa sina cha kuongeza Video inajieleza yenyewe. Nimetaja Kagera tu sababu ndiyo sehemu video ilipochukuliwa tangu mwezi wa tano na mpaka sasa hakuna lolote lililofanyika. Kila mara inasemwa kwamba wakulima katika Mkoa wa Kagera wana nafasi kubwa sana ya kuuza mazao yao nchini Uganda ambapo...
  2. JamiiForums Tanzania Nimedokezwa: MOU 30 alizosaini Rais Dubai zikiwekwa hadharani, waTanganyika wote tutalala uchi barabarani

    Kunataarifa zindai kwamba kuna hati za maelewano zipatazo 30 zilisainiwa na Rais katika ziara yake ya Dubai. Pia inadaiwa, huu mkataba wa Bandari ni moja tu kati ya vilivyomo kwenye maelewano hayo. Pia kuna sekta zingine kama posta nk. Inasemekana kwamba, MOU hizo zote zikiwekwa wazi, basi...
  3. JamiiForums Tanzania Msimu huu Vigezo vya kupanda ndege ya Mama viwe wazi kwa wote

    Rais Samia katika jitihada za kukuza michezo nchini alitoa ndege ya bure kwa wachezaji na wadau wa soka nchini kwenda Algeria kuipa hamasa Yanga ya kupambana. Inafahamika kuwa wadau wa michezo ni wengi sana hivyo wasingetosha wote kupanda ndege ya Mama kwenda Algeria. Swali langu ni vigezo...
  4. JamiiForums Tanzania Nani aliyewadanganya Watanzania kuwa Mitazamo ya hawa Wafuatao ndiyo Mitazamo ya Watanzania wote na wako sahihi?

    1. Profesa Shivji 2. Tundu Lissu 3. Freeman Mbowe 4. Dk. Wilbroad Slaa 5. Harold Sungusia 6. Godbless Lema 7. Dk. Charles Kitima GENTAMYCINE nimekaa tayari kabisa kusubiria mirejesho yenu huku nikiendelea kuwaonea Huruma Watanzania wengi ( siyo Wote ) wenye Uwezo mdogo sana wa Kufikiri na Akili.
  5. JamiiForums Tanzania Hongereni ma hustler wote mtaani mnaojituma vyema

    Habari zenu wapambanaji wenzangu wote .. Dhumuni la uzi huu nikuwapongeza wote vijana na watu wanzima mnaopambana kwa nguvu zenu wenyewe bila msaada kwa ndugu za marafiki. Kweli hali ni ngumu sana ila tusikate tamaa maana matunda yapo mbele nayaona kabisa.. Tusikate tamaa tupambane mpaka...
  6. JamiiForums Tanzania SoC03 Ugonjwa wa Shinikizo la Damu ni wa Wote Sasa, Tuwajibike Kuudhibiti

    Utangulizi Miaka ya nyuma, magonjwa mengi yasioambukiza yalitawala sana nchi zilizoendelea, magonjwa haya ni shinikinizo la juu la damu, kisukari, saratani, magonjwa ya figo, na kadhalika; ambayo pia yaliwapata watu wenye umri mkubwa, yaani kuanzia miaka 60 na kuendeleza. Wakati huo, nchi nyingi...
  7. JamiiForums Tanzania Siyo wote, ingawa ni wengi wao!

    Nilipokuwa mdogo, kutokana na niliyokuwa nikiyasikia kuhusu waandishi wa habari, niliamini hiyo ni taaluma ya watu waongo sana. Lakini baada ya kukua, nilibaini kuwa waandishi wenye weledi siyo waongo, bali hutoa habari kulingana na hali halisi. Nimeligundua lingine la kushangaza zaidi, ni...
  8. JamiiForums Tanzania Bora kuufuta kwanza mkataba wote wa bandari na DP World kuliko kujaribu kurekebisha chochote ili ufae

    Tanzania tupo kwenye mjadala mzito unaohusu bandari na waarabu wa Dubai (DP world), na kiini cha mjadala wote ni kuhusu dosari za kimsingi zinazounguka mkataba wenye. Jambo moja la wazi linalokubalika na pande zote katika mjadala huu ni kuwa, sote (serikali na wakosoaji) tunakubali kuwa mkataba...
  9. JamiiForums Tanzania Malezi ya Mama pekee husaidia kugundua kipaji kuliko ya wazazi wote wawili

    Naamini kila binadamu amezaliwa na kipaji ila ukija kwenye uhalisia inakuwa tofauti, 1. Watoto waliolelewa malezi bora(baba na mama) wanakosa muda wa kuangalia vipaji vyao kwa kubanwa pande zote mbali. huwa na vipaji vya elimu? wenyewe wanakwambia wana vipaji vya kusoma japo wengine wananunua...
  10. JamiiForums Tanzania USHAURI: Ipelekwe Hoja Binafsi Bungeni- Wananchi wote waridhike

    Nashauri ipelekwe Hoja Binafsi Bungeni(kwa mujibu wa taratibu za Bunge) -Bunge libatilishe Azimio lile na kisha, Makubaliano yaangaliwe upya pale ambapo panapigiwa kelele na wananchi hasa kipengere cha 23(4), na pengine pia parekebishwe na wananchi waridhike kuwa Sasa makubaliano yapo sawa...
  11. JamiiForums Tanzania Mufiti na sheikh Mkuu wa Tanzania awataka Masheikh na Maimamu wote Nchini wakemee mmomonyoko wa Maadili

    Mufti Zubeir awataka Masheikh wa Mikoa, Wilaya, Kata na Maimamu wakemee mmomonyoko wa Maadili Akizungumza katika tukio la Kumbukumbu ya Miaka 8 ya Mufti Dkt. Abubakar Zubeir, leo Juni 22, 2023 katika Ukumbi wa Mfalme Mohammed Vi, kiongozi huyo amesema Sikukuu ya Eid Kitaifa inatarajiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi Bandari Tanzania na DP WORLD

    Utangulizi Kwa kuzingatia masharti ya Ibara ya 63 (3) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, Mkataba kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Tangazo kwa wanaume wote Tanzania

    Huyu binti wa katikati mkae nae mbali, nimeshamchagua
  14. JamiiForums Tanzania List yangu ya movie/series bora za muda wote kutoka industries mbalimbali duniani

    English series 1. Game of thrones 2. Prison break 3. Breaking bad 4. Blindspot Korean Drama 1. Jumong 2. A man called god Spanish series 1. Money heist Indian movies 1. Movie yoyote ambayo yumo Aamir khana au Salman khan. 2. Baahubali the beginning na the conclusion NB: kama zitatokea kali...
  15. JamiiForums Tanzania Wanajeshi 100 wa Urusi waliokuwa wanasubiri hotuba wapigwa bomu na kuuawa

    Walikua wanasubiri hotuba ya kuwatia hamasa, maskini hawakujua satelite inawaona. =========== As many as 100 Russian troops gathered for a motivational speech near Ukraine’s eastern frontline may have been killed in a strike earlier this week, prompting fury among Russian military bloggers...
  16. JamiiForums Tanzania DP World yazindua jukwaa la E-commerce Tanzania na tayari wametoa fursa za kipekee za Biashara kwa wote. Tuchangamkie fursa

    Tunaposema mama anaupiga mwingi huwa hatukisii au kumsifia ili mradi tu. Mama anaupiga mwingi kweli kweli. Wewe unaelalamika, wacha ulalamishi changamkia fursa hizi. Sehemu ya watoa huduma wa kimataifa wa DP World, DUBUY.com inafungua ukanda mpya wa biashara ya kidijitali kwa Tanzania na ukanda...
  17. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE: Fei, Yanga na Azam wote wameshinda japo wametupotezea muda

    ILE filamu ambayo ilionekana kutoeleweka hatimaye imemalizika kirahisi. Pengine kuliko tulivyofikiria. Ilionekana kama ingekuwa filamu ngumu bila ya kujua nani angekuwa mshindi. Ilimalizika kirahisi Ikulu ya Magogoni kutoka katika kinywa cha miongoni mwa wanawake wenye nguvu Bara la Afrika...
  18. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa na Maono, Viongozi wote aliokataa kufanya nao kazi hawafai kwa taifa letu

    Sitaki kutoa maelezo mengi maana kila mtu anaona kwa macho yake. Makame Mbarawa alikataliwa na Magufuli leo hii anaingia mkataba na sehemu ya nchi huku nchi husika ikiwa haina taarifa. January ndio hafai kabisa maana Wizara ya Nishati ndio chaka lake la kuibia Watanzania. Rejea Mkataba wa...
  19. JamiiForums Tanzania Wanazuoni watoa tamko: Bandari ni mali za Watanzania wote hatuna wanahisa na hatuhitaji wanahisa

    Kuuza lango la uchumi wa nchi au kutafuta wanahisa ni usariti mkubwa katika kuvunja katiba ya nchi: Bandari ni mali za watanzania wote hatuna wanahisa (shareholders) na hatuhitaji wanahisa. Waraka wa wazi kwa waheshimiwa wabunge Nakala kwa waheshimiwa viongozi wa dini Nakala kwa taasisi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Movies 15 ambazo hupaswi kuzikosa kwenye Library yako muda wote

    1. Lone Survivor (2013) 2. The Covenant (2023) 3. Extraction (2020) 4. 13 Hours (2016) 5. Operation Red Sea (2018) 6. Without Remorse (2021) 7. Mad Max: Fury Road (2015) 8. Saving Private Ryan (1998) 9. The Old Guard (2020) 10. The Hurt Locker (2008) 11. Hacksaw Ridge (2016)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…