wote

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wote wa mwamba John Pombe Magufuli (JPM), twendeni CHADEMA

    Mimi ni shabiki kindakindaki wa Mwamba wa Afrika, John Pombe Joseph Magufuli. Kutokana na Mwamba kutuacha, nimeamua kuelekeza ushabiki wangu kwa CHADEMA. Hapo mwanzo sijawahi hata kufikiri juu ya CHADEMA, lakini nadhani niliwanukuu vibaya CHADEMA. Nilidhani ni watu wa shari tu, kumbe siyo...
  2. JamiiForums Tanzania Kama wakristo wote na viongozi wetu ni watoto wa Mungu, KWA nini waitwa Baba Mchungaji/Askofu badala ya Kaka Mchungaji/Askofu ili Baba abaki Mungu tu?

    Biblia imasema watu wanapomokea Yesu wanafanyika KUWA watoto wa Mungu. Wale waliowaongoza kumjua Yesu KWA KUWA wamewatangulia kwenye imani watakuwa Kaka ZAO sio Baba. Kwa hiyo napendekeza badala ya kuwaita Baba Mchungaji, au Baba askofu au Baba mtakatifu au Baba mtumishi litumike NENO Kaka...
  3. JamiiForums Tanzania Operesheni Unfollow Wasanii wote Mitandaoni ambao hawasimami na Wananchi kwenye Haki

    Nchi nyingine, watu maarufu na Mastaa usimama na Wannchi linapokuja swala au jambo la maslahi ya wananchi kwa ujumla. Huko South Africa, Nigeria hata hapo kwa majirani zetu Kenya wasanii wengi husimama na raia na mara zote wamekuwa mstari wa mbele kuwapigania au kuwazungumzia wananchi endapo...
  4. JamiiForums Tanzania Hii mke akiona atachukulia sisi wote ni mbwa.

    Katika maisha nilikutana na bek3 wengi niliokula na sasa na umri huu yananitokea haya
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natamani dunia ipasuke na watu wote wabaki kuwa historia

    Ninaelewa unachotaka kufanya — kuwasilisha hoja yenye mtazamo mkali kuhusu kuangamia kwa wanadamu duniani. Kutamani kufutika kwa wanadamu au kuangamia kwa dunia kunaweza kuashiria maumivu ya ndani au kukata tamaa. Kama unaandika haya kwa sababu ya hasira, huzuni au hisia za kukosa maana ya...
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kwa wanaume wote

    1. Kuwa mwangalifu na afya yako siku zote. 2. Jiwekeze kiuchumi kwani fedha itakuwa msaada wako umri ukienda. 3. Umri ukienda sana thamani inategemea hali yako ya kifedha. 4. Umri ukishaenda hakuna atakayekuajiri. 5. Watoto ulio nao wote wapi tayari kukaa na mama yao akiwa mzee kuliko wewe...
  7. JamiiForums Tanzania Demokrasia ni yetu wote

    “Kuzuia uchaguzi au kuwapinga wengine wasishiriki katika kupiga kura si tu utoto wa kisiasa, bali ni kiashiria cha ugonjwa wa kijamii unaohitaji tiba ya haraka. Demokrasia isiyolindwa ni ishara ya jamii inayopoteza dira yake. Ni wajibu wa wale waliopewa dhamana kutunza dira ya jamii kwa kutimiza...
  8. JamiiForums Tanzania Siku nikisema nihadithie mikasa iliyonipata kwenye mapenzi members wote wa jf mtabubujikwa na machozi

    Yan haya maisha usijihaminishe lolote hasa Kwa kiumbe wa jinsia yakike uwe unahela utapigwa matukio, uwe katili utapigwa matukio, uwe sijui handsome boy utapigwa matukio, uwe na viuno kama fally ipupa utapigwa matukio, uwe unanukia kama majini utapigwa matukio. Kwa afya ya akili na mwili...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi wasishirikiane na Askari polisi wote

    Ninapinga kwa nguvu zote hatua zote walizochukua Askari polisi na watu walioko Nyuma ya Tukio la kuvamia na kumzunguka Gwajima. Polisi wakivalishwa nguo wanajisahau kuwa kazi ya Upolisi ndio ilikuwa option ya mwisho kwenye maisha yao. Kuanzia sasa utangazwe utaratibu wa kuto kumkopesha, kuto...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa utengeneze first 11 ya muda wote katika historia ya La Liga kuanzia mwaka 2000 utaweka wachezaji gani?

    Mimi nitaenda na formation ya 4-4-2 DIAMOND 1. Casillas 2. Alves 3. Ramos 4. Pique 5. Marcelo .Alonso . Xavi . Modric . Iniesta . Messi . Ronaldo
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Keyboard Warrior wote wa JF

    Mzuka Wana Jamvi ? Binafsi napongeza juhudi za serikali kuhakikisha nchi isiingia machafukoni kwa ajili ya watu wachache na katika kuzuia mambo hayo ya ajabu. Fujo sio solution na zina madhara makubwa kuliko Faida , kama unaona serikali inateka watu jiulize mbona wewe haujatekwa wala Bibi yako...
  12. JamiiForums Tanzania Upande wa Jamhuri unafurahia Lissu kuwa na mawakili 100,wakiongea wote siku imeisha, na hakuna kilichoendelea, ni kuibua la ubishi kadogo tu

    Upande wa Jamhuri kazi yao ni kuibua vipengele tu, halafu utetezi watavijibu kwa masaa 5 au 6, hapo kama kesi imeanza saa 3 maana yale saa 9 tayari, mtuhumiwa arudi rumande. Nadhani lead counsel wasizidi watatu. Anyway, nawapongeza mawakili wa Lissu kwa kukwepa utando wa kisheria (legal cobweb)...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiambiwa utengeneze first 11 ya muda wote katika historia ya EPL kuanzia mwaka 2000 utaweka wachezaji gani?

    Mimi nitaenda na formation: 4-3-1-2 1. Cech 2. Neville 3. Vidic 4. Terry 5. Cole 6. Scholes 7. Gerrard 8. Lampard 9.Rooney 10. Ronaldo 11. Henry
  14. JamiiForums Tanzania Somo zuri kutoka kwa Dkt. Hussein Mwinyi-Rais wa Zanzibar kwa viongozi wote wa Tanzania

    Enyi viongozi mliopewa dhamana na wananchi kuliongoza hili taifa chukueni huu ushauri mzuri kutoka kwa Dr Hussein Mwinyi utawasaidia. Tusipokuwa makini UCHAWA utaliangamiza taifa, leo hii Daktari anayeokoa maisha ya watu kila siku pale Muhimbili hana issue kuliko Mwijaku anayesifiasifia tu hata...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watu wote walioajiriwa

    1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini kwenu au mjini. Kujenga nyumba ukiwa na miaka 50 sio mafanikio. Usizoee nyumba za serikali. Faraja hii ni hatari sana. Hebu familia yako yote iwe na wakati mzuri ktk nyumba yako mwenyewe. 2. Nenda nyumbani. Usiishie kazini mwaka mzima. Wewe si nguzo ya idara...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Heche Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimamo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Boda Boda wote kulipwa Pensheni,Lema kazi ya Boda Boda ni Laana

    Makamu mwenyekiti wa chadema akiwa anahutubia wananchi ameahidi ya kwamba sera ya chadema ni kuhakikisha ya kuwa kila boda boda hapa nchini analipwa pensheni .Je mzee Lema aataendelea na msimomo wake kuwa boda boda ni kazi ya laana?
  18. JamiiForums Tanzania DR. DOROTHY GWAJIMA.IRON LADY!KWANGU MIMI NDIE WAZIRI MCHAPA KAZI KULIKO MAWAZIRI WOTE SERIKALINI.

    Dr.Dorothy Gwajima.Huyu mama licha ya uchapakazi wake kuwa mzuri ni mtu mwenye roho poa sana.Anaitendea haki kabisa nafasi ya uwaziri. Mama ikikupendeza Mpe Dr.Dorothy Gwajima nafasi nyeti zaidi kwa manufaa ya walio wengi.Binafsi niliwahi wasiliana nae kwa zaidi ya issue tatu zinazohusu ukatili...
  19. JamiiForums Tanzania Je!! Huu ndio uwezo wa kufikiri wa Wana CCM wote?

    Huyu ni kiongozi wa mbio za mwenge eti anakagua ubora wa barabara kwa kutumia sururu!! Hivi hii takataka bado ipo ofisini? CCM Nani aliwaambia ukaguzi wa barabara ufanywa Kama hivi? Very sad !!
  20. JamiiForums Tanzania Hii ni kwa watanzania wote wanaopenda Adventures, hii si yakukosa, siku sita na gharama ni mteremko ✌🏽

    🗻✨ Unasikia wito wa Uhuru Peak? ✨🗻 Safari ya maisha yako inakusubiri… Mlima Kilimanjaro kwa siku 6 tu! Kwa gharama ya Tsh 900,000 tu, Mtanzania unapata nafasi ya: ✅ Kupanda mlima mrefu zaidi Afrika 🌍 ✅ Kuweka historia yako mwenyewe 📸 ✅ Kukutana na marafiki wapya wa roho ya adventure 🤝 ✅ Kuonja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…