wote

  1. JamiiForums Tanzania Nina waomba wanaharakati, vijana, vijana wa vyuo, wafanyakazi, wajasiriamali na wananchi wote

    Nina waomba wanaharakati, vijana, vijana wa vyuo, wafanyakazi, wajasiriamali na wananchi wote kwa uzalendo wetu 29/10/2025 ni maandamano ya nchi nzima wa Tanzania wenzangu, tunapitia wakati mgumu ambapo ufisadi na rushwa vimezidi kuathiri maisha yetu ya kila siku. Miundombinu yetu ambayo...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Maaskofu karibia wote wa kilutheri ni 'madaktari'?

    Kila askofu wa kilutheri, japo si wote, akitambulishwa lazima awe daktari. Je, haiwezekani kuwa Askofu bila kuwa daktari? Je, wanapeana udaktari au kuusotea vilivyo? Kuna haya ya kuchunguza lau tukajua ukweli ni upi tusijepigwa changa la mato. Nafikiri na kuwaza kimya kimya.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Watu Wote Mlio Wema, Msibariki Dhambi

    Watu wote tusipenda uovu, tunaomkiri Mungu wa Kweli, tujitenge kabisa na uchaguzi huu uliojaa uovu, unaotumika kuwahalalisha waovu. Hivi kuna mtu asiyejua ni nani anahusika na utekaji na mauji ya watu wanaokosoa maovu? Kuna mtu asiyejua ni chama gani kinahusika na huu uovu wa kuteka, kuua...
  4. JamiiForums Tanzania Tushirikiane wote kujifunza neno la Mungu /neno la leo

    Tunaishi katika nyakati/zama za mwisho kabisa huku unabii kuhusu UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOKO DUNIANI /KURUDI KWA YESU MARA YA PILI kukiwa kumekaribia sana kwa mujibu wa ufunuo na maandiko. WAKATI WAKATI TULIONAO NI MCHACHE SANA, sisi kama RAIA WA MBINGUNI tunaosafiri safari ya kuelekea...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kutunishiana misuli, wote tunajenga nyumba moja?turudi mezani kwa maslahi mapana ya taifa.

    Sio shabiki wa chama chochote cha siasa ila kuna haja ya kuskilizana, nikiangalia machafuko ya uko Congo, Msumbiji, bado tuna nafasi ya kua wamoja. Polisi kusema wamejipanga, raisi kasema yeye ndo amiri jeshi mkuu, waandamanaji nao wanaabaki na msimamo wao, vp kwa sisi wastarabu non. Allied...
  6. JamiiForums Tanzania Inawezekaneje walimu wanaweza kuwa na kumbukumbu ya wanafunzi wote waliowafundisha?

    Nimekutana na mwalimu wangu wa shule ya msingi kwa sasa ni mstaafu ila mpaka jina langu kaniambia. Walimu wanakipawa gani kujua watu na kila siku wanapokea idadi mpya ya wanafunzi.
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania wakristo kwa waislamu wote tuingie Mfungo kuombea nchi

    Mimi sio mtu wa siasa sana, wala sio mtu kanisa sana. Nimeona wachungaji wengi wakinena kuombea nchi hadi kanisa katoliki wamefunga novena kuombea haki na amani na kwa kweli nilikua naona maigizo tu. Naipenda nchi yangu, na hata kama nilikua naitetea mno serikali hii ya huyu mama nikiamini...
  8. JamiiForums Tanzania Waraka kwa Heche na Wapigania Demokrasia wote

    1 Heche na wenzake wapigania demokrasia, watumwa wa Bwana wetu Yesu Kristo, kwa Watanzania wote walioko katika mapambano ya demokrasia na katiba mpya, pamoja na viongozi wao na wanaharakati wote: 2 Neema na amani zitokazo kwa Mungu Baba yetu na Bwana Yesu Kristo ziwe nanyi. 3 Namshukuru Mungu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Siyo polisi wote ni wanyama naamini wengine wanaumizwa na yanayoendelea

    Huo ndiyo ukweli siyo polisi wote ni wanyama na kuna wengine hawapendezwi na yanayoendelea inchini kama kupiga watu kuteka mpaka kuuwa, Naamini hawa tutakuwa nao na ndiyo watakaotupa habari zote za nani aliyemuwa fulani na mengine mengi,tukeshe tukiomba saa ya ukombozi iko karibu sana
  10. JamiiForums Tanzania Video: Huu ubabe wa Israel kwenye kuteka anga za mataifa ya ukanda wote huo unatisha sana

    Jameni Israel hunifurahisha hadi naumwa, waliikalisha Iran na kuteka anga lao lote na kupiga popote walipokua wanataka, juzi wamechezea kwenye anga ya Qatar bila hata ndege moja kudunguliwa, tena wamesafiri zaidi ya kilomita 1,000 Yaani madude yanapaa kwenye anga lenu bila kugunduliwa...
  11. JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli tu CCM, inapendwa, inaaminika na inakubalika sana kwa waTanzania wote.

    Sote ni mashuhuda jinsi wananchi maeneo mballimbali nchini wanavyojitolea na kujitokeza kumpokea na kumsikiliza kipenzi chao Dr.Samia Suluhu Hassan kwenye kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 29,2025. Licha ya changamoto za uduni wa vyombo vya usafiri wanavyotumia kuelekea mikutanoni, lakini...
  12. JamiiForums Tanzania Hata kama wanabeba Hivi unaweza kubeba watu wote hawa kila mkoa ? 😳

    Hata kama wanabeba Hivi unaweza kubeba watu wote hawa kila mkoa ? 😳 Cc Lucas Mwashambwa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kinachotokea Gaza kituogopeshe Waafrika. Wamagharibi wakiamua kutuua wote ili watwae ardhi na rasilimali hawashindwi!

    Kuna watu ni naive, wanadhani injustice ikifanyiwa watu fulani basi hilo haliwahusu. Na pia huwa kuna kasumba ya watu kuabudu Mwenye nguvu. Kwa watu wa aina hii makosa yote huwa ni ya asiye na nguvu. Kwao Mwenye nguvu akimtemea mate asiye na nguvu hilo siyo tatizo, ila asiye na nguvu naye...
  14. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wagombea Urais wawe wabunifu kwenye hotuba zao, waache kurudia rudia sera zao

    Ni siku chache zimepita tangu Kampeni za kutafuta Kura za Urais, Ubunge na Udiwani wanapokuwa katika majukwaa wanakuwa wanarudia sana Sera zao ambazo nyingi zimezungumzwa awali na watu wengine Ushauri wangu wawe wabunifu zaidi watasikilizwa na hatimaye watapata kura za kutosha
  15. JamiiForums Tanzania Yaani Aboubakar Sadick pamoja na Ujanja wako wote na Tambo zako zote kumbe Gari yako iliyoungua ilikuwa haina hata Fire Extinguisher ili Uiokoe?

    Mtangazaji na mtayarishaji wa vipindi Radio One, Aboubakar Sadik amenusurika kifo baada ya gari yake kuteketea kwa moto majira ya saa sita usiku wakati akitokea kazini kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea usiku huu wa majira ya saa sita Septemba 2, 2025 ambapo katika...
  16. JamiiForums Tanzania Wote tusome hapa kama wazalendo wa nchi yetu na tutoe maamuzi

    Nchi inatafunwa na wajanja hii huku wajinga wakipewa baiskeli aisee watu wanapiga mabilioni tu ndio maana wanahubiri amani huku neno haki hawalitamki
  17. R

    JamiiForums Tanzania Polepole ukimaliza kuanika Uozo agenda ijayo iwe tunatokaje kwenye Mkwamo huu tukiwa salama

    Mimi binafsi ulichokifanya kina matashi mema! Kina baraka za Mungu na wote wanaoipenda nchi yetu Tanganyika/Tanzania. Ukiacha vumbi lenu ndani ya CCM, ingawa linatugusa wote kwa sababu mnamiliki serikali na rasilimali zetu, mengine uyasemayo wengi wanakuunga mkono! Thanks ulisema uko hata hapa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ukimkimbiza kichaa wote mtakamatwa kama vichaa ili msilete fujo kwa sababu watashindwa kuwatofautisha

    Hii Dunia tupo watu wenye haiba mbali mbali rahisi na ngumu katika kuishi na wengine na bahati mbaya kuna haiba hazibadiliki wala kurekekebishika hivyo unachotakiwa ikiwa utakutana na mtu mwenye haiba hiyo ni kujifunza kuishi naye au kumpuuza tu WAKIKUTA UNABISHANA NA KICHAA WATAKUSHANGAA WEWE...
  19. JamiiForums Tanzania Hii nchi tulipofikia:Mahakama ya wilaya watumishi wote wamekwenda ngorongoro kutembea mahakama imefungwa

    Sijui tunakwenda wapi hipo siku utasikia Hospitali imefungwa watumishi wote mpaka muhudumu wa mwochari naye kaenda beach. Kama mahakama zishafikia huku tumekwisha. Kuna mkoa wa X sitaki kutaja unapopatikana madini ya dhahabu ukisifika wilaya yake. Kwa hiyo wenye kesi au tunataka kesi tusubiri...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Huu ni uongo na ni tusi kwa Watanzania wote walio na akili timamu na wanaojielewa!

    Jana CCM wamezindua kampeni zao za uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Oktoba. Kama ilivyo ada, wametoa ahadi kadhaa. Moja ya ahadi zilizo kamata usikivu wangu ni hii ya kuunda tume ya upatanishi [maridhiano] ili kuandaa mazingira ya kuandika katiba mpya. Hawa watu ni waongo sana. Hawana kabisa nia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…