wote

  1. H

    JamiiForums Tanzania Toa namba ya simu inayokuwa na salio muda wote siyo unampigia au unamjibu mtu kwa namba yako ambayo hujampa

    Hi ni tabia inayokera sana mtu anakupa namba ya simu ambayo anajua kabisa haina salio unawasiliana naye kupia namba hiyo badae yeye anakujibu au anakubip kwa namba tofauti kabisa,huo ni ushenzi uliopitiza kama vi toa namba zote basi ulizosajiri ili mtu aku-save ili ukipiga akutambue!!
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum: Weka hapa makazi wa Mawaziri, Wabunge na Chawa wote

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza tunaomba wanabodi mtiririke hapa. Tuna kazi kubwa iliyotukuka Oktoba 29. Mimi ninashughulika na makazi ya Mbunge wangu wa Ukonga Jerry Silaa.
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Muhamad alikuwa kwa usiku mmoja anafanya mapenzi na wake zake wote 9

    Hii ni hadithi ya Sahih al-Bukhari 5068, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha "Kitāb al-Nikāḥ" (Kitabu cha Ndoa): Tafsiri: Jamaa alikuwa anatembeza sana kiboko. Na hakuwa na maadili kabisa. Aliwachukulia wanawake kama ni chombo cha starehe tu.
  4. Tochuku

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mnatutishia watanzania na magari ya kipolisi na kivita, mnataka kumuua nani ama mtaweza kutuua wote ?

    Je mutaweza kutuua watanzania milioni 50+? Sasa mbona hata hio ni ujumbe tosha hata wapiga kura wasiende kupiga kura.. Huu ni uchaguzi ama vita Free Polepole Free Heche Free Mdude
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mtaje CDF Bora wa muda wote hapa Tanzania

    GT Haya wale wazee wa miwani myeusi ni CDF yupi alifanya jeshi liheshimike zaidi tuanzie enzi za mwalimu. Mimi naanza na huyu jamaa Davis hakuwa mwanasiasa uwepo wa mkapa ulimfanya Kikwete asikohoe
  6. M

    JamiiForums Tanzania Una uhakika wa kula maisha yako yote na ukoo wako wote, bado tu ung'ang'ania cheo ili iweje?

    Panaugumu gani mtu kuachia nafasi kwa sababu ya kuogopa nafsi zinazopotea kwa ajiri yako? Unajua kabisa wewe ni waziri wa mambo ya ndani, lakini kinachofanyika kwenye wizara unayoiongoza ni laana tupu ya maisha yako yoote Licha ya watu wengi kuishi maisha ya dhuluma na hata kutesa na kuuwa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo ukweli wa tarehe 29, siyo polisi wala CCM wote wanayapinga maandamano

    Yaani huu ndiyo ukweli halisi Polisi siyo wote wanapinga maandano na siyo Wanachama wote wanapinga maandamano bali wengi hawapendi jinsi inchi inavyoendeshwa na Rais Ni vile wakati wa Magufuli wengi wapinzani walikuwa wanaridhisha na kazi aliyokuwa anafanya kupambana na mafisadi,kinachotakiwa...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Heche: Suala la Uhamiaji kusema sikufuata utaratibu kwenye suala la kwenda kumzika Odinda ni upotoshaji

    Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA John Heche amekanusha kuvuka mpaka kuingia Kenya kwa mazishi ya Waziri mkuu wa zamani wa Kenya Raila Amollo Odinga. - Mamlaka za Tanzania zilitoa taarifa zikisema John Heche alivuka mpaka kinyume cha sheria.
  9. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Ninachotamani wote watolewe, tubaki peke yetu

    Mwamba kabisa Semaji la Simba linatamani timu zote zitolewe isipokuwa Simba kwenye michuano ya kimataifa halafu wabaki Simba Peke yao, Timu anazotamani zitolewe ni Yanga, Azam na Singida Black Stars. Neno moja Kwa semaji.
  10. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Namuombea Msamaha DC Magoti kwa Watanzania wote

    Dc Petro Magoti ameteleza katoa kauli mbaya sana, kwamba atawatandika watu mpaka wapate ukilema, ile kauli sio nzuri kweli, lakini kwa namna watanzania mnavyomshambulia huko Instagram mpaka sasa namuonea huruma! Vita imejikita sasa kwenye maumbile yake yani imekuwa too personal yaani sio mambo...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania MUGABE: Mfungwa aliyekuwa Rais msomi kuliko marais wote duniani

    Inaelezwa kuwa alikuwa ndiye Rais aliyekuwa na elimu kubwa kuwazidi Marais wote duniani alikuwa ni Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Mugabe alizaliwa 21 February 1924 kule Kutama, Southern Rhodesia (Zimbabwe) miezi michache baada ya Southern Rhodesia kuwa koloni la Uingereza. Watu wake...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Nawasihi wazalendo wote Tanzania jizuieni kwa sasa kujipost kwakua dhamiri zetu ni kiukomboa Tanzania tarehe 29/10/2025 imefika

    Mbinu wanayoitumia hawa Watekaji ni Kumuwahi Kila Mmoja anayeonekana ana Uthubutu wa jambo letu !!. Sasa katika hali ya Mmoja Mmoja ni rahisi wao kutumaliza na kuchomekea Woga. Sasa basi kwakua Dhamira zetu ni DHAHIRI na kwa namna tulipofikia 29/10 ni tukio la Ukombozi wa Nchi. Tuendelee na...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Je waTanzania waandamane kutaka bima ya Afya kwa wote au kupinga uchaguzini?

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Je,tuandamane kugomea uchaguzi au tuandamane kudai bima ya afya kwa wote!! Tujitafakari!
  14. H

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha waTanzania kuwa kuandamana bila bima ya Afya kwa wote ni hatari sana!!

    Ni kweli mnaweza kuandamana hiyo 29.10.2025 ila ni hatari sana iwapo hauna bima ya afya kwani utahitaji matibabu baada ya kipigo na utaenda kutibiwa kwa gharama sana. Tujitafakari!
  15. Think2

    JamiiForums Tanzania Hii ni kiboko ya wadudu wote wasumbufu sumbufu

    Hii dawa ni nouma sana inzi, mende, kunguni , mbuu na n.k ukipulizia ndani hutoona mdudu yeyote akikatiza. Lkn pia nyoka hatoboi kwenye hii dawa hawezi kuingia ndani akisikia hii dawa akijaribu kuingia kwa kuforce akigusa tu anakwenda na maji Inaitwa canye 😁😁😁
  16. canular

    JamiiForums Tanzania Nina waomba wanaharakati, vijana, vijana wa vyuo, wafanyakazi, wajasiriamali na wananchi wote

    Nina waomba wanaharakati, vijana, vijana wa vyuo, wafanyakazi, wajasiriamali na wananchi wote kwa uzalendo wetu 29/10/2025 ni maandamano ya nchi nzima wa Tanzania wenzangu, tunapitia wakati mgumu ambapo ufisadi na rushwa vimezidi kuathiri maisha yetu ya kila siku. Miundombinu yetu ambayo...
  17. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini Maaskofu karibia wote wa kilutheri ni 'madaktari'?

    Kila askofu wa kilutheri, japo si wote, akitambulishwa lazima awe daktari. Je, haiwezekani kuwa Askofu bila kuwa daktari? Je, wanapeana udaktari au kuusotea vilivyo? Kuna haya ya kuchunguza lau tukajua ukweli ni upi tusijepigwa changa la mato. Nafikiri na kuwaza kimya kimya.
  18. H

    JamiiForums Tanzania Watu Wote Mlio Wema, Msibariki Dhambi

    Watu wote tusipenda uovu, tunaomkiri Mungu wa Kweli, tujitenge kabisa na uchaguzi huu uliojaa uovu, unaotumika kuwahalalisha waovu. Hivi kuna mtu asiyejua ni nani anahusika na utekaji na mauji ya watu wanaokosoa maovu? Kuna mtu asiyejua ni chama gani kinahusika na huu uovu wa kuteka, kuua...
  19. a sinner saved by Christ

    JamiiForums Tanzania Tushirikiane wote kujifunza neno la Mungu /neno la leo

    Tunaishi katika nyakati/zama za mwisho kabisa huku unabii kuhusu UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOKO DUNIANI /KURUDI KWA YESU MARA YA PILI kukiwa kumekaribia sana kwa mujibu wa ufunuo na maandiko. WAKATI WAKATI TULIONAO NI MCHACHE SANA, sisi kama RAIA WA MBINGUNI tunaosafiri safari ya kuelekea...
  20. MendeOLD

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kutunishiana misuli, wote tunajenga nyumba moja?turudi mezani kwa maslahi mapana ya taifa.

    Sio shabiki wa chama chochote cha siasa ila kuna haja ya kuskilizana, nikiangalia machafuko ya uko Congo, Msumbiji, bado tuna nafasi ya kua wamoja. Polisi kusema wamejipanga, raisi kasema yeye ndo amiri jeshi mkuu, waandamanaji nao wanaabaki na msimamo wao, vp kwa sisi wastarabu non. Allied...
Back
Top Bottom