Mtangazaji na mtayarishaji wa vipindi Radio One, Aboubakar Sadik amenusurika kifo baada ya gari yake kuteketea kwa moto majira ya saa sita usiku wakati akitokea kazini kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo limetokea usiku huu wa majira ya saa sita Septemba 2, 2025 ambapo katika...
Mimi binafsi ulichokifanya kina matashi mema! Kina baraka za Mungu na wote wanaoipenda nchi yetu Tanganyika/Tanzania.
Ukiacha vumbi lenu ndani ya CCM, ingawa linatugusa wote kwa sababu mnamiliki serikali na rasilimali zetu, mengine uyasemayo wengi wanakuunga mkono!
Thanks ulisema uko hata hapa...
Hii Dunia tupo watu wenye haiba mbali mbali rahisi na ngumu katika kuishi na wengine na bahati mbaya kuna haiba hazibadiliki wala kurekekebishika hivyo unachotakiwa ikiwa utakutana na mtu mwenye haiba hiyo ni kujifunza kuishi naye au kumpuuza tu
WAKIKUTA UNABISHANA NA KICHAA WATAKUSHANGAA WEWE...
Sijui tunakwenda wapi hipo siku utasikia Hospitali imefungwa watumishi wote mpaka muhudumu wa mwochari naye kaenda beach.
Kama mahakama zishafikia huku tumekwisha.
Kuna mkoa wa X sitaki kutaja unapopatikana madini ya dhahabu ukisifika wilaya yake.
Kwa hiyo wenye kesi au tunataka kesi tusubiri...
Jana CCM wamezindua kampeni zao za uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Oktoba.
Kama ilivyo ada, wametoa ahadi kadhaa.
Moja ya ahadi zilizo kamata usikivu wangu ni hii ya kuunda tume ya upatanishi [maridhiano] ili kuandaa mazingira ya kuandika katiba mpya.
Hawa watu ni waongo sana. Hawana kabisa nia...
Ndugu zangu, msidanganyike! Dhambi si mchezo, na kila dhambi inaleta madhara makubwa kwa mtu binafsi, kwa jamii, na kwa taifa. Wacha tuchambue kwa mwanga wa Neno la Mungu.
1. Wachawi
Biblia inasema wazi, “Wala msijihusishe na wachawi.” (Walawi 19:31). Uchawi unaharibu kizazi kizima, unavunja...
WOTE WEZI TU!
Kuna wale wanajiita wajamaa ambao adui yao mkuu ni watu kuwa na 'uhuru wa kiuchumi'! ... yaani ukiwapa nchi wao basi kila mtu awe kapuku ili waweze kuabudiwa vizuri! Chini yao huwa kuna wizi wa kutisha, ili wazidi kujiimarisha na kubebana, lakini wizi hufanyika kwa siri kubwa na...
JE, WAISLAMU WAMPIGIA KAMPENI SAMIA?
Andiko hili la Emaus Mwamakula ni la hovyo kabisa!!!!!! Why amegenerilize?
Viongozi wa wote wa Dini ya Kiislamu kutoka nchi nzima [Tanzania Bara?] wamekusanyika muda katika Ukumbi wa Diamond Jubilee, jijini Dar es katika 'Kongamano la Amani Kuelekea...
Leo kwa andiko hili sitomsalimia yoyote japo ni imani yangu mko wazima
Kwenu watumishi wa umma popote mlipo msiwe wajinga/ wapumbavu popote ulipo ukipata nafasi fisadi.
Naongea hili kwa uchungu mkubwa sana ,leo wote walio huko juu wanapiga kwa urefu wa kamba zao, anzia Bungeni n.k
Majuzi...
Jumapili ni Njema wana JF Mungu ni Mwema na kwa wale wenye changamoto kubwa tuendelee na Novena.
Niende kwenye Mada kwa ufupi,
Wadau wote tumesikia majina yametoka wataokuwa wabunge kupitia CCM katika Bunge lijalo kwa uchache;-
Baba Levo- Kigoma Mjini
JOSHUA NASSARI- Arumeru Mashariki
Kuna...
Ni jambo jema kutumia nishati isiyochafua mazingira na kuumiza watumiaji. Tatizo la wanasiasa wetu kila wanachokipigia debe nyuma yake wanasukumwa na faida binafsi.
Watu wanahoji yafuatayo:
1. Kwanini nishati safi suala la matumizi ya gesi linasisitizwa zaidi huku umeme ukiachwa?
2. Kwanini...
MPENSWA KTK BWANA
REFR DAHANE
KWA NIABA YA WAPENDA MPIRA WOTE NCHII HUU TUNAKUTAKIA KILA LA KHERI
UNAPOENDA KUCHWZESHA MPIRA WA LEOO
TAIFA LINAKUTEGEMEAA HUNA UBAYA NDUGUU
WANAYANGA NA SIMBA WOTE TUKO NYUMA YAKOO
AMEN
Umofia wana Sports !
Siku mbili zilizopita niligawa tickets 500 door to door na 216 nikawatumia wadau lengo ni kufika uwanjani. Malengo ilikuwa ni kuwafikia wadau 1000 kama nilivyosema mwanzo bahati mbaya siku ya jana POS ya kununua tickets ilikuwa down sana kiufupi hakuna ticket iliyouzwa...
Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.
Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi...
Utafutwaji WA madaraka katika mataifa ya Kiafrica unatumia sana njia haramu hivi ni kwa Nini?
Hivi hamkumbuki wakati wa uchaguzi walikamatwa vijana kutoka izraeli walio kuwa maIT wa chadema walio letwa na Hayati Lowasa?
Unaambiwa vijana walitoka izraeli, wakafikia hotelini KAZI Yao ilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.