My people,
Kwa Nini Uislamu Unaaminiwa Kuwa ni Dini Moja kwa Ajili ya Ulimwengu Wote
Uislamu ni dini inayojitambulisha wazi kuwa ujumbe wa Mwenyezi Mungu kwa wanadamu wote, bila kujali rangi, kabila, taifa au zama. Tofauti na dini zilizokuja kwa jamii au watu maalumu, Uislamu unaaminiwa kuwa...
Mpaka wakamuamini akaaamua asome biblia kinyume nyume.
Alieleta hii idea huko kijani nadhani atakua yupo kizuizini chini ya jenerali fweleboy mana mchongo umebuma vibaya mno.
Ni huzuni
Ila huyu dada noma kuna rivasi kanipigia hapo Corinthians 13 mpaka 10
Russia imeivamia Ukraine, inaua watu, uchumi etc etc
China "inaikalia" Taiwan kinyume na matakwa ya wananchi wa Taiwan. Leo wanatoka na matamko ya kuilaani USA.
Moral authority hawana kuisema USA!
Mwandishi wa Mithali inasema hivi: Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu ya watu wote (14:34). Msemo huu ukiuangalia kwa haraka unaweza kukosa kuelewa una maana gani. Ila ukiangalia kwa karibu unaweza kuona ni kwanini "haki huinua taifa". Nimeandika hivi majuzi nikiendeleza tafakari iliyofanywa...
Hii ni hatari sana.
Mmefikia hatua mbaya sana. Yaani mnataka Afrika isaidiwe na mmarekani ili madikteta wote wag'olewe kwa nguvu kama ilivyotokea kwa Maduro?
...
...
Huyu hehe kaibukia madhabahuni kwenye mkesha akatapika nyongo za mafumbo kisha karudi mafichoni.. Nina hakika alikuwa na ulinzi heavy Sana na mbinu za kivita mpaka alipofanikiwa kurudi mafichoni
Mwingine mkubwa kuliko yeye akaibuka kwenye salamu za mwaka mpya.. Lakini hadhira haikumpokea vema...
dkt. mwigulu
jamhuri
jamhuri ya muungano
mkuu
mpya
muungano
muungano wa tanzania
mwaka
mwaka mpya
mwigulu
mwigulu lameck nchemba
tanzania
watanzania
waziri
waziri mkuu
wenzangu
wote
Tumetoka kujaza Ile form ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya tar. 29
Tumeijaza kabla hatujatawanyika kwenda kwenye majukumu ya kujitafutia riziki hii form siyo ngumu inaeleweka watanzania tujaze. Unaweza ukajaza hata ukiwa kwenye boda
Wana CCM na watu wa vyama vyote tujaze Ile form inaeleweka...
Kuna mapolisi wengine ni wana hofu na mungu ila ni ngumu kuwaona na wanapigwa vita.
Nakumbuka kuna mkuu wa kituo pale magomeni alikuwa mtu wa swala tano ,yani hataki kuona mtu kaonewa ila walimuondoa.
Kwa mambo ya ajabu yaliopo hapa tanzania mlitakiwa nyie muoneshe mfano sio kuwafurahisha...
Watu wenge duniani hawajui kiarabu
Tafsri si qur’an halisi
Upande wa Qur’an (Uislamu)
Qur’an inachukuliwa kuwa ni Qur’an halisi tu ikiwa ni Kiarabu
Tafsiri = “maelezo ya maana,” si Qur’an
Swala na baadhi ya ibada lazima ziwe kwa Kiarabu
WHY?
Kwa nini ujumbe wa ulimwengu wote uwe umefungwa...
Baada ya machafuko ya Octoba 29 ndiyo nikagundua kuwa kumbe tangu nchi ipate uhuru marais wote wa Tanzania walikuwa ni Wakatoliki na waislamu. Hii iliwezekana vipi, ni bahati mbaya tu au imeandikwa pahala kama makubaliano? Je, itakuwa hivi hadi lini?
Lisu kazuiliwa na gereza na analindwa na askari magereza tu ili asije akachoropoka. Umma na dunia yote wako naye kwa sala na maombi. Tuzo na nyadhifa zinamfuata huko huko gerezani. Kuta za gereza hazimfanyi Lisu kutokuonekana wa hazimnyimi usingizi.
Samuya yuko gereza la kukataliwa na...
Hizo ni tuzo ngumu ambazo ulaya wanajaribu kuzipa jina baya kiuhalisia hao Marais ni wazalendo kwa MATAIFA Yao wamekunywa maji ya bendera zao, ni wakomavu kwelikweli.
Huwezi ukagusa maslahi ya marekani halafu ukabaki salama
Huwezi ukagusa waya wa mrusi halafu ukabaki salama
Huwezi ukagusi...
Tumeshuhudia kiongozi wa TEC akimfokea kwa ukali mkatoliki mwenzetu aliyemshitaki kitima kwa Papa Italy, zile kauli zimetushitua sana sisi waumini hatukutegemea kauli Kali kama zile ndani ya kanisa.
Sote tunaona vile kauli za Kitima zimekuwa chonganishi hazina afya kwa kueneza upendo kwa sisi...
Katika kusheherekea sikuu ya X-Mass hivi ndivyo alivyoandika katika ukurasa wake wa X zamani Tweeter Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini kati ya Sekta ya Umma(Serikali ) na Sekta Binafsi (mtu au kampuni) PPPC Bwana David Kafulila amesema:-
Ni siku muhimu sana, hasa katika Ukristo...
Sheikh ponda atoa maelezo kuwa Bakwata sio kwa ajili ya kila Muislamu bali ni ya Wasunni tu
https://www.instagram.com/reel/DSpOXVaAhne/?igsh=NHZkYzNjcG5wcm5z
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.