world

The world is the planet Earth and all life on it, including human civilization. In a philosophical context, the "world" is the whole of the physical Universe, or an ontological world (the "world" of an individual). In a theological context, the world is the material or the profane sphere, as opposed to the celestial, spiritual, transcendent or sacred spheres. "End of the world" scenarios refer to the end of human history, often in religious contexts.
The history of the world is commonly understood as spanning the major geopolitical developments of about five millennia, from the first civilizations to the present. In terms such as world religion, world language, world government, and world war, the term world suggests an international or intercontinental scope without necessarily implying participation of every part of the world.
The world population is the sum of all human populations at any time; similarly, the world economy is the sum of the economies of all societies or countries, especially in the context of globalization. Terms such as "world championship", "gross world product", and "world flags" imply the sum or combination of all sovereign states.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwanini bandari apewe DP World?

    Kabla hamjakimbilia kutuambia faida na hasara, chambueni kwanza vipengele vya mkataba na mjibu maswali yanayoulizwa. Nia ya kumtafuta DPW ilitokana na report ipi ya uchanganuzi wa ufanisi wa bandari? Tenda iliyozishindanisha kampuni tofauti tofauti kisha ikapatikana DPW ilitangazwa wapi? Mgao...
  2. Wanaotetea mkataba kati ya Tanzania bara na DP World wanasumbuliwa na udini!

    Niseme wazi kabisa wabaotetea huu mkataba wa kipuuzi kati ya Tanzania bara na DP World kuwa wamilikishwe bandari zote za Tanzania bara kwa mkataba usiokuwa na ukomo wanasumbuliwa na udini. Hakuna mtu mwenye akili timamu anayeweza kuthubutu kuungana na huu upuuzi zaidi tu ya udini wao. Wana...
  3. Hivi haiwezekan tukawekeza na hospitali, shule na barabara zote tuwape DP World?

    Kama mpaka leo hatuwezi kuwalipa walimu vizuri, mwalimu akishaajirwa huo huo mshahara wake ndio ale, avae, alipe Kodi ya nyumba, asomeshe watoto n.k. Tumeshindwa angalau hata Kila shule kuwa na nyumba za walimu! Leo hii hospitali za Wilaya unakuta sometimes hata Panadol hamna, tena usiombe uwe...
  4. Msimamo wa Mzee Kikwete kuhusu DP World ni upi?

    Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini? Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika. Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
  5. H

    Ahsante sana mzalendo aliyevujisha mkataba wa Dp World, Mungu akulinde, na akuzidishie maisha marefu kwa zawadi uliyotoa kwa mama Tanganyika.

    Wiki ya pili na tunaelekea wiki ya tatu saasa , masikio, macho na mioyo ya wana wa tanganyika yamegoma kuelewa, kupokea, au kusikia nyimbo, mapambio na kelele, maelekezo juu ya uwekezaji tata ulioambatana na mkataba tata wa DP world na mama JMT juu ya bandari za Tanganyika pekee zenye muundo...
  6. Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
  7. TICTS mlipewa miaka 22 lakini mmechemsha sasa kaeni kimya tunaenda na DP World

    TICTS mmebembelezwa sana juu ya kuongeza ufanisi wa kazi zenu. Mliongezwa mkataba wa miaka mitano ili mboreshe lakini mmeshindwa. Mlipewa proposal muongeze winch za kupakia na kupakua mzigo badala yake mkaendelea kufanya kazi kienyeji. Yaani mnapata pesa nyingi lakini hamtaki kuwekeza...
  8. Kwanini Wazanzibari hawalalamikii Mkataba wa DP world kuwatenga wasinufaike na wao!

    Suala la DP World ya Waarabu wa Dubai kuwekeza katika bandari zetu linadaiwa kuwa na faida nyingi sana kwetu kama Taifa. Inadaiwa mkataba utachagiza na kuchochea ukuaji wa sekta nyingine za kiuchumi (multiple effect) zikiwemo kilimo, utalii, viwanda, mifugo, uvuvi, biashara na usafirishaji na...
  9. Kufanyike mdahalo huru wa Wananchi v/s Serikali kuhusu mkataba wa bandari

    Kuhusu mkataba wa bandari tumeona mapungufu makubwa ya bunge letu kuhusu namna linavyosimamia serikali, tumeona bunge limetumika kama toilet paper na serikali. Udhaifu huo wa bunge unapelekea kuchochea zaidi mahitaji ya katiba mpya ili kuepukana na udhaifu na upumbavu kama huo wa bunge. Hivyo...
  10. H

    Prof Anna Tibaijuka: Hili sakata la DP world litamuangusha Rais Samia na serikali yake

    Mbunge mstaafu Prof Anna Tibaijuka amepinga vikali mkataba walioingia Tanzania na Kampuni ya DP World amesema kuwa una vipengele vingi vya ovyo mf kifungu Cha 4:2 Amesema hayo akihojiwa na kipindi Cha Jana na Leo Cha Wasafi fm. Prof amesema issue hiyo ni very sensitive na haikupaswa iendeshwe...
  11. Mbowe, Lissu, Dkt Kitima, Jenerali Ulimwengu, Dkt Slaa - ni wapotoshaji kuhusu DP World?

    Taifa la Tanzania limebahatika kuwa wa baadhi ya watu wenye ushawishi ktk jamii - ingawa wakati mwingine watu hawa huweza kupotosha jamii kwa maslahi ya vyama au madhehebu yao. Hili suala DP World kuwekeza ktk bandari zetu halina hasara kwetu kama Taifa. Lina faida nyingi sana kwetu tofauti na...
  12. Q

    DP World walifukuzwa Yemeni (Aden Port)

    Kwanini viongozi wetu hawataki kujifunza makosa ya nchi zingine zilizowahi kuingia mikataba ya aina hii na DP World. Mwaka 2008 Yemeni waliingia mkataba wa miaka 30 kwa bandari yao ya Aden Port na DPW na kusainiwa haraka haraka na rais wa wakati huo aliyekuwa anamaliza muda wake Rais Ali...
  13. S

    Maoni yangu juu ya Mkataba wa Bandari na DP World

    Nimejaribu kusoma na kuisikiliza mijadala juu ya hili sakata la DP World. Kwa kweli mpaka Sasa kama taifa bado tunarumbana juu ya sisi Kwa sisi Cha kushangaza zaidi hata hao wasomi wa Sheria katika nchi hii wameshindwa kuwa na tafsiri ya pamoja katika mkaba huu. Tofauti na ilivyotarajiwa sasa...
  14. Lissu atuhumu wabunge kuhongwa, waandishi walipewa 6m na DP World

    Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari kuhusu Mkataba wa Bandari, amesema DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"
  15. F

    Uongo na upotoshaji unaosambazwa kuhusu ujio wa DP World Tanzania

    Ukweli: Hakuna mkataba wowote wa ukodishaji wa Bandari ya Dar es Salaam ambao umesainiwa hadi sasa. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Iko kwenye MAJADILIANO na DP World kuhusu uendelezaji wa bandari nchini Hakuna kipengele chochote kwenye makubaliano yoyote ya awali kati ya DP...
  16. Kwakuwa tumewakataa DP World kuwekeza Bandarini, naomba tuwaruhusu sasa Wawekeze katika Akili zetu zilizolala

    GENTAMYCINE nina uhakika wa100% kuwa ile nguvu Kubwa iliyotumika kuwakataa Wawekezaji wa DP World ingetumika katika Kupinga Matatizo Makuu Saba ( 7 ) yanayoikabili Tanzania na Watanzania ya Upumbavu, Maradhi, Umasikini, Ushamba, Roho Mbaya, Wivu na Unafiki leo hii Tanzania ingekuwa mbali sana...
  17. K

    Kwa yanayoendelea kwanini tusiamini kuna kichaka kimetengenezwa baadhi ya watu wa serikali kusaini makubaliano na DP World

    Amani iwe kwenu, Nitangulie kwa kusema sijawahi kuihisi wala kuifikiri dhamiri isiyo njema ya Rais Samia kwa Tanzania, kila nikiamka asuhuhi namuombea kwa Mungu kwa sababu kuna kitu anacho na ndio hicho Tanzania inahikitaji isonge mbele nao ni uthubutu na maamuzi magumu. Kwangu Rais Samia ni...
  18. Kulikoni Watanzania kushambulia DP World?

    Sahivi kwenye page ya DP world ya Instagram hapatoshi, Watanzania wanaporomosha matusi hatari kwenye page za Waarabu. DP world kazi wanayo.
  19. DP World inatisha. Musukuma alisema kweli

    Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game👇🏾 Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa AI: Hi Jina langu ni Amna Ghanem. Mimi ni msimamizi (supervisor) wa uendeshaji kreni (cranes) kwa kutumia rimoti (remote control) katika bandari ya Jabel Ali inayoendeshwa...
  20. Je, Muumgano ukifa Mkataba wa DP World nao unakufa?

    Twende straight to the point, bila kuzingatia waliyosaini huko Mkataba. Swali nataka kujua, ikiwa leo DP World wamesaini Mkataba na Mbarawa kama Waziri wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Sasa ikitokea Muungano ukavunjika na Mbarawa kurudi zake kwao Zanzibar. je, Makataba wa DP world utabaki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…