The 2026 FIFA World Cup, marketed as FIFA World Cup 26, will be the 23rd FIFA World Cup, the quadrennial international men's soccer championship contested by the national teams of the member associations of FIFA. The tournament will take place from June 11 to July 19, 2026. It will be jointly hosted by 16 cities in three North American countries; the majority of matches will take place in the United States, while Canada and Mexico will host selected matches. The tournament will be the first hosted by three nations and the first North American World Cup since 1994.
This tournament will be the first to include 48 teams, expanded from 32. The United 2026 bid beat a rival bid by Morocco during a final vote at the 68th FIFA Congress in Moscow. It will be the first World Cup since 2002 to be hosted by more than one nation. With its past hosting of the 1970 and 1986 tournaments, Mexico will become the first country to host or co-host the men's World Cup three times. The United States last hosted the men's World Cup in 1994, whereas it will be Canada's first time hosting or co-hosting the men's tournament. The event will also return to its traditional northern summer schedule after the 2022 edition in Qatar was held in November and December. The competition will also occur during the United States semiquincentennial birthday.
Argentina is the defending champion, having won its third title in 2022.
Timu ya Taifa ya Misri kutoka Bara la Afrika imepata pointi moja baada ya kupata sare ya Goli 1-1 dhidi ya Ubelgiji kutoka Barani Ulaya katika mchezo wa Kundi G katika michuano ya Kombe la Dunia 2026.
Licha ya Ubelgiji kupewa nafasi kubwa ya kushinda kutokana na rekodi yao kuwa juu kuliko...
Timu ya Taifa ya Ujerumani imeanza kwa kishindo Michuano ya Kombe la Dunia 2026 kwa kupata ushindi mnono wa Magoli 7-1 katika mchezo wao wa kwanza hatua ya makundi dhidi Curacao.
###########
Ujerumani wanawasili Texas wakiwa kwenye fomu nzuri sana baada ya kushinda mechi zao tisa zilizopita...
Marekani itaanza kampeni yake ya Kombe la Dunia 2026 kwa kuvaana na Paraguay katika Uwanja wa Los Angeles, moja ya viwanja vya wenyeji wa mashindano hayo. Hata hivyo, rekodi ya Marekani katika uwanja huo si ya kuvutia baada ya kupoteza mechi zake mbili za mwaka jana kwa tofauti ya bao moja...
It's me JamiiForums member (Nina Akili Ndogo Sana)
Habari za wakati huu,
Ndugu zangu.
Bila shaka wote mpo wazima kabisa wa afya na poleni sana kwa shughuli za ujenzi wa taifa.
Katika kipindi hiki ambacho Tanzania bado inapona makovu ya vurugu pamoja na mauaji ya October/November 2025 na sasa...
Leo ndio ile siku! Kipenga cha ufunguzi wa Kombe la Dunia 2026 kinapulizwa, lakini huku mitandaoni mambo yamegeuka. Badala ya bara la Afrika kusimama nyuma ya Afrika Kusini (Bafana Bafana), Waafrika wameamua kuhamia Mexico jumla jumla! Mtandaoni kumechafuka haswa!
Ukiingia Facebook na X...
Haiti imelazimika kubadilisha jezi zake za Kombe la Dunia Saa chache kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia 2026 baada ya FIFA kubaini kuwa baadhi ya vipengele vya muundo wake vinakiuka kanuni za taasisi hiyo kuhusu ujumbe wa kisiasa. Jezi hizo zilikuwa zimetengenezwa na kampuni ya Colombia ya Saeta...
Ndiyo, leo ndiyo siku ya ufunguzi wa Kombe la Dunia 2026! ⚽🌎
Mexico itafungua Kombe la Dunia dhidi ya Afrika Kusini mjini Mexico City. Hii ni marudio ya mechi ya ufunguzi ya Kombe la Dunia 2010, ambapo timu hizi zilitoka sare ya 1–1 nchini Afrika Kusini.
Jambo la kipekee ni kwamba Estadio...
Shirikisho la Soka la Iran (FFIRI) limesema kuwa FIFA au mamlaka za Marekani zimeondoa mgao wa tiketi uliokuwa umetengwa kwa mashabiki wa Iran kwa mechi zote tatu za hatua ya makundi zitakazochezwa Marekani.
FFIRI ilieleza kuwa tayari ilikuwa imeanza mchakato wa kuuza tiketi hizo kwa mashabiki...
Ni miaka 16 toka tumebeba taji letu la kwanza na sasa ni wakati wetu kunyanyua makwapa Kwa mara ya pili
Njoo apa tukutane tushauriane kuhusu team yetu na tupeane updates mbali mbali
Je kwenye soka umri ni namba tu kama ilivyo kwenye mahusiano? Je Ronaldo(41) na Messi(39) bado wana cha kuonesha na kuwakosha mashabiki kiukweli kabisa au watabebwa na majina tu bila kuonesha soka safi la ushindani?
Je wamewazibia tu vijana wengine ambao walipaswa kupewa nafasi kuliko vijeba...
ROBO FAINALI ITAKUWA HIVI:
Portugal vs Netherlands
Spain vs France
England vs Germany
Belgium vs Brazil
NUSU FAINALI:
Portugal vs Spain
England vs Brazil
FAINALI:
Portugal vs Brazil
MSHINDI:
Portugal
🏆 FIFA World Cup 2026 Finals Uzi Maalum.
2026 FIFA World Cup itakuwa toleo la kihistoria la Kombe la Dunia kutokana na mabadiliko makubwa katika mfumo wa mashindano.
🌍 Waandaaji
Mashindano yataandaliwa kwa pamoja na:
United States
Canada
Mexico
Hii ni mara ya kwanza World Cup kuandaliwa na...
Kwa mujibu wa The Athletic FC wanaripoti kuwa Mashabiki kutoka nchi za Algeria, Ivory Coast, Cape Verde, Senegal na Tunisia wanapaswa kila mmoja kulipa kiasi cha dola 15,000 za Kimarekani ambayo ni sawa na Tsh. Milioni 38 kama kianzio kama wanataka uhakika wa kwenda Kombe la dunia 2026...
Wakuu
Soka linaongezewa tuvitu vitu🤩
Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amethibitisha kuwa fainali ya Kombe la Dunia la 2026 itakuwa na onyesho maalum kwa mara ya kwanza katika historia ya mashindano hayo kwenye muda ambao timu zinaenda kupumzika.
Kombe la Dunia 2026 litakuwa toleo la 23 la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.