world cup 2026

The 2026 FIFA World Cup, marketed as FIFA World Cup 26, will be the 23rd FIFA World Cup, the quadrennial international men's soccer championship contested by the national teams of the member associations of FIFA. The tournament will take place from June 11 to July 19, 2026. It will be jointly hosted by 16 cities in three North American countries; the majority of matches will take place in the United States, while Canada and Mexico will host selected matches. The tournament will be the first hosted by three nations and the first North American World Cup since 1994.
This tournament will be the first to include 48 teams, expanded from 32. The United 2026 bid beat a rival bid by Morocco during a final vote at the 68th FIFA Congress in Moscow. It will be the first World Cup since 2002 to be hosted by more than one nation. With its past hosting of the 1970 and 1986 tournaments, Mexico will become the first country to host or co-host the men's World Cup three times. The United States last hosted the men's World Cup in 1994, whereas it will be Canada's first time hosting or co-hosting the men's tournament. The event will also return to its traditional northern summer schedule after the 2022 edition in Qatar was held in November and December. The competition will also occur during the United States semiquincentennial birthday.
Argentina is the defending champion, having won its third title in 2022.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: England 0-0 Ghana | World Cup 2026 | Gillette Stadium | 23 Juni, 2026 | 5:00 Usiku

    England na Ghana zinalenga kukata tiketi ya hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia mapema iwezekanavyo kwa kushinda mtanange huu wa Kundi L utakaopigwa huko Boston. Fomu ya Timu na Habari Zilizopo England: Walionyesha moja ya kiwango cha kuvutia zaidi kwenye Kombe la Dunia baada ya kuichapa Croatia...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Portugal 5-0 Uzbekistan | World Cup 2026 | NRG Stadium | 23 Juni, 2026 | 2:00 Usiku. CR7 afunga magoli 2 ya kibabe!

    Leo Goat CR7 Lazima atupie kamba 2, tupunguze hizi kelele za mji. Kila la Kheri mwamba ================ Mtanange wa kweli wa "David dhidi ya Goliath" (mnyonge dhidi ya jitu) unatarajiwa kurindima katika Uwanja wa NRG huko Houston, ambapo wageni wa Kombe la Dunia la FIFA, Uzbekistan, watakipiga...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huyu Mganga wa Ufaransa mbona ana fanya uganga wa kizamani hivyo?

    Duh huu uganga ni fashion ya kizamani mno.. Zamani mno enzi Mr. Noah bado yupo ndani ya safina. Mbappe wa kwanza kuingia uwanjani , Mbappe wa kwanza kutoka uwanjani. Uchawi kama wa Simba na Yanga.. Uchawi wa kitoto kwelikweli Ufaransa wamepigwa 😁😁. Anyways kesho QATAR wagomee mechi, nimeona...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Ufaransa 3-0 Iraq | World Cup 2026 | Lincoln Financial Field | Juni 23, 2026| Mbappe anaendelea kukiwasha

    Kombe la Dunia linaendelea tena leo ambapo Ufaransa watakuwa uwanjani dhidi ya Iraq Naamini chama langu France litamkana sana mpenda vita Iraq Soma Pia: FT: Ufaransa 3-1 Senegal | World Cup 2026 | MetLife Stadium | 16 Juni, 2026 Ingawa walionyesha kiwango kisichoridhisha katika kipindi cha...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Germany 2-1 Ivory Coast | World Cup 2026 | BMO Field | Juni 20, 2026

    Ujerumani na Ivory Coast zinaingia katika mchuano huu wa Kundi E huko Toronto zikijua kwamba ushindi utawahakikishia nafasi katika hatua ya mtoano ya Kombe la Dunia zikiwa zimesalia na mechi moja mkononi. Habari za Mechi na Fomu ya Sasa Ujerumani ilifikisha ushindi wa kumi mfululizo baada ya...
  6. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio zilikuwa mbwembwe za kusindikiza basi la Uturuki kwenda world cup, leo wametoka mapema na hawajafunga hata sumni

  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Full Time: Scotland 0-1 Morocco | World Cup 2026 | Gillette Stadium | Juni 20, 2026 | 7:00 Usiku

    Leo kivumbi kingine kwa Morroco baada ya kumkalia kooni Brazil mechi ya kwanza. Sina wakumshabikia hapa. Ila nataka wafungane mkeka wangu uendelee kupumua tu
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania FT: USA 2-0 Australia | World Cup 2026 | Lumen Field | Juni 19, 2026| 4:00 Usiku

    Wenyeji wenza wa Kombe la Dunia, Marekani (USA), na washiriki waliofuzu kutoka Asia, Australia, watachuana jijini Seattle. Mshindi wa mechi hii ana nafasi kubwa ya kujihakikishia nafasi ya kwanza mwishoni mwa mzunguko wa pili wa mechi (matchday two) baada ya timu zote mbili kupata ushindi wa...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania World Cup 2026 tayari Marekani wamenichania nusu Mkeka. Kibwege sana

    Nlimwambia kuwa haya mashindano yatadorora sana. Watu watakosekana viwanja vitakuwa tupu sababu wamarekani si wapenzi wa mpira. Ila mpaka leo hii tayari. Nimeshamtumia Mil 1,000,000 yake Tulisema kwa matches 10 za mwanzo zitupe mwelekeo na ambaye anaelekea kiwa sawa atanguliziwe Mil 1,000,000...
  10. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania FT: Czech Republic 1-1 South Africa | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium | Juni 18, 2026 | 1:00 Usiku

    Pamoja na kufunga goli la kuongoza katika dakika ya 59 kwenye mchezo wao wa kwanza wa hatua ya makundi dhidi ya Korea Kusini, Jamhuri ya Cheki (Czech Republic) walipoteza mwelekeo na hatimaye kufungwa 2-1. Matokeo haya yanawaacha wakiwa na hamu kubwa ya kurudi katika hali ya ushindi kwenye mechi...
  11. Mjomba Malume

    JamiiForums Tanzania Harry Kane ampiku Ronaldo idadi ya magoli Kombe la Dunia

    Baada ya kutupia mabao mawili jana dhidi ya Croatia, Harry Kane sasa amefikisha mabao 10 ya World Cup na kumuacha Cristiano Ronaldo mwenye mabao 8 😅🔥 Kabla ya World Cup hii kuanza wote walikuwa sawa na mabao 8 lakini Hurricane mwenyewe kaamua kutemana na Penaldo fasta tu ⚽🔥 Captain Kane...
  12. Mjomba Malume

    JamiiForums Tanzania Ronaldo aweka rekodi mpya

    Cristiano Ronaldo sasa amefikisha mechi 10 mfululizo kwenye michuano mikubwa bila kufunga bao baada ya mchezo wa Portugal dhidi ya DR Congo ⚽🔥 CR7, Mnyama wa Madeira, Captain Fantastic, Mr. Champions League na The Portuguese Machine bado anaendelea kusaka bao utafikiri kama amelipoteza 😅 Cha...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Ghana 1-0 Panama | World Cup 2026 | BMO Field (Toronto) | 19 Juni, 2026 | 8:00 Usiku

    Kuelekea Mechi: Ghana vs Panama Ghana na Panama wataanza kampeni zao za Kombe la Dunia la FIFA 2026 kwenye Uwanja wa BMO Field kule Toronto, Canada. Mataifa yote mawili yanajua wazi kuwa matokeo chanya kwenye mechi hii ni muhimu sana, ikizingatiwa kuwa wako Kundi L pamoja na miamba mingine...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: England 4-2 Croatia | Wolrd Cup 2026 | AT&T Stadium | Kundi L

    England imeanza vyema kampeni yake ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Croatia katika mchezo wa Kundi L uliokuwa na ushindani mkubwa. England ilionyesha ubora wake wa kushambulia kwa kutumia vyema nafasi walizozipata na kufanikiwa kuondoka na alama tatu...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Portugal 1-1 DR Congo | World Cup 2026 | NRG Stadium (Houston, TX)

    Mechi ya ufunguzi wa Kundi K kwenye Kombe la Dunia 2026 kati ya Portugal na DR Congo imekwisha kwa sare ya 1–1, mchezo ukiwa na mvuto mkubwa kuanzia mwanzo hadi mwisho. Portugal walitangulia kupata bao la mapema dakika ya 6 kupitia João Neves kwa kichwa safi baada ya krosi nzuri, wakionekana...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Full Time: Argentina 3-0 Algeria | World CUP 2026 | Arrowhead Stadium

    Leo Mabingwa watetezi wa Kombe la dunia Argentina Wapo uwanjani kutupa karata yao ya kwanza na vijana kutoka Kaskazini MwaAfrika Algeria. Bingwa mtetezi kukabwa koo au atampasua vibaya sana Algeria? =========== Habari za Mechi na Fomu ya Sasa Mbio za Kihistoria za Argentina: Miaka minne...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Ufaransa 3-1 Senegal | World Cup 2026 | MetLife Stadium | 16 Juni, 2026

    Timu ya Taifa ya Senegal imekubali kichapo hicho katika Kundi I, licha ya kuanza kucheza vizuri kipindi cha kwanza cha mchezo huo, kipindi cha pili mbinu za Ufaransa zikawa bora na kupata magoli kupitia kwa Kylian Mbappe dakika ya 66 na 90 na Bradley Barcola (82). Senegal imepata goli lake...
  18. R

    JamiiForums Tanzania World Cup 2026: Cape Verde vs Spain..Cape Verde wana Goal Keeper mzuri

    Naangalia match sasa hivi. Huyu kipa wa Cape Verde ni hodari sana. Ameokoa the IMPOSSIBLES! Nadhani ball control ni over 90% for Spain, Lakini kipa wa Verde ameokoa magoli mengi!.... Mimi siyo mshabiki wa mpira na sina utaalamu wa mpira lkn by eyes unaona kuwa huyu anafanya vema
  19. technically

    JamiiForums Tanzania World cup 2026 timu kubwa zote mbovu?

    Nilianza kuangalia world cup toka game ya kwanza Timu Kama Brazil, German Spain zote mbovu Brazil hii na Ile ya 2014 hakuna tofauti German pamoja na kushinda 7 Jana lakini mpira mbovu. Muda huu nipo nawaangalia spain utadhani ni Tunisia iliyochangamka. France nayo baada ya kufunga na...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania FT: Spain 0-0 Cape Verde | World Cup 2026 | Mercedes-Benz Stadium (Atlanta, GA) | 15 Juni, 2026

    Uhispania, ambao ni miongoni mwa timu zinazopewa nafasi kubwa ya kutwaa Kombe la Dunia mwezi Julai, wanaanza kampeni yao dhidi ya Cape Verde—timu inayolenga kushtua ulimwengu na kuandika historia mpya. 📊 Hali ya Timu na Fomu ya Sasa 🇪🇸 Uhispania: "La Roja" Uhispania wanaingia kwenye mashindano...
Back
Top Bottom