world cup

A world cup is a global sporting competition in which the participant entities – usually international teams or individuals representing their countries – compete for the title of world champion. A world cup is generally, though not always, considered the premier competition in its sport, with the victor attaining the highest honour in that sport and able to lay claim to the title of their sport's best. However, in some sports the Olympic title carries at least as much prestige, while other sports such as diving and artistic gymnastics differentiate between their premier competitions, such as World Championships and Olympic Games, and their "World Cup", which is organised as a smaller scale but high-level showcase event with small elite fields.
There are a number of notable popular team sports competitions labeled "world cups", such as the ICC Cricket World Cup, Rugby World Cup, Rugby League World Cup and the Hockey World Cup but perhaps the best known is the FIFA World Cup (an association football tournament, first held in 1930), which is widely known simply as "the World Cup".

View More On Wikipedia.org
  1. USSR

    JamiiForums Tanzania Wapi zinaineshwa mechi za Kombe la Dunia 2023?

    Msaada please Match hizi zinaoneshwa Chanel gani hapa Tanzania kwa kisimbuzi gani? USSR
  2. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania FIFA Women's World Cup 2023 | Kombe la Dunia kwa Wanawake

    Mashindanoa ya FIFA kombe la dunia la wanawake litaanza kesho Alhamisi July 20, 2023 na kumalizika August 2nd. Round za kwanza zitachezwa Sydney, Australia na Auckland, New Zealand huku fainali ikichezwa Sydney Australia. Mashindano haya mwaka huu yamehusisha timu 32 tofauti na huko nyuma...
  3. Shark

    JamiiForums Tanzania Kufuzu World Cup 2026; Tanzania yatupwa Kundi E ikiwa na Morocco na Niger

    #MICHEZO Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imepangwa kundi E katika harakati za kufuzu kombe la dunia mwaka 2026. Timu ambazo Stars imepangwa nazo ni pamoja na Morocco Zambia, Congo, Tanzania, Niger & Eritrea. Michezo hiyo itaanza kuchezwa mwezi Novemba mwaka huu #KombeLaDuia #TaifaStars...
  4. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Tuambie Mechi yako Bora zaidi ya soka ambayo umewahi kuishuhudia

    Nimekuwa shabiki wa soka kwa muda mrefu sana. Kwa muda wa miaka 20 sasa. Nimeangalia mechi nyingi sana na za kutosha, zaidi ya 1000 hadi leo hii. Toka enzi za goli la dhahabu hadi leo hii ambapo goli la ugenini limefutwa kwenye mashindano ya Ulaya na technolojia ya VAR inatumika. Nimeangalia...
  5. Execute

    JamiiForums Tanzania Zidane anaichukua timu ya taifa ya Ufaransa kama kocha, nawatabiria ushindi wa Euro 2024 na world cup 2026

    Yule mchezaji na kocha mwenye bahati zaidi duniani anaichukua timu ya taifa ya Ufaransa kama kocha kuanzia January 2023. Ninatarajia ataenda kubeba Euro 2024 na kombe la dunia mwaka 2026. Ufaransa wanavyo vipaji vya kila aina ikiwemo kijana machachari Mbappe. Muda utatupatia majibu.
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hizi ndiyo fedha watakazolipwa Washindi wa Kombe la Dunia 2022

  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Heroes insha'Allah World Cup 2026

    Kupanga ni kuchagua na tumeamua 2026 tunachukua ndoo! #football_economy#
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ufaransa anabeba Kombe la Dunia

    Binafsi ni mshabiki mkubwa wa Argentina lakini game ya leo naona kabisa Ufaransa anabeba. Ufaransa ni team yenye uzoefu mkubwa na wana kocha ambaye anajua vizuri kucheza kwenye game muhimu kama hizi, tujiandae kisaikolojia kabisa kwa Ufaransa kubeba tena kwa mara nyingine.
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania FT: Argentina 3-3 (4-2 Penalties) France - World Cup Final - December 18, 2022

    Wachezaji wa Ufaransa waliokosa penati ni Kingsley Junior Coman na Aurélien Djani Tchouaméni. Baada ya dakika 90 kukamilika matokeo yakiwa 2-2, zikaongezwa dakika 30 matokeo yakawa 3-3, ndipo ikaamuliwa zipigwe penati na Argentina kushinda kwa matuta 4-2 Muda wa penati Mwamuzi anakamilisha...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ni Messi vs Mbappé fainali ya FIFA World Cup leo, Unampa nani kete yako?

    #FIFAWorldCup2022: Ni Desemba 18, 2022 Dunia itashuhudia Fainali za Kombe la Dunia lililoanza Nov 20, 2022 huko Qatar kwa kuzileta pamoja Timu za Mataifa 32 zilizomenyana kwa jumla ya Mechi 64. Leo katika Dimba la Lusail Stadium, Al Daayen watakutana Mabingwa mara 2 wa #KombelaDunia Timu za...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nasema na najiamini Argentina anaenda kuwa Bingwa wa 2022 QATAR FIFA WORLD CUP tarehe 18/12/2022?

    1. Wanacheza Kimkakati zaidi kama Simba SC 2. Wana Wachezaji Wapambanaji kama wa Yanga SC 3. Wana Golikipa Bora sana 4. Messi anawarahisishia Kazi Wengine 5. Wana Morali ya Kiuzalendo hasa 6. Argentina ni Timu ya Mungu 7. Lionel Messi hakabiki na Kabarikiwa Nami MINOCYCLINE namalizia kwa...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Nusu Fainali: Argentina 3-0 Croatia, FIFA World Cup, 13/12/2022

    69' Julian Alvarez anafunga goli la tatu akimalizia kazi nzuri ya Messi 60' Timu zinashambuliana kwa zamu 58' Messi anakosa nafasi nzuri, shuti lake linapanguliwa na kipa 55' Argentina wanaamka na kufanya mashambulizi ya kushtukiza 50' Croatia wanamiliki mpira na kupiga pasi nyingi Kipindi cha...
  13. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kwanini Afrika haijawahi kushinda World Cup

    Hii article nimeitoa online BBC; ni majibu ya mwandishi mmoja ikijaribu kujibu kwanini Afrika haijawahi kuchukua hili Kombe... In November, Cameroon football federation president Samuel Eto'o Fils declared that he was expecting Cameroon to beat Morocco in an all-African final. He was...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wasiwadanganye kwa picha wanazotupia mtandaoni, Watanzania waliokuja Qatar kwa ajili Kombe la Dunia wengi wanaishi kwa shida sana

    Toka nimekuja Qatar kwa ajili ya Mapumziko nikitokea Sweden ambako nlipitia kusalimia nikiwa nimetokea Japan kwenye meeting iliyokuwa imeanzia Usa. Nipo hapa Qatar toka tarehe 10 November. Nabadilisha badilisha Hotel maana sipendi sana mazoea na watu so kuna dada mmoja ambaye yeye huwa namtumia...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dani Alves kuweka rekodi ya nahodha mkubwa zaidi wa Brazil katika Kombe la Dunia

    Beki huyo anatarajiwa kuiongozi timu yake ya taifa katika mchezo wa kukamilisha Hatua ya Makundi dhidi ya Cameroon, leo Desemba 2, 2022. Alves (39), beki wa kulia ambaye anaichezea UNAM Pumas ya Mexico atapewa nafasi hiyo kwa kuwa tayari timu yake imeshakata tiketi ya kucheza Hatua ya 16 Bora...
  16. J

    JamiiForums Tanzania France kauza mechi yake dhidi ya Tunisia..! Hata World Cup mechi zinauzwa

    Kwa mnaofuatilia kombe la dunia hasa mechi za France, France ni timu kali sana Cheki mechi dhidi ya Australia, Denmark kisha angalia mechi ya leo dhidi ya Tunisia Hawa jamaa japo walikuwa wameshavuka na kuchezesha kikosi cha pili, lakini wamecheza wakiwa wamelegea mnoo, yaani kiwango chao...
  17. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Kijana Mkenya anayevutia mashabiki Qatar FIFA World Cup

    Abubakr Abbass, a 23-year-old from Kenya, has emerged as a firm fan favourite – and accidental social media sensation – during the football World Cup in Qatar. Sat on a tennis-umpire chair and wearing a large foam finger, he guides the hundreds of fans visiting the historic market – called Souq...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia 2022, Qatar nilisema siishangilii timu yoyote ya Afrika je, nilikuwa sahihi?

    Ukiona tu GENTAMYCINE hakubali kitu au anakidharau jua kwa kuwa Kwake 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' ukichanganya na tunu (shani ) nyingi alizobarikiwa naye na Mwenyezi Mungu tayari ameshapima kimaono na kugundua madhaifu/mapungufu ya kimsingi. Na bado...
  19. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kombe la Dunia 2022 kwanini vilabu vyetu visiununue Stadium 974?

    Stadium 974 ni uwanja ambao baada ya Kombe ya Dunia utabomolewa, kwa nini vilabu vyetu visishawishi dili ya kuununua? Unapendeza kweli na umejengwa kwa makontena tu!
  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mara nyingine tena timu zetu za Afrika zinaenda kutuangusha Kombe la Dunia

    Sisi waafrika ndivyo tulivyo, Mwafrika anayechezea mchi ya Afrika ni tofauti na Mwafrika anayechezea timu nchi za nje. Waafrika wa huku hatuna uzalendo kabisa, ila akibadili uraia au ikiwa alizaliwa kule utamuona jinsi anavyojituma. Halafu tunakaa hapa kusema Mabeberu hivi Mabeberu vile!
Back
Top Bottom