Wahusika naomba wafanyie kazi hii,
Kuna basi zinazopeleka abiria vijijini kutoka Geita hasa hii inayojulikn Bibi family, inafanya safari Geita Nyehunge kupitia Nzera
Kuna mtindo wa abiria kulipishwa mizigo alionao bila utaratibi
Wizi uko hivi, abiria anapanda na mzigo na analipa nauli yake...