Wizi Shule ya sekondari Kwa Shungu Ifakara

Wizi Shule ya sekondari Kwa Shungu Ifakara

Mtili wandu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
11,047
Reaction score
16,371
Umetokea wizi usiku wa kuamkia leo. Wezi wameiba masufuria Sita (6) ya kupikia chakula kwa ajili ya wanafunzi.

Shule hiyo ina wanafunzi wa kutwa na hostel kwa baadhi ya wanafunzi.

Pia wameiba Michele, mafuta ya kupikia, majaba ya maji, ndoo.

Nyie wezi mbona mnarudisha nyuma kata yetu ya Viwanja sitini.
 
jamii isiwafiche hao vibaka jambo dogo sana ilo sio la ngazi ya kitaifa meku

nilifikiri ni wizi tangible kumbe wa majungu ya kupikia
 
Back
Top Bottom