Sasa najiuliza ikiwa ripoti ya CAG imeonesha madudu je, ni jinsi gani sasa kama taifa tumeingiaje uchumi wa Kati? Ikiwa tumeibiwa Sana namna hii.
Kuna bandiko linatembea nazani ni kutoka timu Sukuma Gang kujibu tuhuma za Msoga gang.
=====
MWAMBIENI CAG, SISI TUMERIDHIKA!
1. Mwambieni CAG...
Leo Saed Kubenea ameonana na Waziri wa Habari kama ilivyoelekezwa na Wizara baada ya Tamko la Mh Rais Samia Suluhu la kuagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kizushi yakiwemo magazeti vifunguliwe .
Tuendelee kusubiri yatakayojiri baada ya kikao hiki kufanyika huku tukisubiri Wahariri wengine...
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa Sh140 milioni ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii iliilipa kampuni ya Wasafi hazikuwa na mkataba wowote uliosainiwa.
Wizara hiyo ililipa fedha hizo kwa ajili ya wasanii ambao wangetangaza utalii wa ndani katika mikoa sita...
UFAFANUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria.
Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abbasi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee, na siyo pamoja magazeti. Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza. https://t.co/fdXzgvlz3l
Kwako Rais wetu na mama yetu,
Hongera kwa kuendelea na majukumu yako ya kila siku ili kulisongesha taifa letu mbele.
Mama yetu kuna hawa vijana waliosomea mafuta na gesi, waliosomeshwa katika chuo kikuu cha Dar es Salaam kupitia wizara ya nishati kwa fedha za serikali ili wasaidie taifa letu...
"Wizara ya kilimo kuna shida, Mkulima anazalisha mazao yake hana kwa kuuza, Nendeni watafutieni masoko Nje na mkipata masoko ya mazao msiwapangie WAKULIMA waacheni wakauze wenyewe"
In The Wealth of Nations (1776), Adam Smith argued that taxation should follow the four principles of:-
fairness-that taxation should be compatible with taxpayers' conditions, including their ability to pay in line with personal and family needs;
certainty-meaning that taxpayers should be...
Great thinker tusaidiane kuchambua uteuzi uliofanyika Jana na Mh.Rais ili kutambua ingizo jipya ni akina na CV zao kwamba walikuwa wapi kabla ya uteuzi, na waliotenguliwa ni akina nano
Nimeomba great thinker nikiamini huku ndio kunakopatikana habari za usahihi kiliko social media zozote,
Ni kweli tuna malalamiko yaliyodumu kwa muda mrefu kwenye utumishi wa Umma
Malimbikizo ya Mishahara
Madaraja yaliyozuiliwa na vyeo tangu 2013 kuna watumishi wanadai madaraja au vyeo viwili (mseleleko ndio muafaka)
Mapunjo ya mishahara yapo kwenye mfumo huo wa mshahara yaliratibiwa
Hela za...
Mataifa makubwa ikiwemo S. Africa kauli ya Waziri wa Fedha inaweza kuchangia positively or negatively kwenye uchumi. Waziri wa Fedha akizungumza Jambo watu hupima mapokeo kwa kuhojiana na Wafanyabiashara, wachumi na pia kuangalia trend ya soko la hisa la nchi husika.
Nikimwangalia nakumsikiliza...
Jana nilimuelewa sana Katibu mkuu Kiongozi balozi Katanga.
Hakuna mafanikio ya serikali kama kila wizara itatenda kivyake na kutafuta sifa binafsi.
Ni lazima pawepo coordination baina ya wizara na wizara.
Watu watapunguza matumizi ya mawasiliano na kwa kufanya hivyo kodi itapungua sasa huyo...
Habari 👋
Naomba siku ya leo nitoe ushauri na mapendekezo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan kuhusu wizara hii ya teknolojia, mawasiliano na habari.
Sifahamu Dr. Faustine Ndugulile kipi kimemtatiza katika hii wizara. Sina shaka na utendaji wake lakini nadhani...
Kitendo chake cha kuhamishia mishahara ya watumishi wa umma kulipwa mojankwa moja kupitia hazina kitendo kilicho wanyima ulaji ma afisa utumishi na wakurugenzi na wakuu wa idara aliweza sana sana
Naamini pia hata sasa ataiweza wizara hiyo bila shida.
Nimejaribu kuangalia pamoja na teuzi nzuri za Mama yetu Mpendwa Rais Samia Suluhu, lakini kwenye wizara nyeti hii ya fedha haijapata watu sahihi. Ndugu yangu Dkt Mwigulu Nchemba ni msomi lakini siye anayetumia usomi wake katika kuchanganua mambo ya kiuchumi na biashara anazidiwa na Zitto Kabwe...
Wakuu naomba kutangaza kwamba ninayo maslahi kwenye suala hili maana mimi ni mfanyabiashara wa ndani na nje ya nchi , ni mlipa kodi
Kwa takribani miaka sita sasa Sisi wafanyabiashara wa nchi hii tunahenya , makadirio ya kodi kubwa , vitendea kazi tunavyoagiza kutoka nje ya nchi zikiwemo matirio...
Dr Mpango na Doto James wamehudumu pale Hazina kama Waziri na Katibu mkuu respectively kwa takribani miaka 6.
Huo ni muda mrefu na kwa bahati Dkt. Mpango ameteuliwa kuwa Makamu wa Rais.
Mnaonaje kama Katibu mkuu Dotto James akapewa kifuta jasho cha ubunge ili kupisha damu mpya?
Kila kitabu na...
Poleni na majukumu yote hapo wizarani.
Sina mengi sana ya kuandika ila ninao ushauri tu.
Nao ni,
Ninawashauri msitishe kuandaa rasilimali watu ya mafuta na gesi kwa sababu tayari wasomi wa kozi za mafuta na gesi wameshakuwa wengi ukilinganisha na ajira zilizopo na zitakazo kuwepo.
Idadi...
Pole kwa msiba mzito wa hayati baba yetu.
Naomba kudeclare interest. Mimi ni Tour Guide nipo Arusha.
Katika kikao Cha Bunge lililopita kwa Mara ya Kwanza nilimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii akijibu maswali hasa la Mbunge wa Arusha Mjini Mh Gambo nilishtuka Mh Ndumbaro hajui, narudia...
KENYA ABDALLAH HASSAN KATIBU MKUU WA KWANZA MUISLAM WIZARA YA ELIMU AMEFARIKI
Kenya Abdallah Hassan nimemfahamu toka utoto wangu Moshi katika miaka ya 1960.
Siku hizo mimi nikiwa shule ya msingi madarasa ya chini sana yeye alikuwa Mawenzi Secondary School.
Kenya alikwenda Makerere, Uganda...